Mwigulu Nchemba: Udokta wangu sio wa kupewa, niliusomea

Mwigulu Nchemba: Udokta wangu sio wa kupewa, niliusomea

Nadhan wenye Udokta wa kupewa Sijui chuo kikuu Cha Dar, na wengine wote kwingineko, mmetuelewa vizuri !!

Kwa Jinsi ambavyo Wanawake wakipata Nyadhifa, Huwa hawapendi kuonekana hawafai?.

Mwigulu na Ufedha wake, Sijui Sijui, Mwanamke mwenyewe wa Zanzibar

Ila Kaka Mwigulu, Kuna kusoma alafu Kuna kukiweka kwenye vitendo kile ulichokisomea!!!

Kijembe
...alianza kuuma amejishitukia akapulizia kama panya
 
Rubbish, Mwigulu weka publications zako from your thesis na pia weka thesis yako public watu/wasomi waione na kuidadavua. Iko wapi?
Kwa kuogipa kuumbuka atakuwa anaitanguliza ndani ya boxer
 
Msitegemee sa100 kuchukua hatua kwa kauli ya mwigulu kuna bond Kati yao na mm ana mtrust sn mwigulu
 
Mwigulu ulihonga maprof. Kataa tukukumbushe.
Maprof wa Tanzania ukiwa huna hela waakupiga chenga Sana Kama unasomea master's au PhD.
Ukiwa na pesa fasta. Refer Ben Saanane.
 
Kama mchumi kweli mbona uchumi unadidimia? Vitu madukani havishikiki?
Hiyo Ni Kama PhD ya Msukuma na hii ya juzi ya Babutale.
 
Nadhan wenye Udokta wa kupewa Sijui chuo kikuu Cha Dar, na wengine wote kwingineko, mmetuelewa vizuri !!

Kwa Jinsi ambavyo Wanawake wakipata Nyadhifa, Huwa hawapendi kuonekana hawafai?.

Mwigulu na Ufedha wake, Sijui Sijui, Mwanamke mwenyewe wa Zanzibar

Ila Kaka Mwigulu, Kuna kusoma alafu Kuna kukiweka kwenye vitendo kile ulichokisomea!!!

Umeandika umbea mtupu, kama unaidhihaki PHD ya kusotea nawe nenda kaitafute tukuone.
Nyoooo
 
Jiwe katikati ya Giza Totoro.

Hajui mwenye Udokta wakupewa ndiye yule yul alosema...

"Ukiniparula namimi nakuparula" 😂
Na wa msoga pia...yaani huyu jamaa akitusua hii..nitaamini uchawi unafanya Kazi kweli kweli
Jiwe katikati ya Giza Totoro.

Hajui mwenye Udokta wakupewa ndiye yule yul alosema...

"Ukiniparula namimi nakuparula" 😂
Na wa Msoga pia...

Yaani huyu jamaa akisoma bajeti ya nchi Bunge lijalo, nitaamini uchawi unafanya Kazi kweli kweli...na yeyote atakayepoteza muda wake kubishana Naye..apimwe akili.
 
Nadhan wenye Udokta wa kupewa Sijui chuo kikuu Cha Dar, na wengine wote kwingineko, mmetuelewa vizuri !!

Kwa Jinsi ambavyo Wanawake wakipata Nyadhifa, Huwa hawapendi kuonekana hawafai?.

Mwigulu na Ufedha wake, Sijui Sijui, Mwanamke mwenyewe wa Zanzibar

Ila Kaka Mwigulu, Kuna kusoma alafu Kuna kukiweka kwenye vitendo kile ulichokisomea!!!

Hakuusomea aseme ukweli amenunua kama alivyoununua Magufuli
 
Kijembe
...alianza kuuma amejishitukia akapulizia kama panya
Yaani jamaa asivyojua kuconnect ubongo na kinywa chake,eti ndani ya sentence moja amedharau Udaktari wa kupewa but immediately baada ya hapo anatuambia tusitilie mashaka strategies na Mipango aliyoweka huyo mwenye Udaktari wa kupewa....Wale UVCCM, kibajaji wa enzi za JOB wako wapi?!...au ndio Yale Yale aliyosema bwana Ndugai kwamba Mparuaji wa sasa sio MGOGO ;?
 
Kwahiyo hapa Dr. Mwigulu Nchemba PhD anawaambia nini kina Dr. Samia, Dr. Kikwete, Dr. Hamisi Taletale na ma Dr wengine kama hao?

Wewe Dr. Mwigulu Nchemba wewe?
🤣🤣🤣 Eti Dr Taletale, dah basi tena

Watu na Doctors zao na wengine na doctors za kusomea hahaaaa

Hii nchi raha sana!!
 
Nadhan wenye Udokta wa kupewa Sijui chuo kikuu Cha Dar, na wengine wote kwingineko, mmetuelewa vizuri !!

Kwa Jinsi ambavyo Wanawake wakipata Nyadhifa, Huwa hawapendi kuonekana hawafai?.

Mwigulu na Ufedha wake, Sijui Sijui, Mwanamke mwenyewe wa Zanzibar

Ila Kaka Mwigulu, Kuna kusoma alafu Kuna kukiweka kwenye vitendo kile ulichokisomea!!!

Huyu jamaa hana muda mrefu hapo wizarani.anamsema hadi boss wake kuwa ye dr yake ni ya darasni si ya kupewa...hajui anmgusa mwwnye masharubu
 
Hajui kuwa tunajua kuwa aliununua kwa kuwahonga maprofesa? Si rahisi kupata udakatari wa kweli kwa njia alizopitia kilaza huyu aliyegushi kuanzia sekondari hadi ch

Unajua watu waliokulia vijijini wakaja mjini kusoma Chuo Kikuu baada ya kufaulu form six Huwa wanasumbulia sana na ugonjwa wa ushamba.Mwigulu ni mshamba!
Mimi ushauri wangu bwana Madelu aweke thesis yake hadharani na watu waipitie ili awakomeshe vizabizabina kama Dr Musukuma
 
Back
Top Bottom