Mungu mkubwa na ni fundi sana,umepewa cheo kikubwa cha uwaziri wa fedha,ambao ki ukweli imetusaidia kukuelewa, wewe ni kiongozi wa aina gani. Ni Kiongozi wa hovyo na mwiba kwetu sisi Watanzania. Toka Umepata Uwaziri, Watanzania ni maumivu, kwa kila kitu kupandishwa kodi na vitu kupanda bei, Miamala haishikiki.
Hapo ni Waziri je ungekuwa Raisi ingekuwaje? Watanzania tungelia na kusaga meno.Una kauli za ubabe, eti unatumbia anayeona kodi ni nyingi ahamie Burundi.
Mwigulu tambua hicho cheo ni dhamana, huyo Mama anaweza kukufyatua wakati wowote. Watanzania wote kwa pamoja tupige mbiu, Mwigulu hafai hata ukatibu kata