Mwigulu Nchemba-Out of touch. Anasema hakuna wizi serikalini, Rais ampa mfano wa mtandao wa wizi Mbeya

Ningekuwa Mimi..ningejiuzulu....haiwezekani Mkuu wako anapinga nawe hadharani na bado upo..kwa kusema Uongo hadharani...
 
Sijaelewa... kama kweli wapo na wametangazwa hadharani hawajashtukizwa kutiwa pingu..wanaanza leoleo kuvunja mtandao na kupoteza ushahidi..hizo hela walizojigawia si ndo itakuwa "kilichoenda kwa mganga "?
Kuna taarifa humu JF ambapo member mmoja alidokeza kuna sabottage ya mfumo wa eGov inayosimamia malipo kupitia control number.

Tunayaoshi matokeo yake nahisi.

Mkuu wa kaya amekemea vikali kama kawaida. Nothing new
 
ni katika makosa tunajirekebisha na kujisahihisha kwa kuambiana ukweli ili hatimae kuwa makini zaidi katika kubaini kasoro, upigaji na dosari katika ukusanyaji, matumizi na utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa fedha za umma...
 
Ningekuwa Mimi..ningejiuzulu....haiwezekani Mkuu wako anapinga nawe hadharani na bado upo..kwa kusema Uongo hadharani...
Katika serikali yetu, hakuna kiongozi mwenye conscience ya kujihukumu.
Wote wana komaa hadi wachukuliwe hatua. Mfano wa rais Mwinyi kwao ninkama hadithi za alfu lela ulela!
 
Katika mawaziri wachache wanaojitqmbua. Bashe akiwa mmoja wapo ana behave kama waziri muda wote akitoa maelezo ana figure, data from credible government sources na justification.
Basi angepewa kazi ya usemaji wa Serikali au Propaganda na Uenezi....; Lakini katika wizara hii anapimwa kwa results.., Na mfumuko wa Bei katika vyakula, Sakata la Sukari na issue za kuuza na kutokuuza leave a lot to be desired....

 
Katika serikali yetu, hakuna kiongozi mwenye conscience ya kujihukumu.
Wote wana komaa hadi wachukuliwe hatua. Mfano wa rais Mwinyi kwao ninkama hadithi za alfu lela ulela!
Mwinyi alijiuzulu peke yake katika Sakata lake ? Huenda alijiwahi akijua kwamba angekaangwa..., Ila ndio hivyo wanasiasa kutumia hata jambo baya na kuliweka kwenye good limelight... Ndio yaleyale Lowassa anasifiwa kwa kujiuzulu na sio kuhukumiwa kwa Sakata la Richmond.....

Anyway Maiti zinazidiana kunuka....
 
Sakata la Mzee Mwinyi kujiuzulu mpaka sasa hakuna aliye ufikia ukomo huu wa kuwajibika.
 
Mwizi anawajua wezi wenzake ila kamwe hawataji
 
Sakata la Mzee Mwinyi kujiuzulu mpaka sasa hakuna aliye ufikia ukomo huu wa kuwajibika.
Nimekuuliza kipindi kile aliondoka Mwinyi peke yake au kundi la watu walijiuzulu ? Pili kumbuka kipindi hicho politicians sio kama wa sasa walikuwa inabidi ku-act the part...; Ni kuanzia Kipindi cha Mwinyi ndio Ikulu ilianza kuwa Pango la Walanguzi....; Anyway let's let the Sleeping Dogs lie...
 
Ngoja itokee siku Mwigulu yupo pamoja na boss wake ‘bi tozo’ halafu aanze kumpamba uone mama anavyokenua meno na kutabasamu.

Tafuta clip zao za pamoja ambazo Mwigulu amepewa nafasi ya kuongea, yaani nyie wengine mkimpamba ‘bi tozo’ ata astuki sana. Iła Mwigulu akianza mama ana kaa imara huyo kumsikiliza na kufurahi kweli.

Kila boss anachawa wake kipenzi, shida ya huyu poyoyo anapitiliza ata mambo ya msingi kwenye camera anayaongelea kama vile chawa wa kitaa anaefikiria kuonekana tu, badala ya kudadavua mambo kitaalamu.
……………
My bad kumbe unamuongelea Bashe kwenye quote yako.

Sio waziri mmbaya kusema ukweli na ana mawazo mazuri only that he lacks the planning skills and depth knowledge on what it takes to get the intended results from his objectives. Hapo ndipo anapo haribu au kuitia hasara serikali kwa kupoteza hela au kuleta upungufu wa bidhaa kupitia ideas zake uchwara.
 
Nyalandu kutangaza kugombea URAIS, Siri zafichuka kutoka Kikao Cha KBH singida. Yadaiwa ni kumdhibiti na kumpunguzia nguvu Mwigulu Nchemba,Pia Muundo Mpya wa Baraza la Mawaziri Wamuweka tumbo Joto.

Niseme kuwa CCM haijawahi kumshutumu Nyalandu au lembeli kisa wamehama.

Usaliti ni laana

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wateule kusimamia tatizo la wizi wa fedha unaofanywa na watumishi wa umma

ameyasema hayo leo tarehe 13 Machi, 2024

Oktiba 28, 2023 Dkt Mwigulu Nchemba alisema hakuna wizi wa fedha serikalini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…