Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutafilisiwa jamani. Watajazana wao tu. Acheni Hawa jamaa walitakiwa wawe Kenya kule ambapo mwalimu mkisii hawezi fundisha kwa wakikuyu. Yaani wewe unatundisha ama unatibu kwenye kabila lako hapo hapo na inabidi ujisifie kabila lako mko juuMpeni Kimei !!
Akiweka atavuliwa nguo. Utakuta ni kama kurasa hata mia badala ya kitu kama mia tatu kwenda juu mbali na kutokidhi. Thesis zetu bado ni changa na ndogo ukilinganisha na North America ambako ni mzigo wa kazi za suluba kuikamilisha hiyo kitu. Ndiyo maana wanazivicha. Ni za hovyo na dhaifu by such implicationsMimi ushauri wangu bwana Madelu aweke thesis yake hadharani na watu waipitie ili awakomeshe vizabizabina kama Dr Musukuma
Unajua lemira mzee baba??Mbona ana udocta lakini matokeo ni sifuri Bora aliyepewa wa heshima kwakuwa kafanya yaliyonekana msikivu Mwenye huruma mashehewetu walisota jela wengine Kesi za ugaidi wengine kufungiwa account wengine kunyanganywa pesa mikutano rukusa anastahili udoctor hasa wa heshima kuliko huo wa makaratasi hata ukifa unabaki na makaratasi lakini wa heshima hudumu milele
Jamaa anajua each and everything ana uhakika hakuna wa kumfanya chochote !!Uzi Huu auone Dokta Samia !!
Duh !Uzuri wa bosi wake namaanisha yule mkubwa kabisa aliyemfikisha hapo huwa ana file lake na siku nyingi alishamblackmail na ndio maana hata alikubali kuwa mwanasesere awamu ya tano ili kumfanyia baadhi ya kazi zake, JPM masikini hakujua alizungukwa na mamluki kila kona na wengine hata huwadhanii.
Bosi wake mkubwa anaweza kumfanya chochote kile hata kumpumzisha pale Iramba na mwenyewe "analijua hili" akiitwa hata usiku wa manane kwenda kawe, urusino au pale Chad kwa soga haraka sana hata akiwa amevaa ndala.
Alisahau kidogo 😂Hana adabu, amemtukana hadi aliye mteua...
Eti jana huyo Babutale anataka awe anaitwa dokta!!!PhD ya kuonga hiyo haina tofauti na ya dk babutale
KimeiJumapili unatoka mkeka wa Mawaziri
Fedha anaenda Bashe
Ila kamkosea heshima Dr SSH.Uzi Huu auone Dokta Samia !!
Dr Charles KIMEI ni sub muhimu dakika za mwisho.Jumapili unatoka mkeka wa Mawaziri
Fedha anaenda Bashe
[emoji1][emoji1][emoji1] Ngoja tusubiri litatua tu maana waliopewa wengine ni mabosi zakeKazi kweli, katupa jiwe gizani. Sijuhi litatua wapi. Lakini unyenyekevu muhimu!!!
Hoja yako haina mashiko!!Tutafilisiwa jamani. Watajazana wao tu. Acheni Hawa jamaa walitakiwa wawe Kenya kule ambapo mwalimu mkisii hawezi fundisha kwa wakikuyu. Yaani wewe unatundisha ama unatibu kwenye kabila lako hapo hapo na inabidi ujisifie kabila lako mko juu