Anaandika
Chigaitan kutoka KivuDRC.
Leo nitaongea
UKWELI Ifike mahali Watanzania tuiamini serikali yetu, tuthamini
"Cabinet Ministry ya Taifa letu Kutekeleza
SHERIA za taifa letu.
Ifike mahali tuweke imani kubwa kwa
MWIGULU.
"Nimewasikiliza kwa makini wafanyabiashara wa Tanzania, wanaodai ni wafanyabiashara wa Kariakoo lakini mkusanyiko ule ulikuwa na taswira ya wafanyabiashara kila kona ya Tanzania.
Shida kubwa ya Tatizo la Tanzania ni Watanzania kuheshimu
SHERIA.
Tanzania ni taifa pekee Afrika na nchi zinazoendelea lenye
SHERIA bora na rafiki kwa Raia wake.
Utajiri wa
SHERIA Tanzania ndiyo Taswira ya mapinduzi makubwa ya kiuchumi Tanzania.
Huwezi kuwa na taifa imara bila kuheshimu
SHERIA.
Hakuna mfanyakazi yeyote Tanzania anaiomba
"RUSHWA" kwa mifumo bora ya sheria ya Tanzania.
Wafanyabiashara WANAWABEMBELEZA watumishi wa serikali wapewe wa Tanzania wapokee
RUSHWA SHAHIDI zipo.
Shida kubwa sana, Shida kubwa sana Watanzania ndiyo viumbe pekee Afrika Mashariki wanaopenda kutoa
RUSHWA
Wafanyabiashara wa Tanzania kutoa rushwa ni utamaduni kufanikisha mambo yao
.SHAHIDI zipo.
Hakuna na hayupo mtendaji wa serikali Tanzania anaependa kupokea Rushwa.
SHAHIDI zipo.
Tanzania ndiyo taifa pekee Afrika linawatumishi wenye weledi na uadilifu wa hali ya juu sana
.SHAHIDI zipo.
Matajiri wengi wa wenye asili ya
kibantu Tanzania wamepata utajiri kwa njia ya magendo na Rushwa.
SHAHIDI ZIPO.
Tafiti nyingi za zinaonesha wafanyabiashara wenye asili ya
kibantu Tanzania (na Afrika) wanaongoza kwa:-
(i) Biashara za magendo
(ii) Ukwepaji kodi
(iii) Kutotunza rekodi za kibiashara
(iv) Kuficha takwimu za kibiashara
(v) Udanganyifu uliopindukia
Tafiti zinaonesha biashara za watu wenye asili ya Asia Tanzania ndiyo zinaongoza kwa ulipaji kodi kwa usahihi na uthabiti
.SHAHIDI zipo.
Malalamiko ya wafanyabiashara ni mwendelezo wa tabia ya watanzania kutotii
SHERIA za taifa lao kwa maslahi mapana ya Taifa letu.
Mwigulu ni mzalendo anatekeleza
SHERIA kwa maslahi ya taifa lake Tanzania.
Mtu yeyote Tanzania akifanya maamuzi ya kutekeleza sheria nukta kwa nukta anageuka kuwa Audui wa Watanzania.
Mwigulu atachukiwa na hata kulipa gharama kubwa kwa uzalendo wa kusimamia
SHERIA .
Tunawajibu wa kuthamini watanzania wachache waliojitolea maisha yao kusimamia
SHERIA za taifa letu,
Tusiwavunje moyo tuwape nguvu za kusimamia
SHERIA kwa maendeleo ya taifa letu.
Ukimchukua Mwigulu na kumleta hapa CONGO DRC Mwigulu ni Almas kubwa sana kwa Tanzania. Mpeni nafasi awajibike kwa ajili ya taifa lake kusimamia
SHERIA.
Kuikosoa makala hii unapasa kwanza uwe mzalendo wa Tanzania, pia uwe na facts za kutosha.
Chigaitan Mapinduzi vijijini
0757900020/0628300020.
copy and share
---------
Lipia sh.20000 upate copy ya kitabu tutekeleze Sheria za Taifa letu kwa kulipa kodi.
Kulipa kodi ni Uzalendo.
Sent from my SM-N950U using
JamiiForums mobile app