Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Ataenda Nigeria kurekebisha nyotaSiku za Mwigulu madarakani zinahesabika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ataenda Nigeria kurekebisha nyotaSiku za Mwigulu madarakani zinahesabika
Siku za Mwigulu madarakani zinahesabika TX
Waswahili mshapata kiroja cha kumfitinisha mwigulu na mama, niwaambieni tu mwigulu yupo Sana tu na Samia sio mjinga amfukuze kisa dokita musukuma, hahahaha we musukuma nenda darasaniKwa sababu ya Musukuma, Nchemba kamponda bosi Wake mwenye udokita wa kupewa 😂😂
Nchemba angekuwa hasumbuliwi na Musukuma angekaa kimya tu.
Nchemba kalikoroga
Naona amemkashifu mna akajishtukiaUzi Huu auone Dokta Samia !!
Musukuma keshamvuruga Lameck, tulia mzee baba kuna watu wana uzoefu mkubwa wa kupanga mashambulizi, Musukuma yu miongoni mwao.hahahaha we musukuma nenda darasani
Mwigulu kiburi kimezidi sasaHangaya anajisikiaje?
Unajua watu waliokulia vijijini wakaja mjini kusoma Chuo Kikuu baada ya kufaulu form six Huwa wanasumbulia sana na ugonjwa wa ushamba.Mwigulu ni mshamba!Ye nae kila siku kujisifia udaktari. Utadhani ndio wa kwanza kuupata
Bashe aende Utalii!Mpeni Kimei !!
Ataikataa likizo, ila jamaa anatumia nguvu nyingi kujibu hoja zake hivi kweli mawaziri wa fedha uingia kwenye marumbano na wananchi mara kwa mara.Ningekuwa na uwezo, ningemshauri mh achukue likizo ya mwezi mzima, (si ana naibu wake! Anaweza kumsaidia). Ukifanya kazi mfululizo bila kupumzika nayo sio afya...
Hajui kuwa tunajua kuwa aliununua kwa kuwahonga maprofesa? Si rahisi kupata udakatari wa kweli kwa njia alizopitia kilaza huyu aliyegushi kuanzia sekondari hadi chuoNadhan wenye Udokta wa kupewa Sijui chuo kikuu Cha Dar, na wengine wote kwingineko, mmetuelewa vizuri !!
Kwa Jinsi ambavyo Wanawake wakipata Nyadhifa, Huwa hawapendi kuonekana hawafai?.
Mwigulu na Ufedha wake, Sijui Sijui, Mwanamke mwenyewe wa Zanzibar
Ila Kaka Mwigulu, Kuna kusoma alafu Kuna kukiweka kwenye vitendo kile ulichokisomea!!!
Rubbish, Mwigulu weka publications zako from your thesis na pia weka thesis yako public watu/wasomi waione na kuidadavua. Iko wapi?Nadhan wenye Udokta wa kupewa Sijui chuo kikuu Cha Dar, na wengine wote kwingineko, mmetuelewa vizuri !!
Kwa Jinsi ambavyo Wanawake wakipata Nyadhifa, Huwa hawapendi kuonekana hawafai?.
Mwigulu na Ufedha wake, Sijui Sijui, Mwanamke mwenyewe wa Zanzibar
Ila Kaka Mwigulu, Kuna kusoma alafu Kuna kukiweka kwenye vitendo kile ulichokisomea!!!
Huyu bwege anampiga kijembe Rais Samia,ama kweli ameota mapenbeNadhan wenye Udokta wa kupewa Sijui chuo kikuu Cha Dar, na wengine wote kwingineko, mmetuelewa vizuri !!