Mwigulu Nchemba, tafadhali kafute mabango yako barabarani!

Mwigulu Nchemba, tafadhali kafute mabango yako barabarani!

Ukiwa na matumaini makubwa ya kuwa raia namba moja nchini, ulianza kampeni mapema kwa kuandika mabango kwa mamia katika maeneo yote muhimu na pia katika structures nyingi zilizo barabarani nchi nzima!

Kwa kuwa umegonga mwamba katika matumaini yako tafadhali tumia mbinu zile zile ulizotumia kuyaandika mabango hayo kuyafuta kwani sasa yamekuwa uchafu!

Inabidi nemc wamshukie huyu savimbii
 
Mwigulu Nchemba aje huku katoro geita kwenye ukuta wa jengo la nmb afute upuuzi wake haraka sana.
 
Last edited by a moderator:
msamvu stend morogoro alichafua kweli ila sasa wameanza kufuta.
 
Kuna sehemu ukikojoa unachafua mazingira na faini yake imeandikwa.
Kuna sehemu imeandikwa no postas na faini yake imeandikwa.
Kuna sehemu imeandikwa Ngwigulu Rais 2015 je faini yake itakuwa Tsh. Ngapi?
 
Naamini yakiachwa kuna siku akipata akili atayachukia na yeye

Umenifurahisha. Akikua ataacha.Hata huo uzalendo anaodhani unadhihirishwa na kuvaa kuvaa rangi za bendera ya taifa, akikua atagundua kuwa wazalendo wa kweli hawako hivyo. Tumuombee akue.
 
Wana bodi kwenye kinyang'anyiro cha kampeini za kuusaka urais kupitia ccm mwaka huu ndugu Mwigulu Nchemba anaonekana alikuwa na mbinu kali ya kuandika mabango kwenye miamba, madaraja, miti mkikubwa nk sasa uchaguzi umeisha atumie njia ile ile kufuta maneno yanayosema Mwigulu Nchemba ni rais 2015 vinginevyo atakuwa ana mkana dr magufuli.
 
Naona leo umekuja kivingine, tumezoea kukuona ukitangaza simu za mkononi na magari mkuu#
 
Wana bodi kwenye kinyang'anyiro cha kampeini za kuusaka urais kupitia ccm mwaka huu ndugu Mwigulu Nchemba anaonekana alikuwa na mbinu kali ya kuandika mabango kwenye miamba, madaraja, miti mkikubwa nk sasa uchaguzi umeisha atumie njia ile ile kufuta maneno yanayosema Mwigulu Nchemba ni rais 2015 vinginevyo atakuwa ana mkana dr magufuli.

Kakojoe ulale
 
Mwanzo alifurahia kuteuliwa kuwa waziri lakini sasa anajuta kupewa huo uwaziri!!
 
Hapa sangasanga njia panda ya kwenda MU napo amechafua kwa kuandika mwigulu raisi,
 
~~~>>Kwenye daraja la Lembeni huku Kilimanjaro amechafua.

~~~~>>>Njia Panda hapa Kilimanjaro pia amechafua

Njoo utufutie huu Uchafu Wako....
 
~~~>>Kwenye daraja la Lembeni huku Kilimanjaro amechafua.

~~~~>>>Njia Panda hapa Kilimanjaro pia amechafua

Njoo utufutie huu Uchafu Wako....
Anapunguza gharama za 2025, mwaka huo ataondoa namba 1 kwenye 2015 na kuweka namba 2 ili isomomeke 2025. Ni mchumi yule. Si unajua masuala time-value for money.
 
Mkuu,yale maandishi 'ya nyakati' yanaathiri vipi utendaji wake?Au unatuma ujumbe gani kwa Mkuu wetu kuhusu uteuzi aliofanya?
 
Back
Top Bottom