Mwigulu Nchemba: Udokta wangu sio wa kupewa, niliusomea

Huyu ni mtu mwenye kibri asiyependa kukosolewa wala kupewa mawazo tofauti na yake. Yaani akiendelea kuwa waziri mtajaniambia nimeketi palee.

Unyiramba mwingi mbele giza
Kwakweli hana hekima ! Ana lose temper haraka sana !!
 
Kwahiyo anamsema boss wake huyu naona kashauchoka huo uwaziri.
 
Huu uzi wauone madkatari wote wa heshima kuanzia Dokta Msukuma, Dokta Kikwete, Dokta Samia nk, pia wale madokta wa tiba mbadala kama vile Mwaka, Ndodi, Manyaunyau nk.
 
Lakini huyu jamaa pia anashindwa kutofautisha kati ya gathering knowledge through reading books and attending classes or lectures, understanding the knowledge and application of knowledge we call it wisdom.
 
Hiyo ilikuwa ya part time wala hakuchukuwa likizo kuisomea full time PhD nayo ni fake tu
 
But he did not stay in the class full time and there is no part time PhD in Tanzania that is questionable.
 
ANATAKIWA atumbuliwe ana dharau Sana kwa wananchi na rais kusoma tu hakukufanyia uwe kiongozi mjuwa yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…