Huyo mtu analipa kodi stahiki? Labda tuanzie hapo!Nipe namba ya simu ya mmiliki wa Esther luxury coach.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mtu analipa kodi stahiki? Labda tuanzie hapo!Nipe namba ya simu ya mmiliki wa Esther luxury coach.
Ameongea ukweli.watz wanapenda Sana kutoa rushwa ,yaani mtu hujamuomba rushwa lkn anaomba akupe rushwa .na hii nikwa sababu wanapenda shortcut !!
[emoji2956]Anaandika Chigaitan kutoka KivuDRC.
Leo nitaongea UKWELI Ifike mahali watanzania tuiamini serikali yetu, tuthamini "Cabinet Ministry ya Taifa letu Kutekeleza SHERIA za taifa letu.
Ifike mahali tuweke imani kubwa kwa MWIGULU.
"Nimewasikiliza kwa makini wafanyabiashara wa Tanzania, wanaodai ni wafanyabiashara wa Kariakoo lakini mkusanyiko ule ulikuwa na taswira ya wafanyabiashara kila kona ya Tanzania.
Shida kubwa ya Tatizo la Tanzania ni watanzania kuheshimu SHERIA.
Tanzania ni taifa pekee Afrika na nchi zinazoendelea lenye SHERIA bora na rafiki kwa Raia wake.
Utajiri wa SHERIA Tanzania ndiyo Taswira ya mapinduzi makubwa ya kiuchumi Tanzania.
Huwezi kuwa na taifa imara bila kuheshimu SHERIA.
Hakuna mfanyakazi yeyote Tanzania anaiomba "RUSHWA" kwa mifumo bora ya sheria ya Tanzania.
Wafanyabiashara WANAWABEMBELEZA watumishi wa serikali wapewe wa Tanzania wapokee RUSHWA SHAHIDI zipo.
Shida kubwa sana, Shida kubwa sana Watanzania ndiyo viumbe pekee Afrika mashariki wanaopenda kutoa RUSHWA
Wafanyabiashara wa Tanzania kutoa rushwa ni utamaduni kufanikisha mambo yao .SHAHIDI zipo.
Hakuna na hayupo mtendaji wa serikali Tanzania anaependa kupokea Rushwa. SHAHIDI zipo.
Tanzania ndiyo taifa pekee Afrika linawatumishi wenye weledi na uadilifu wa hali ya juu sana .SHAHIDI zipo.
Matajiri wengi wa wenye asili ya kibantu Tanzania wamepata utajiri kwa njia ya magendo na Rushwa. SHAHIDI ZIPO.
Tafiti nyingi za zinaonesha wafanyabiashara wenye asili ya kibantu Tanzania (na Afrika) wanaongoza kwa:-
(i)Biashara za magendo,
(ii)Ukwepaji kodi,
(iii)Kutotunza rekodi za kibiashara,
(iv)Kuficha takwimu za kibiashara,
(v)Udanganyifu uliopindukia.
Tafiti zinaonesha biashara za watu wenye asili ya Asia Tanzania ndiyo zinaongoza kwa ulipaji kodi kwa usahihi na uthabiti .SHAHIDI zipo.
Malalamiko ya wafanyabiashara ni mwendelezo wa tabia ya watanzania kutotii SHERIA za taifa lao kwa maslahi mapana ya Taifa letu.
Mwigulu ni mzalendo anatekeleza SHERIA kwa maslahi ya taifa lake Tanzania.
Mtu yeyote Tanzania akifanya maamuzi ya kutekeleza sheria nukta kwa nukta anageuka kuwa Audui wa Watanzania.
Mwigulu atachukiwa na hata kulipa gharama kubwa kwa uzalendo wa kusimamia SHERIA .
Tunawajibu wa kuthamini watanzania wachache waliojitolea maisha yao kusimamia SHERIA za taifa letu,
Tusiwavunje moyo tuwape nguvu za kusimamia SHERIA kwa maendeleo ya taifa letu.
Ukimchukua Mwigulu na kumleta hapa CONGO DRC Mwigulu ni Almas kubwa sana kwa Tanzania. Mpeni nafasi awajibike kwa ajili ya taifa lake kusimamia SHERIA.
Kuikosoa makala hii unapasa kwanza uwe mzalendo wa Tanzania, pia uwe na facts za kutosha.
Chigaitan Mapinduzi vijijini
0757900020/0628300020.
copy and share
---------
Lipia sh.20000 upate copy ya kitabu tutekeleze Sheria za Taifa letu kwa kulipa kodi.
Kulipa kodi ni Uzalendo.
Sent from my SM-N950U using JamiiForums mobile app
[emoji2956]Naunga mkono hoja
Almasi zipo Mwadui, punguza uongo.Anaandika Chigaitan kutoka KivuDRC.

Tuna tatizo mahali, nchi ina watu wengi wenye akili za ajabu, anafanya kampeni..Kwn kampeni zimeshaanza?
Asahau urais, kuna vichwa vingi vipo smart kuliko yeye, watz hawawezi kurudia makosa ya kumchagua mtu kisa rangi yake n.k. anatakiwa achape kazi lkn pia siku hizi watz wanaangalia na u smart wa mtu.Tuna tatizo mahali, nchi ina watu wengi wenye akili za ajabu, anafanya kampeni..
Alipe wapi wakati ana madaraka?Huyo mtu analipa kodi stahiki? Labda tuanzie hapo!
Nimepitia thread zake za nyuma, kwa miaka mingi kila baada ya moja ya pili ni kuhusu Mwigulu.Sasa nikuambie tu chawa wa Mwigulu ni hivi, mwambie Mwigulu huu ndio ujuo wetu wa watanzania ambao alitutaka tuhamie Burundi. Timeona bora tuipiganie nchi yetu jino kwa jino kuliko kukiacha kizazi cha panya kifanye ufisadi
Sawasawa 👍Asahau urais, kuna vichwa vingi vipo smart kuliko yeye, watz hawawezi kurudia makosa ya kumchagua mtu kisa rangi yake n.k. anatakiwa achape kazi lkn pia siku hizi watz wanaangalia na u smart wa mtu.
Sijaonekana jf kwa siku nyingi, anyway. Hivi ulidhani ingebadilike? Ni ile ile Jana leo nakesho brother.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Joka la kichawi hili dude liitwalo ChichiemuSijaonekana jf kwa siku nyingi, anyway. Hivi ulidhani ingebadilike? Ni ile ile Jana leo nakesho brother.
Mwigulu Nchemba acha upumbavuAnaandika Chigaitan kutoka KivuDRC.
Leo nitaongea UKWELI Ifike mahali Watanzania tuiamini serikali yetu, tuthamini "Cabinet Ministry ya Taifa letu Kutekeleza SHERIA za taifa letu.
Ifike mahali tuweke imani kubwa kwa MWIGULU.
"Nimewasikiliza kwa makini wafanyabiashara wa Tanzania, wanaodai ni wafanyabiashara wa Kariakoo lakini mkusanyiko ule ulikuwa na taswira ya wafanyabiashara kila kona ya Tanzania.
Shida kubwa ya Tatizo la Tanzania ni Watanzania kuheshimu SHERIA.
Tanzania ni taifa pekee Afrika na nchi zinazoendelea lenye SHERIA bora na rafiki kwa Raia wake.
Utajiri wa SHERIA Tanzania ndiyo Taswira ya mapinduzi makubwa ya kiuchumi Tanzania.
Huwezi kuwa na taifa imara bila kuheshimu SHERIA.
Hakuna mfanyakazi yeyote Tanzania anaiomba "RUSHWA" kwa mifumo bora ya sheria ya Tanzania.
Wafanyabiashara WANAWABEMBELEZA watumishi wa serikali wapewe wa Tanzania wapokee RUSHWA SHAHIDI zipo.
Shida kubwa sana, Shida kubwa sana Watanzania ndiyo viumbe pekee Afrika Mashariki wanaopenda kutoa RUSHWA
Wafanyabiashara wa Tanzania kutoa rushwa ni utamaduni kufanikisha mambo yao .SHAHIDI zipo.
Hakuna na hayupo mtendaji wa serikali Tanzania anaependa kupokea Rushwa. SHAHIDI zipo.
Tanzania ndiyo taifa pekee Afrika linawatumishi wenye weledi na uadilifu wa hali ya juu sana .SHAHIDI zipo.
Matajiri wengi wa wenye asili ya kibantu Tanzania wamepata utajiri kwa njia ya magendo na Rushwa. SHAHIDI ZIPO.
Tafiti nyingi za zinaonesha wafanyabiashara wenye asili ya kibantu Tanzania (na Afrika) wanaongoza kwa:-
(i) Biashara za magendo
(ii) Ukwepaji kodi
(iii) Kutotunza rekodi za kibiashara
(iv) Kuficha takwimu za kibiashara
(v) Udanganyifu uliopindukia
Tafiti zinaonesha biashara za watu wenye asili ya Asia Tanzania ndiyo zinaongoza kwa ulipaji kodi kwa usahihi na uthabiti .SHAHIDI zipo.
Malalamiko ya wafanyabiashara ni mwendelezo wa tabia ya watanzania kutotii SHERIA za taifa lao kwa maslahi mapana ya Taifa letu.
Mwigulu ni mzalendo anatekeleza SHERIA kwa maslahi ya taifa lake Tanzania.
Mtu yeyote Tanzania akifanya maamuzi ya kutekeleza sheria nukta kwa nukta anageuka kuwa Audui wa Watanzania.
Mwigulu atachukiwa na hata kulipa gharama kubwa kwa uzalendo wa kusimamia SHERIA .
Tunawajibu wa kuthamini watanzania wachache waliojitolea maisha yao kusimamia SHERIA za taifa letu,
Tusiwavunje moyo tuwape nguvu za kusimamia SHERIA kwa maendeleo ya taifa letu.
Ukimchukua Mwigulu na kumleta hapa CONGO DRC Mwigulu ni Almas kubwa sana kwa Tanzania. Mpeni nafasi awajibike kwa ajili ya taifa lake kusimamia SHERIA.
Kuikosoa makala hii unapasa kwanza uwe mzalendo wa Tanzania, pia uwe na facts za kutosha.
Chigaitan Mapinduzi vijijini
0757900020/0628300020.
copy and share
---------
Lipia sh.20000 upate copy ya kitabu tutekeleze Sheria za Taifa letu kwa kulipa kodi.
Kulipa kodi ni Uzalendo.
Sent from my SM-N950U using JamiiForums mobile app
Umeona eh ha ha ha ha ha watu mna mambo.Mkuu haki ya NANI vile na mizimu yote kutoka kusin hadi kaskazin, mashariki hadi magharibi isimame! naapa mbele yenu wana jf! Nathibitisha kuwa huo mwandiko kwenye post ni wa MADELU MWIGULU LAMECK NCHEMBA