Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt Mwigulu Nchemba akijibu hoja za Wabunge ndani ya Bunge amejitapa kuwa anajua anachokifanya maana PhD yake ni ya kusomea na siyo kupewa.
Namnukuu 'Hapa tunatisha tisha watu kwa ajili ya nini? Niwahakikishie, na wala hata siyo mbaya kwasababu hii siyo Honorary Doctor, nimeingia darasani. Mheshimiwa Rais Samia mbinu alizochukua, na vision aliyoweka kwenye masuala ya kiuchumi si ya kutiliwa mashaka''
----
Nadhani wenye Udokta wa kupewa Sijui chuo kikuu Cha Dar, na wengine wote kwingineko, mmetuelewa vizuri !!
Kwa Jinsi ambavyo Wanawake wakipata Nyadhifa, Huwa hawapendi kuonekana hawafai?.
Mwigulu na Ufedha wake, Sijui Sijui, Mwanamke mwenyewe wa Zanzibar
Ila Kaka Mwigulu, Kuna kusoma halafu Kuna kukiweka kwenye vitendo kile ulichokisomea!!!
Mbona ana udocta lakini matokeo ni sifuri Bora aliyepewa wa heshima kwakuwa kafanya yaliyonekana msikivu Mwenye huruma mashehewetu walisota jela wengine Kesi za ugaidi wengine kufungiwa account wengine kunyanganywa pesa mikutano rukusa anastahili udoctor hasa wa heshima kuliko huo wa makaratasi hata ukifa unabaki na makaratasi lakini wa heshima hudumu milele
Ningekuwa na uwezo, ningemshauri mh achukue likizo ya mwezi mzima, (si ana naibu wake! Anaweza kumsaidia). Ukifanya kazi mfululizo bila kupumzika nayo sio afya...