Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt Mwigulu Nchemba akijibu hoja za Wabunge ndani ya Bunge amejitapa kuwa anajua anachokifanya maana PhD yake ni ya kusomea na siyo kupewa.
Namnukuu
'Hapa tunatisha tisha watu kwa ajili ya nini? Niwahakikishie, na wala hata siyo mbaya kwasababu hii siyo Honorary Doctor, nimeingia darasani. Mheshimiwa Rais Samia mbinu alizochukua, na vision aliyoweka kwenye masuala ya kiuchumi si ya kutiliwa mashaka''
----
Nadhani wenye Udokta wa kupewa Sijui chuo kikuu Cha Dar, na wengine wote kwingineko, mmetuelewa vizuri !!
Kwa Jinsi ambavyo Wanawake wakipata Nyadhifa, Huwa hawapendi kuonekana hawafai?.
Mwigulu na Ufedha wake, Sijui Sijui, Mwanamke mwenyewe wa Zanzibar
Ila Kaka Mwigulu, Kuna kusoma halafu Kuna kukiweka kwenye vitendo kile ulichokisomea!!!