Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YesKwani magufuli alikuwa dictator?
Huyu aligombea urais na Magufuli kwa nguvu Sana. Bado Nia hiyo ilo palepale na atagombeaUrais upi tena
Mbona gafla
Hapana.Alikuwa ni bruda wa kanisa.Hukuona alivyokuwa akishika makapu ya sadaka kwa ustadi wakati wa matoleo?Kwani magufuli alikuwa dictator?
Mbio za urais 2025, Vijembe na vishoka.Kauli yako ya muhamie Burundi si ya kubeza. Magufuli alikuwa anayasema haya haya ya "wapige mbizi kama hawawezi kulipa Sh. 200".
Tumeona na tumshuhudia alipopata kuwa Rais alivyokuwa dictator kluwahi kutokea Tanzania.
Watanzania, huyu Nchemba ni mtu hatari sana. Mkataeni kama mna akili kichwani!
Si ndo hapo!Kwani magufuli alikuwa dictator?
"Huyu jamaa ni mshamba sana" alisikika Nape akimwambia Kinana.Kwani magufuli alikuwa dictator?
Eh! hebu simulia vzr alikuwa nani mhusika hapa?MABOMU YA SOMBETINI ARUSHA.
Waulize CHADEMA, wanamjua vizuri sana Jonas Savimbi kutoka Iramba.Eh! hebu simulia vzr alikuwa nani mhusika hapa?
Mku unataka kusema yale matukio ambayo viongozi wadini waliingilia kati mpaka Magufuli akasitisha Uwaziri wake pia alionewa kumbuka huyu ndugu anategeshewa uongozi ili achafuke.Acheni unafiki Dr mwigulu yeye ni spika tu tafuteni nani mtoa sauti viroboto najua mmetumwa na hao wataka urais kumchafua mwigulu ivi kwa nchi hii kuna mtu anaweza kuenda au kutamka kitu ambacho rais hajakibariki kweli harafu rais akae kimya hahahahahahaha acha nicheke watanzania kwa nini hatupendi kushughulisha bongo zetu
Hawana wajinga wanatuletea maada ili kufanikisha ajenda za mabwana zao
1.kwanza walimulaumu sana Dr .Magufuli kwa kutoa siri nyingi za serikali kupitia tasisi yao ya KIGOGO kwa sasa kimyaaa hamjiulizi nani kaua iyo tasisi hahahahahahaha
2.walitengeneza matukio mengi kumchafua lakini walishindwa hadi walipoamua vinginevyo. Hahahaha
3. SASA wameanza kumchafua Dr mwigulu hahahahahahaha
Ebu tujalibu kuwa wakweli wanachoongea mawaziri ni matokeo ya kikao cha baraza la mawaziri na sio maamzi ya waziri. Ivo tuache kumchafua waziri mwigulu kama maamzi yake binafsi
Hahaaaaa, Mzee wa mamvi naye aliambiwa ndiye ajaye.Alishaombewa na TB Joshua
Ndiye president ajaye
Anafuata nyayo za Dr Ruto
Watu wa mara wasivyo na haya!!!!Mungu mkubwa na ni fundi sana,umepewa cheo kikubwa cha uwaziri wa fedha,ambao ki ukweli imetusaidia kukuelewa, wewe ni kiongozi wa aina gani. Ni Kiongozi wa hovyo na mwiba kwetu sisi Watanzania. Toka Umepata Uwaziri, Watanzania ni maumivu, kwa kila kitu kupandishwa kodi na vitu kupanda bei, Miamala haishikiki.
Hapo ni Waziri je ungekuwa Raisi ingekuwaje? Watanzania tungelia na kusaga meno.Una kauli za ubabe, eti unatumbia anayeona kodi ni nyingi ahamie Burundi.
Mwigulu tambua hicho cheo ni dhamana, huyo Mama anaweza kukufyatua wakati wowote. Watanzania wote kwa pamoja tupige mbiu, Mwigulu hafai hata ukatibu kata