Mwigulu Nchemba: Udokta wangu sio wa kupewa, niliusomea

Mwigulu Nchemba: Udokta wangu sio wa kupewa, niliusomea

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt Mwigulu Nchemba akijibu hoja za Wabunge ndani ya wabunge amejitapa kuwa anajua anachokifanya maana PhD yake ni ya kusomea na siyo kupewa.

Namnukuu
'Hapa tunatisha tisha watu kwa ajili ya nini? Niwahakikishie, na wala hata siyo mbaya kwasababu hii siyo Honorary Doctor, nimeingia darasani. Mheshimiwa Rais Samia mbinu alizochukua, na vision aliyoweka kwenye masuala ya kiuchumi si ya kutiliwa mashaka''

----
Nadhani wenye Udokta wa kupewa Sijui chuo kikuu Cha Dar, na wengine wote kwingineko, mmetuelewa vizuri !!

Kwa Jinsi ambavyo Wanawake wakipata Nyadhifa, Huwa hawapendi kuonekana hawafai?.

Mwigulu na Ufedha wake, Sijui Sijui, Mwanamke mwenyewe wa Zanzibar

Ila Kaka Mwigulu, Kuna kusoma halafu Kuna kukiweka kwenye vitendo kile ulichokisomea!!!

Pamoja na kusoma hana weledi kuhusu mambo ya fedha kiasi cha kua waziri wa fedha. Mtu usome masters na Phd huku uko kwenye public office kama waziri utakua umesoma kweli au kuna mtu kakusomea? Waziri wa fedha ni vizuri akawa na uzoefu kwenye mambo ya fedha na uchumi.
 
Huyu ni mtu mwenye kibri asiyependa kukosolewa wala kupewa mawazo tofauti na yake. Yaani akiendelea kuwa waziri mtajaniambia nimeketi palee.

Unyiramba mwingi mbele giza
 
Kijijini ama kwenye ukoo wao ndio wa kwanza hebu chunguza. Yaani from cowboy mpaka kuwa dokta sio mchezo. Ila angezaliwa akakutana kwenye Koo yake Kuna dokta Kama Mia nadhani angeiona kitu Cha kawaida
Wananchi wanataka udokta ama maisha bora?? Udokta apeleke huko iramba.
 
Wameenda kukopa zaidi ya kiwango kilichoruhusiwa na Bunge,

Magari ya wagonjwa zaidi 500 waliyoahidi kununuliwa Kwa pesa za MKOPO hayajulikani yalipo,

CAG ameripoti Symbion kulipwa bl 350 Yeye anasema Si Kweli na MATUSI juu.

Tutakutana tu pale filimbi ya Parade itapopulizwa.
 
Anaona amefanya makubwa. Haitaji kelele zaidi ya mapambio. Ingekuwa mimi yeye bado ningejishusha tu. Maana safari bado.
 
Kweli huyu bwana mdogo hana akili, hana busara wala werevu.

Wenzake walimsema kwenye platform nnje ya bunge.
Kwa nini na yeye asitafute platform kama huko jimboni kwake akawananga hao anaowaita wenye uwezo wa kujadili maswala ya waganga wa kienyeji!!??

Yaani anaona bungeni ndipo pa kujibizana viroja!!??
Halafu eti huyu anaota siku moja kuwa rais wa hii nchi!!!
Hata huo urais wa iramba atausikia bombani.
 
Kusema kweli tuna bahati mbaya sana, uwaziri tu anakuwa na kiburi kikali kama punda!
je angekuwa waziri mkuu au makamu wa Raisi ingekuwaje? Hovyo sana!
 
Wameenda kukopa zaidi ya kiwango kilichoruhusiwa na Bunge,

Magari ya wagonjwa zaidi 500 waliyoahidi kununuliwa Kwa pesa za MKOPO hayajulikani yalipo,

CAG ameripoti Symbion kulipwa bl 350 Yeye anasema Si Kweli na MATUSI juu.

Tutakutana tu pale filimbi ya Parade itapopulizwa.
Pesa za mbolea wao wanazipeleka kujinunulia MaV Eighty....... Halafu badala ya kuwa wapole wanawafokea na kuwakejeli Wananchi.
 
Una wachezaji MA super star afu coach sio star mpira auchezwi hapo[emoji3][emoji3]kazi kweli kweli!!!
 
Kwa hiyo hili dongo kamtupia bosi wake mwenye PhD ya sandakalawe amina.......
 
Back
Top Bottom