Mwigulu Nchemba sahau ile ndoto yako ya kutaka kuwa Rais Tanzania

Msijeshangaa mawe yamechorwa tena 2025 hahah
 
Mbio za urais 2025, Vijembe na vishoka.
 
Mku unataka kusema yale matukio ambayo viongozi wadini waliingilia kati mpaka Magufuli akasitisha Uwaziri wake pia alionewa kumbuka huyu ndugu anategeshewa uongozi ili achafuke.
Kama alichafuka kutokana na hayo matukio kwa nini hakujifunza tuseme tu kuwa huyu ndugu ujuaji unamponza sana.
Mfano
Kuna matukio mengine alitakiwa kujifunza tu mfano lile tukio la Chadema juu ya aliyekuwaga Mbunge Lwakatare.
Japokuwa mm ni ccm lakini kuna mambo ambayo watu wanayafanya unabaki kujiuliza hii ni nini je ni faida kwa nani.
Ninaamini Tuishi tu ila tusijifunze kuishi kwani tutaonekana bado
 
Alishaombewa na TB Joshua

Ndiye president ajaye

Anafuata nyayo za Dr Ruto
Hahaaaaa, Mzee wa mamvi naye aliambiwa ndiye ajaye.

Muda umepita, imegundulika kumbe naye alikuwa Nabii wa uwongo.

Mwigu anasubiri dodo chini ya mpera.
 
Watu wa mara wasivyo na haya!!!!

Kuna jamaa akiwa anauliza swali amedokeza kuwa " Hata MAWE" na majabali Nchi nzima yanamjua mwigu ni nani"πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…