Ukwel mtupu
Member
- Jan 30, 2014
- 40
- 8
Wakuu naibu waziri wa fedha mh mwigulu nchemba amekaririwa akitamka wazi kuwa serikali kwa sasa inakabiliwa na ukata wa fedha na hivyo kushindwa kuwaajiri walimu wapya kwa kuwa haina fedha za kuwalipa stahiki zao, pia kutokana na ukata huo wazabuni mbalimbali pamoja na makandarasi hawajalipwa hadi sasa achilia mbali madeni ya walimu ambao wanaidai serikali mabilioni ya fedha.
Hivyo ndugu zangu walimu mnaokaa nyumban kusubiria ajira mtasubiri sana mwaka huu
Source: Gazeti la mwananchi la leo
Hivyo ndugu zangu walimu mnaokaa nyumban kusubiria ajira mtasubiri sana mwaka huu
Source: Gazeti la mwananchi la leo