Mwigulu Nchemba: Serikali haina fedha kwa ajili ya kuajiri walimu wapya

Mwigulu Nchemba: Serikali haina fedha kwa ajili ya kuajiri walimu wapya

Ukwel mtupu

Member
Joined
Jan 30, 2014
Posts
40
Reaction score
8
Wakuu naibu waziri wa fedha mh mwigulu nchemba amekaririwa akitamka wazi kuwa serikali kwa sasa inakabiliwa na ukata wa fedha na hivyo kushindwa kuwaajiri walimu wapya kwa kuwa haina fedha za kuwalipa stahiki zao, pia kutokana na ukata huo wazabuni mbalimbali pamoja na makandarasi hawajalipwa hadi sasa achilia mbali madeni ya walimu ambao wanaidai serikali mabilioni ya fedha.

Hivyo ndugu zangu walimu mnaokaa nyumban kusubiria ajira mtasubiri sana mwaka huu

Source: Gazeti la mwananchi la leo
 
Poleni walinu aisee, Hata mi nimesoma kwenye gazeti hiyo habari nadhani mwaka huu mnaweza kuajiliwa hata mwezi wa nane kabisa! Poleni Hii nchi jamani!
 
ACHENI KUPOTOSHA HABARI! mwigulu amesema huu sio wakati sahihi wa kudai nyongeza ya posho kwakuwa serikali haina fedha ISITOSHE wako walimu 30000 ambao bado hawajapangiwa vituo na wapo walimu wanaodai stahiki nyingine...alikuwa anatoa ufafanuzi kuhusu kuongeza posho...mnaposoma msikurupuke.
 
Wakuu naibu waziri wa fedha mh mwigulu nchemba amekaririwa akitamka wazi kuwa serikali kwa sasa inakabiliwa na ukata wa fedha na hivyo kushindwa kuwaajiri walimu wapya kwa kuwa haina fedha za kuwalipa stahiki zao, pia kutokana na ukata huo wazabuni mbalimbali pamoja na makandarasi hawajalipwa hadi sasa achilia mbali madeni ya walimu ambao wanaidai serikali mabilioni ya fedha, hivyo ndugu zangu walimu mnaokaa nyumban kusubiria ajira mtasubiri sana mwaka huu!!!

Source: gazeti la mwananchi la leo
Mwanachi hawajaandika hivi wewe umeyatoa wapi haya uliyoandika.
 
unafanya kaz ya ku edit taarifa ya watu inaonesha jinsi gan ulivyo mpagan wa mawazo ni bora kukaa kimya kuliko ukadhan ni ujanja kupost uwongo
 
Ndg mi nahisi hukumuelewa mh. Waziri, alisema kuwa hatuwezi kuongeza posho wkt kuna walimu elfu 30 hatujawaajiri, na wengine wao wanadaistahi zao,,kuwa makini ndg yng
Wakuu naibu waziri wa fedha mh mwigulu nchemba amekaririwa akitamka wazi kuwa serikali kwa sasa inakabiliwa na ukata wa fedha na hivyo kushindwa kuwaajiri walimu wapya kwa kuwa haina fedha za kuwalipa stahiki zao, pia kutokana na ukata huo wazabuni mbalimbali pamoja na makandarasi hawajalipwa hadi sasa achilia mbali madeni ya walimu ambao wanaidai serikali mabilioni ya fedha.

Hivyo ndugu zangu walimu mnaokaa nyumban kusubiria ajira mtasubiri sana mwaka huu

Source: Gazeti la mwananchi la leo
 
mtoa post nadhani alisoma sociology na huu mwaka wa 3 hajapata kazi acha roho mbaya mkuu
 
ACHENI KUPOTOSHA HABARI! mwigulu amesema huu sio wakati sahihi wa kudai nyongeza ya posho kwakuwa serikali haina fedha ISITOSHE wako walimu 30000 ambao bado hawajapangiwa vituo na wapo walimu wanaodai stahiki nyingine...alikuwa anatoa ufafanuzi kuhusu kuongeza posho...mnaposoma msikurupuke.

Acha kujifariji pamoja na walimu wenzako. Ni kweli serikali haina fedha mpaka baada ya uchaguzi 2015.

Vipaumbele kwa wakati huu ni sitahiki kwa wajumbe wa bunge la katiba. Na mwaka kesho ni sekeseke la uchaguzi tu.

Hivyo ndugu waalimu kuweni na subira kidogo. Ajira mtapata pamoja na sitahiki zenu baada ya uchaguzi wa 2015.
 
Back
Top Bottom