Hivi kwanini Huyu mwamba ameandikwa sana kwenye mawe karibia nchi nzima???
HakikaMungu mkubwa na ni fundi sana,umepewa cheo kikubwa cha uwaziri wa fedha,ambao ki ukweli imetusaidia kukuelewa...
Acheni unafiki Dr mwigulu yeye ni spika tu tafuteni nani mtoa sauti viroboto najua mmetumwa na hao wataka urais kumchafua mwigulu ivi kwa nchi hii kuna mtu anaweza kuenda au kutamka kitu ambacho rais hajakibariki kweli harafu rais akae kimya hahahahahahaha acha nicheke watanzania kwa nini hatupendi kushughulisha bongo zetuMungu mkubwa na ni fundi sana,umepewa cheo kikubwa cha uwaziri wa fedha,ambao ki ukweli imetusaidia kukuelewa...
Labda atakua Rais wa Burundi maana ndiko anakokutaja kila mara ila sio Tanzania.Ndoto iko pale pale baada ya 2030 tunaenda na Mwigulu bahati nzuri atakuwa na vitu vya kuonesha..
Hatutaki Marais wa kiswahili Swahili kama Mwendazake wa cheap politics bali Rais wa vitendo kama Samia na Mwigulu.
Je Ni sahihi mwanaume rijali kuchekachekaAcheni unafiki Dr mwigulu yeye ni spika tu tafuteni nani mtoa sauti viroboto najua mmetumwa na hao wataka urais kumchafua mwigulu ivi kwa nchi hii kuna mtu anaweza kuenda au kutamka kitu ambacho rais hajakibariki kweli harafu rais akae kimya hahahahahahaha acha nicheke watanzania kwa nini hatupendi kushughulisha bongo zetu
Hawana wajinga wanatuletea maada ili kufanikisha ajenda za mabwana zao
1.kwanza walimulaumu sana Dr .Magufuli kwa kutoa siri nyingi za serikali kupitia tasisi yao ya KIGOGO kwa sasa kimyaaa hamjiulizi nani kaua iyo tasisi hahahahahahaha
2.walitengeneza matukio mengi kumchafua lakini walishindwa hadi walipoamua vinginevyo. Hahahaha
3. SASA wameanza kumchafua Dr mwigulu hahahahahahaha
Ebu tujalibu kuwa wakweli wanachoongea mawaziri ni matokeo ya kikao cha baraza la mawaziri na sio maamzi ya waziri. Ivo tuache kumchafua waziri mwigulu kama maamzi yake binafsi
Kwani magufuli alikuwa dictator?Kauli yako ya muhamie Burundi si ya kubeza. Magufuli alikuwa anayasema haya haya ya "wapige mbizi kama hawawezi kulipa Sh. 200".
Tumeona na tumshuhudia alipopata kuwa Rais alivyokuwa dictator kluwahi kutokea Tanzania.
Watanzania, huyu Nchemba ni mtu hatari sana. Mkataeni kama mna akili kichwani!