Mwigulu Nchemba: Udokta wangu sio wa kupewa, niliusomea

Dokita musukuma mwigulu sio saizi yako tafuta wa kushindana naye au kajadili uganga na babu yako mpina. Na 2025 mkitoboa Kura za maoni, majimbo tunawauzia chadema, haiwezekani Tumo kwenye mtumbwi mmoja nyie kazi yenu ni kuutoboa ili tuzame ngojeni tuwatose majini kama yona
 
Ila mbona kama ame panic fulani hivi? Maana kila analolifanya anaharibu zaidi ya kutengeneza, anything behind the scene?!
Ego is the real enemy. Huwa tunajiangusha wenyewe baadaye tunasingizia Mambo mengine ama watu fulani Ila shetani na malaika unaishi nao Ni wewe ama Mimi kumkuza ama kumpalilia Nani ili asitawi ,hakunaga mchawi
 
Nadhan wenye Udokta wa kupewa Sijui chuo kikuu Cha Dar, na wengine wote kwingineko, mmetuelewa vizuri !!

Kwa Jinsi ambavyo Wanawake wakipata Nyadhifa, Huwa hawapendi kuonekana hawafai?.

Mwigulu na Ufedha wake, Sijui Sijui, Mwanamke mwenyewe wa Zanzibar

Ila Kaka Mwigulu, Kuna kusoma alafu Kuna kukiweka kwenye vitendo kile ulichokisomea!!!

Masikini akipata matako hulia mbwata!

Hii wizara ya fedha imeongozwa na maprofesa lakini hatukuwahi kuwasikia wakijimwambafai namna hii!
 
Basi watolee hizo dokta wote, rais Samia atabaki na master yake Safi lkn huyo mropokaji dokita musukuma hata Cheti cha fomu foo hana kila dakika ni kutaka ligi na wasomi wakubwa akina mwigulu na bashe, liambieni hao sio saizi yake.
U size unakuja kwenye nini jibu hoja mezani na ushinde kwa hoja tujue wewe ni vol tofauti na sisi na sio
Kutuambia ambia kwamba umesoma hiyo ni dalili kwamba wewe mwenyewe huamini uwezo wako
 
Musukuma angekuwa sio msomi Nchemba asingehangaika pa kumpigia, Ila kiukweli huyo jamaa anawanyima usingizi Nchemba na team yake
Hahaha yaani mawaziri wasomi wakose usingizi sababu ya dokita musukuma hahahaha my ribs!!
 
Nadhan wenye Udokta wa kupewa Sijui chuo kikuu Cha Dar, na wengine wote kwingineko, mmetuelewa vizuri !!

Kwa Jinsi ambavyo Wanawake wakipata Nyadhifa, Huwa hawapendi kuonekana hawafai?.

Mwigulu na Ufedha wake, Sijui Sijui, Mwanamke mwenyewe wa Zanzibar

Ila Kaka Mwigulu, Kuna kusoma alafu Kuna kukiweka kwenye vitendo kile ulichokisomea!!!

Rais asipomtengua huyu atakuwa dhaifu sana kimantiki na kimuundo wa heshima na staha za uongozi. Huyu mwisho wake ndio umefika abaki na ubunge tu.
 
Nadhan wenye Udokta wa kupewa Sijui chuo kikuu Cha Dar, na wengine wote kwingineko, mmetuelewa vizuri !!

Kwa Jinsi ambavyo Wanawake wakipata Nyadhifa, Huwa hawapendi kuonekana hawafai?.

Mwigulu na Ufedha wake, Sijui Sijui, Mwanamke mwenyewe wa Zanzibar

Ila Kaka Mwigulu, Kuna kusoma alafu Kuna kukiweka kwenye vitendo kile ulichokisomea!!!

Siku za Mwigulu madarakani zinahesabika
 
U size unakuja kwenye nini jibu hoja mezani na ushinde kwa hoja tujue wewe ni vol tofauti na sisi na sio
Kutuambia ambia kwamba umesoma hiyo ni dalili kwamba wewe mwenyewe huamini uwezo wako
Hoja gani za kujibiwa alizonazo musukuma Mie sizioni
 
Back
Top Bottom