Mwigulu Nchemba: Udokta wangu sio wa kupewa, niliusomea

Nadhan wenye Udokta wa kupewa Sijui chuo kikuu Cha Dar, na wengine wote kwingineko, mmetuelewa vizuri !!

Kwa Jinsi ambavyo Wanawake wakipata Nyadhifa, Huwa hawapendi kuonekana hawafai?.

Mwigulu na Ufedha wake, Sijui Sijui, Mwanamke mwenyewe wa Zanzibar

Ila Kaka Mwigulu, Kuna kusoma alafu Kuna kukiweka kwenye vitendo kile ulichokisomea!!!

Anachokitafuta atakipata
 
Daah, ambao hatujasomea u dokita tuna comment wapi? 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom