Mwigulu Nchemba: Udokta wangu sio wa kupewa, niliusomea

Hoja yako haina mashiko!!
Najua kuwa unajua hao jamaa walivyo ule ubinafsi upo kwa kiwango Cha juu mno. Ya wao kujiona Ni Bora kuliko wengine na wanadhani nchi hauwezi kwenda bila ya wao. Waache wafanye biashara Mana wao wanajua kutafuta pesa. Nadhani alivyojazaga nduguze crdb na huku Ni plc.
 
🤣🤣🤣 Eti Dr Taletale, dah basi tena

Watu na Doctors zao na wengine na doctors za kusomea hahaaaa

Hii nchi raha sana!!
Ne yeye anakwambia anamshukuru sana Daktari mwenzake Dr. Samia.
 
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt Mwigulu Nchemba akijibu hoja za Wabunge ndani ya Bunge amejitapa kuwa anajua anachokifanya maana PhD yake ni ya kusomea na siyo kupewa.

Namnukuu
'Hapa tunatisha tisha watu kwa ajili ya nini? Niwahakikishie, na wala hata siyo mbaya kwasababu hii siyo Honorary Doctor, nimeingia darasani. Mheshimiwa Rais Samia mbinu alizochukua, na vision aliyoweka kwenye masuala ya kiuchumi si ya kutiliwa mashaka''

----
Nadhani wenye Udokta wa kupewa Sijui chuo kikuu Cha Dar, na wengine wote kwingineko, mmetuelewa vizuri !!

Kwa Jinsi ambavyo Wanawake wakipata Nyadhifa, Huwa hawapendi kuonekana hawafai?.

Mwigulu na Ufedha wake, Sijui Sijui, Mwanamke mwenyewe wa Zanzibar

Ila Kaka Mwigulu, Kuna kusoma halafu Kuna kukiweka kwenye vitendo kile ulichokisomea!!!

Ni hatari sana.
Kama una kitu cha maana subiri watu watambue umaana wa kitu hicho kwa matendo yako siyo kujisifia na kujiona, ikiwa hivyo basi mabaunsa watamaliza watu.
Mtu mmoja alipokuwa na kiu hakujali usafi wa kikombe wala aliyempa maji,mara baada ya kunywa maji na kukata kiu akaanza "Mimi ni msafi sana na vikombe vyangu pia , siyo mchafu kama fulani(aliyempa maji)" yule mchafu alichofanya alimrudishia kiu yake akatafute, maji safi na salama kwingine.
 
Kwahiyo hapa Dr. Mwigulu Nchemba PhD anawaambia nini kina Dr. Samia, Dr. Kikwete, Dr. Hamisi Taletale na ma Dr wengine kama hao?

Wewe Dr. Mwigulu Nchemba wewe?
Dokta msukuma hahaha
 
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt Mwigulu Nchemba akijibu hoja za Wabunge ndani ya Bunge amejitapa kuwa anajua anachokifanya maana PhD yake ni ya kusomea na siyo kupewa.

Namnukuu
'Hapa tunatisha tisha watu kwa ajili ya nini? Niwahakikishie, na wala hata siyo mbaya kwasababu hii siyo Honorary Doctor, nimeingia darasani. Mheshimiwa Rais Samia mbinu alizochukua, na vision aliyoweka kwenye masuala ya kiuchumi si ya kutiliwa mashaka''

----
Nadhani wenye Udokta wa kupewa Sijui chuo kikuu Cha Dar, na wengine wote kwingineko, mmetuelewa vizuri !!

Kwa Jinsi ambavyo Wanawake wakipata Nyadhifa, Huwa hawapendi kuonekana hawafai?.

Mwigulu na Ufedha wake, Sijui Sijui, Mwanamke mwenyewe wa Zanzibar

Ila Kaka Mwigulu, Kuna kusoma halafu Kuna kukiweka kwenye vitendo kile ulichokisomea!!!

Hili nalo ngoja wakalitazame
 
Si PhD ya kupewa? Hapa anamsema Mama au?
 
Naon ameshindw kuheshimu kuw aliepale ndie Rais na kiitifak mwigul hakupasw kujipg kifua
Jiwe katikati ya Giza Totoro.

Hajui mwenye Udokta wakupewa ndiye yule yul alosema...

"Ukiniparula namimi nakuparula" [emoji23]
 
Back
Top Bottom