Mwigulu ni almasi ya Tanzania

Mwigulu ni almasi ya Tanzania

Nimeshuka chini moja kwa moja kuangalia kama kuna namba ya simu. Watakusoma wengine.
 
Anaandika Chigaitan kutoka KivuDRC.

Leo nitaongea UKWELI Ifike mahali watanzania tuiamini serikali yetu, tuthamini "Cabinet Ministry ya Taifa letu Kutekeleza SHERIA za taifa letu.

Ifike mahali tuweke imani kubwa kwa MWIGULU.

"Nimewasikiliza kwa makini wafanyabiashara wa Tanzania, wanaodai ni wafanyabiashara wa Kariakoo lakini mkusanyiko ule ulikuwa na taswira ya wafanyabiashara kila kona ya Tanzania.

Shida kubwa ya Tatizo la Tanzania ni watanzania kuheshimu SHERIA.

Tanzania ni taifa pekee Afrika na nchi zinazoendelea lenye SHERIA bora na rafiki kwa Raia wake.

Utajiri wa SHERIA Tanzania ndiyo Taswira ya mapinduzi makubwa ya kiuchumi Tanzania.

Huwezi kuwa na taifa imara bila kuheshimu SHERIA.

Hakuna mfanyakazi yeyote Tanzania anaiomba "RUSHWA" kwa mifumo bora ya sheria ya Tanzania.

Wafanyabiashara WANAWABEMBELEZA watumishi wa serikali wapewe wa Tanzania wapokee RUSHWA SHAHIDI zipo.

Shida kubwa sana, Shida kubwa sana Watanzania ndiyo viumbe pekee Afrika mashariki wanaopenda kutoa RUSHWA

Wafanyabiashara wa Tanzania kutoa rushwa ni utamaduni kufanikisha mambo yao .SHAHIDI zipo.

Hakuna na hayupo mtendaji wa serikali Tanzania anaependa kupokea Rushwa. SHAHIDI zipo.

Tanzania ndiyo taifa pekee Afrika linawatumishi wenye weledi na uadilifu wa hali ya juu sana .SHAHIDI zipo.

Matajiri wengi wa wenye asili ya kibantu Tanzania wamepata utajiri kwa njia ya magendo na Rushwa. SHAHIDI ZIPO.

Tafiti nyingi za zinaonesha wafanyabiashara wenye asili ya kibantu Tanzania (na Afrika) wanaongoza kwa:-

(i)Biashara za magendo,
(ii)Ukwepaji kodi,
(iii)Kutotunza rekodi za kibiashara,
(iv)Kuficha takwimu za kibiashara,
(v)Udanganyifu uliopindukia.

Tafiti zinaonesha biashara za watu wenye asili ya Asia Tanzania ndiyo zinaongoza kwa ulipaji kodi kwa usahihi na uthabiti .SHAHIDI zipo.

Malalamiko ya wafanyabiashara ni mwendelezo wa tabia ya watanzania kutotii SHERIA za taifa lao kwa maslahi mapana ya Taifa letu.

Mwigulu ni mzalendo anatekeleza SHERIA kwa maslahi ya taifa lake Tanzania.

Mtu yeyote Tanzania akifanya maamuzi ya kutekeleza sheria nukta kwa nukta anageuka kuwa Audui wa Watanzania.

Mwigulu atachukiwa na hata kulipa gharama kubwa kwa uzalendo wa kusimamia SHERIA .

Tunawajibu wa kuthamini watanzania wachache waliojitolea maisha yao kusimamia SHERIA za taifa letu,

Tusiwavunje moyo tuwape nguvu za kusimamia SHERIA kwa maendeleo ya taifa letu.

Ukimchukua Mwigulu na kumleta hapa CONGO DRC Mwigulu ni Almas kubwa sana kwa Tanzania. Mpeni nafasi awajibike kwa ajili ya taifa lake kusimamia SHERIA.

Kuikosoa makala hii unapasa kwanza uwe mzalendo wa Tanzania, pia uwe na facts za kutosha.

Chigaitan Mapinduzi vijijini

0757900020/0628300020.

copy and share
---------
Lipia sh.20000 upate copy ya kitabu tutekeleze Sheria za Taifa letu kwa kulipa kodi.

Kulipa kodi ni Uzalendo.

Sent from my SM-N950U using JamiiForums mobile app
Mmeshalipwa kuja kuleta uchawa humu
 
Punguza njaa
 
Chawa kazini

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app

Kwenye mkutano wa kariakoo Mwigulu na huyo mama wa viwanda wamevurugwa sana. Kila msemaji aliyesimama hakuna aliyetoa maneno mazuri kwa hao wawili!! Ingekuwa nchi zenye heshima kiutawala hawa wawili wasingeendelea kuwa kwenye Cabinet. Lakini kwa vile Samia hathamini ushauri wa wananchi kama ule waliompa kwenye ule mkutano basi aendelee kuwadharau kwani atakapokuja kuomba kura tena Mungu akimjalia asije shangaa watavyompokea!!Wananchi wamechoka na maisha ya chini huku kodi zao zikichezewa kama vile kihenge hakina mwenyewe!
 
983cf0743b830e5535d5fddd1b0b2ee5.jpg
 
Anaandika Chigaitan kutoka KivuDRC.

Leo nitaongea UKWELI Ifike mahali watanzania tuiamini serikali yetu, tuthamini "Cabinet Ministry ya Taifa letu Kutekeleza SHERIA za taifa letu.

Ifike mahali tuweke imani kubwa kwa MWIGULU.

"Nimewasikiliza kwa makini wafanyabiashara wa Tanzania, wanaodai ni wafanyabiashara wa Kariakoo lakini mkusanyiko ule ulikuwa na taswira ya wafanyabiashara kila kona ya Tanzania.

Shida kubwa ya Tatizo la Tanzania ni watanzania kuheshimu SHERIA.

Tanzania ni taifa pekee Afrika na nchi zinazoendelea lenye SHERIA bora na rafiki kwa Raia wake.

Utajiri wa SHERIA Tanzania ndiyo Taswira ya mapinduzi makubwa ya kiuchumi Tanzania.

Huwezi kuwa na taifa imara bila kuheshimu SHERIA.

Hakuna mfanyakazi yeyote Tanzania anaiomba "RUSHWA" kwa mifumo bora ya sheria ya Tanzania.

Wafanyabiashara WANAWABEMBELEZA watumishi wa serikali wapewe wa Tanzania wapokee RUSHWA SHAHIDI zipo.

Shida kubwa sana, Shida kubwa sana Watanzania ndiyo viumbe pekee Afrika mashariki wanaopenda kutoa RUSHWA

Wafanyabiashara wa Tanzania kutoa rushwa ni utamaduni kufanikisha mambo yao .SHAHIDI zipo.

Hakuna na hayupo mtendaji wa serikali Tanzania anaependa kupokea Rushwa. SHAHIDI zipo.

Tanzania ndiyo taifa pekee Afrika linawatumishi wenye weledi na uadilifu wa hali ya juu sana .SHAHIDI zipo.

Matajiri wengi wa wenye asili ya kibantu Tanzania wamepata utajiri kwa njia ya magendo na Rushwa. SHAHIDI ZIPO.

Tafiti nyingi za zinaonesha wafanyabiashara wenye asili ya kibantu Tanzania (na Afrika) wanaongoza kwa:-

(i)Biashara za magendo,
(ii)Ukwepaji kodi,
(iii)Kutotunza rekodi za kibiashara,
(iv)Kuficha takwimu za kibiashara,
(v)Udanganyifu uliopindukia.

Tafiti zinaonesha biashara za watu wenye asili ya Asia Tanzania ndiyo zinaongoza kwa ulipaji kodi kwa usahihi na uthabiti .SHAHIDI zipo.

Malalamiko ya wafanyabiashara ni mwendelezo wa tabia ya watanzania kutotii SHERIA za taifa lao kwa maslahi mapana ya Taifa letu.

Mwigulu ni mzalendo anatekeleza SHERIA kwa maslahi ya taifa lake Tanzania.

Mtu yeyote Tanzania akifanya maamuzi ya kutekeleza sheria nukta kwa nukta anageuka kuwa Audui wa Watanzania.

Mwigulu atachukiwa na hata kulipa gharama kubwa kwa uzalendo wa kusimamia SHERIA .

Tunawajibu wa kuthamini watanzania wachache waliojitolea maisha yao kusimamia SHERIA za taifa letu,

Tusiwavunje moyo tuwape nguvu za kusimamia SHERIA kwa maendeleo ya taifa letu.

Ukimchukua Mwigulu na kumleta hapa CONGO DRC Mwigulu ni Almas kubwa sana kwa Tanzania. Mpeni nafasi awajibike kwa ajili ya taifa lake kusimamia SHERIA.

Kuikosoa makala hii unapasa kwanza uwe mzalendo wa Tanzania, pia uwe na facts za kutosha.

Chigaitan Mapinduzi vijijini

0757900020/0628300020.

copy and share
---------
Lipia sh.20000 upate copy ya kitabu tutekeleze Sheria za Taifa letu kwa kulipa kodi.

Kulipa kodi ni Uzalendo.

Sent from my SM-N950U using JamiiForums mobile app
Nipe namba ya simu ya mmiliki wa Esther luxury coach.
 
Ni aibu kwa kijana kama wewe kuongea vitu vya kipuuzi kama hivi.
Kwanza wewe hujui sera za CCM,ulikuwa CHADEMA muda si mrefu.
Nikwambie kuwa SAMIA atatawala miaka 20.
 
Huyu ni Mwigulu mwenyewe kajiandikia, anajiita Dokta wa uchumi, hizi ndio tabia za Mwigulu, badala ya kutatua matatizo ya wafanyabiashara ambazo zimesababishwa na sheria mbovu, anaanza kujiandika mitandaoni ili kujionyesha yeye ni mzalendo, wakati ni hovyo sanaaa..

Mwigulu ataua biashara nyingi sana kwa kwa sheria mbovu na hazifai za fedha, na hajui biashara hata kidogo, na hajui akiua biashara, kesho serikali itakosa kodi kabisa.

Mwigulu anatumia mitandao sasa kujisafisha, eti watanzania wabantu ni wakwepaji kodi na watoa rushwa, eti watanzania wahindi au waarabu ndio walipaji wazuri wa kodi na kuhifadhi hesabu zao vizuri, haya ni matusi, na kama psychology ya Waziri wa Fedha ndio hii, basi hatuna mtu wizara ya fedha kabisa, haya maandiko ni ya Mwigulu kabisa ili tu kupingana na uhalisia wa wafanyabishara wanao pitia, na biashara zitakufa kwa mentality ya waziri wa aina hii.

Waziri Mkuu anahangaika sana kutatua matatizo ya wafanyabiashara sbb ya Waziri mbovu wa fedha
 
Kuikosoa makala hii unapasa kwanza uwe mzalendo wa Tanzania, pia uwe na facts za kutosha.
Unadai "facts", na huku makala yenyewe haina 'facts'?

Umeandika mambo kijumla jumla tu, lakini wewe unadai 'facts', hii si ni hayo hayo mambo ya "KiTanzania Pekee" uliyodai?

Kuhusu utetezi wako wa Mwigulu, hapa ninakupa 'benefit of doubt'.
Binafsi naanza kumtizama Mwigulu katika mwanga tofauti na ule niliokuwa nauona huko siku za nyuma.

Inawezekana kabisa mkasa huu ndio ukamjengea heshima zaidi kuliko aliyowahi kuwa nayo hadi sasa.
 
Back
Top Bottom