sengobad
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 9,008
- 8,788
Mfano.....Kauli za Mama Samia kama anabembeleza vile lakini nyuma huko kuna moto. Wengi wanataabika huko halmashauri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfano.....Kauli za Mama Samia kama anabembeleza vile lakini nyuma huko kuna moto. Wengi wanataabika huko halmashauri
Akikwambia geuka kushoto we geuka kulia uone kuna nini.Usijekuwaamini wanasiasa hata siku moja
Nionavyo, hayupo mwenye nafuu,Huyu ana uafadhali
Ningekuwa Mimi..ningejiuzulu....haiwezekani Mkuu wako anapinga nawe hadharani na bado upo..kwa kusema Uongo hadharani...View attachment 2933564View attachment 2933565View attachment 2933566
#Habari: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wateule kusimamia tatizo la wizi wa fedha unaofanywa na watumishi wa umma kwa kushirikiana na mitandao mingine nje ya serikali.
Rais Samia ameyasema hayo leo tarehe 13 Machi, 2024 wakati akiwaapisha viongozi wateule wakiwemo wakuu wa mikoa wapya na waliohamishwa vituo vya kazi na viongozi wengine katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam.
"Nataka mkasimamie pia mifumo ya ukusanyaji mapato, watu wanaiba fedha watu wote mko hapo, wakuu wa mikoa na wilaya mko hapo, kuna mitandao inachepusha fedha za halmashauri huko, kuna mtandao wa serikali na mtandao mwingine unaochepusha pesa, nashukuru Mbeya wamekuwa wa kwanza kutuambia tunafuatilia huo mtandao, na upo unaenda na wanaambizana wanachepusha pesa nyingi sana, lakini bado mnakaa huko sijui kitu gani kimeharibika mnahitaji pesa zinatoka wapi?"
Rais Samia
Dokta wa Uchumi kalewa kazi.
Amejitamba hadharahi kuwa sasa hakuna wizi wa fedha serikalini, na kwamba mama Samia kafanya makubwa kutokomeza kabisa wizi wa fedha za umma serikalini.
Mama kamgutua.
Ametoa mfano wa mtandao wa wizi wa fedha za serikali huko Mbeya.
Fedha zinaingia moja kwa moja mifukoni mwa watendaji wachache wajanja.
Dr Mwigulu Nchemba kalewa madaraka, uwaziri umemkolea hadi anasahau kazi.
Hili ni tatizo.
====
Oktiba 28, 2023 Dkt Mwigulu Nchemba alisema hakuna wizi wa fedha serikalini.
Kuna taarifa humu JF ambapo member mmoja alidokeza kuna sabottage ya mfumo wa eGov inayosimamia malipo kupitia control number.Sijaelewa... kama kweli wapo na wametangazwa hadharani hawajashtukizwa kutiwa pingu..wanaanza leoleo kuvunja mtandao na kupoteza ushahidi..hizo hela walizojigawia si ndo itakuwa "kilichoenda kwa mganga "?
Huu siyo utamaduni wetu mkuu.Ningekuwa Mimi..ningejiuzulu....haiwezekani Mkuu wako anapinga nawe hadharani na bado upo..kwa kusema Uongo hadharani...
Basi tuwachulie kuwa wao ni pipa na mfuniko.Nionavyo, hayupo mwenye nafuu,
Wasituchoshe.
ni katika makosa tunajirekebisha na kujisahihisha kwa kuambiana ukweli ili hatimae kuwa makini zaidi katika kubaini kasoro, upigaji na dosari katika ukusanyaji, matumizi na utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa fedha za umma...View attachment 2933564View attachment 2933565View attachment 2933566
#Habari: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wateule kusimamia tatizo la wizi wa fedha unaofanywa na watumishi wa umma kwa kushirikiana na mitandao mingine nje ya serikali.
Rais Samia ameyasema hayo leo tarehe 13 Machi, 2024 wakati akiwaapisha viongozi wateule wakiwemo wakuu wa mikoa wapya na waliohamishwa vituo vya kazi na viongozi wengine katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam.
"Nataka mkasimamie pia mifumo ya ukusanyaji mapato, watu wanaiba fedha watu wote mko hapo, wakuu wa mikoa na wilaya mko hapo, kuna mitandao inachepusha fedha za halmashauri huko, kuna mtandao wa serikali na mtandao mwingine unaochepusha pesa, nashukuru Mbeya wamekuwa wa kwanza kutuambia tunafuatilia huo mtandao, na upo unaenda na wanaambizana wanachepusha pesa nyingi sana, lakini bado mnakaa huko sijui kitu gani kimeharibika mnahitaji pesa zinatoka wapi?"
Rais Samia
Dokta wa Uchumi kalewa kazi.
Amejitamba hadharahi kuwa sasa hakuna wizi wa fedha serikalini, na kwamba mama Samia kafanya makubwa kutokomeza kabisa wizi wa fedha za umma serikalini.
Mama kamgutua.
Ametoa mfano wa mtandao wa wizi wa fedha za serikali huko Mbeya.
Fedha zinaingia moja kwa moja mifukoni mwa watendaji wachache wajanja.
Dr Mwigulu Nchemba kalewa madaraka, uwaziri umemkolea hadi anasahau kazi.
Hili ni tatizo.
====
Oktiba 28, 2023 Dkt Mwigulu Nchemba alisema hakuna wizi wa fedha serikalini.
Katika serikali yetu, hakuna kiongozi mwenye conscience ya kujihukumu.Ningekuwa Mimi..ningejiuzulu....haiwezekani Mkuu wako anapinga nawe hadharani na bado upo..kwa kusema Uongo hadharani...
Basi angepewa kazi ya usemaji wa Serikali au Propaganda na Uenezi....; Lakini katika wizara hii anapimwa kwa results.., Na mfumuko wa Bei katika vyakula, Sakata la Sukari na issue za kuuza na kutokuuza leave a lot to be desired....Katika mawaziri wachache wanaojitqmbua. Bashe akiwa mmoja wapo ana behave kama waziri muda wote akitoa maelezo ana figure, data from credible government sources na justification.
Mwinyi alijiuzulu peke yake katika Sakata lake ? Huenda alijiwahi akijua kwamba angekaangwa..., Ila ndio hivyo wanasiasa kutumia hata jambo baya na kuliweka kwenye good limelight... Ndio yaleyale Lowassa anasifiwa kwa kujiuzulu na sio kuhukumiwa kwa Sakata la Richmond.....Katika serikali yetu, hakuna kiongozi mwenye conscience ya kujihukumu.
Wote wana komaa hadi wachukuliwe hatua. Mfano wa rais Mwinyi kwao ninkama hadithi za alfu lela ulela!
Sakata la Mzee Mwinyi kujiuzulu mpaka sasa hakuna aliye ufikia ukomo huu wa kuwajibika.Mwinyi alijiuzulu peke yake katika Sakata lake ? Huenda alijiwahi akijua kwamba angekaangwa..., Ila ndio hivyo wanasiasa kutumia hata jambo baya na kuliweka kwenye good limelight... Ndio yaleyale Lowassa anasifiwa kwa kujiuzulu na sio kuhukumiwa kwa Sakata la Richmond.....
Anyway Maiti zinazidiana kunuka....
Mwizi anawajua wezi wenzake ila kamwe hawatajiView attachment 2933564View attachment 2933565View attachment 2933566
#Habari: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wateule kusimamia tatizo la wizi wa fedha unaofanywa na watumishi wa umma kwa kushirikiana na mitandao mingine nje ya serikali.
Rais Samia ameyasema hayo leo tarehe 13 Machi, 2024 wakati akiwaapisha viongozi wateule wakiwemo wakuu wa mikoa wapya na waliohamishwa vituo vya kazi na viongozi wengine katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam.
"Nataka mkasimamie pia mifumo ya ukusanyaji mapato, watu wanaiba fedha watu wote mko hapo, wakuu wa mikoa na wilaya mko hapo, kuna mitandao inachepusha fedha za halmashauri huko, kuna mtandao wa serikali na mtandao mwingine unaochepusha pesa, nashukuru Mbeya wamekuwa wa kwanza kutuambia tunafuatilia huo mtandao, na upo unaenda na wanaambizana wanachepusha pesa nyingi sana, lakini bado mnakaa huko sijui kitu gani kimeharibika mnahitaji pesa zinatoka wapi?"
Rais Samia
Dokta wa Uchumi kalewa kazi.
Amejitamba hadharahi kuwa sasa hakuna wizi wa fedha serikalini, na kwamba mama Samia kafanya makubwa kutokomeza kabisa wizi wa fedha za umma serikalini.
Mama kamgutua.
Ametoa mfano wa mtandao wa wizi wa fedha za serikali huko Mbeya.
Fedha zinaingia moja kwa moja mifukoni mwa watendaji wachache wajanja.
Dr Mwigulu Nchemba kalewa madaraka, uwaziri umemkolea hadi anasahau kazi.
Hili ni tatizo.
====
Oktiba 28, 2023 Dkt Mwigulu Nchemba alisema hakuna wizi wa fedha serikalini.
Nimekuuliza kipindi kile aliondoka Mwinyi peke yake au kundi la watu walijiuzulu ? Pili kumbuka kipindi hicho politicians sio kama wa sasa walikuwa inabidi ku-act the part...; Ni kuanzia Kipindi cha Mwinyi ndio Ikulu ilianza kuwa Pango la Walanguzi....; Anyway let's let the Sleeping Dogs lie...Sakata la Mzee Mwinyi kujiuzulu mpaka sasa hakuna aliye ufikia ukomo huu wa kuwajibika.
Ngoja itokee siku Mwigulu yupo pamoja na boss wake ‘bi tozo’ halafu aanze kumpamba uone mama anavyokenua meno na kutabasamu.Basi angepewa kazi ya usemaji wa Serikali au Propaganda na Uenezi....; Lakini katika wizara hii anapimwa kwa results.., Na mfumuko wa Bei katika vyakula, Sakata la Sukari na issue za kuuza na kutokuuza leave a lot to be desired....
Majukumu ya Waziri wa Kilimo ni yapi?
Imetokea kasumba mbovu ambayo mwisho wa siku ninaiita cheap politics na divide and rule..., Waziri amekuwa akijinasibu mtetezi wa wakulima kwamba hawapangii Bei na kuonyesha kana kwamba walaji ni wanyonyaji ambao wanataka kunyonya jasho la mkulima. Lakini ukiangalia kwa marefu na mapana hawa...www.jamiiforums.com
Nyalandu kutangaza kugombea URAIS, Siri zafichuka kutoka Kikao Cha KBH singida. Yadaiwa ni kumdhibiti na kumpunguzia nguvu Mwigulu Nchemba,Pia Muundo Mpya wa Baraza la Mawaziri Wamuweka tumbo Joto.
Niseme kuwa CCM haijawahi kumshutumu Nyalandu au lembeli kisa wamehama.
Usaliti ni laana
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wateule kusimamia tatizo la wizi wa fedha unaofanywa na watumishi wa umma
ameyasema hayo leo tarehe 13 Machi, 2024