Hakuna kiongozi hapoa tusipotezeane mudaView attachment 3677518
Mwigulu Nchemba anawatisha kwa kuwa ni “Mr. Clean.” Amefuata nyendo za Magufuli.
Mwigulu amekuwa Waziri wa Mifugo; hatukusikia amejikatia ranch za umma na kuzifanya za kwake. “Mr. Clean.” Alikuwa Waziri wa Kilimo; hatukumsikia akijikatia mashamba ya umwagiliaji na mitambo. “Mr. Clean.”
Amekuwa Waziri wa Fedha kwa miaka mitano; hatujaona akibadilika na kuwa bilionea. Sana sana, ana watoto yatima zaidi ya mia moja na anawasomesha kwa kuombaomba kwa Bakhresa na ASAS. Maana halisi ya “Mr. Clean.”
Kama ilivyokuwa kwa maisha ya Dkt. Mpango, hii ni ishara kwamba fedha hupotelea kwenye wizara za kisekta zinazopokea fedha na kuingia mikataba ya kipigaji.
Sasa wezi, wala rushwa na wapigaji wanasema: “Huyu jamaa anazijua deals zetu na hajashirikiana nasi kwenye hizi deals. Huyu atakwenda kutufumua kama Magufuli alivyofanya.”
Dawa? Tumzuie 2030 asipande. Tutafute mtu mpya tutakayemwendesha.
Dosari pekee aliyonayo Mwigulu ni kwamba huyu ni Magufuli mpya.
Dada Mange ameandika kuwa walitaka kumuua Mwigulu kwa sumu, Mungu akamnusuru. Maria Sarungi naye ameandika kuwa Mwigulu sasa hatakiwi na mtoto na familia, wanamwona ni Magufuli mpya.
Sasa sumu imeshindikana, amesema Simai, huyu anatafutiwa sababu amfuate Nchimbi.
Watanzania tusipuuze, kama tulivyoona kwa Nchimbi, kuwa haiwezekani wanamtikisa tu wakamtoa.
Haya. Tuma salamu kwa watu wanne!View attachment 3677518

Wewe ni mpumbavu sana.View attachment 3677518

Siasa mchezo mchafu lo
Wakati Mwangosi anapigwa bomu na polisi kule Iringa , waziri wa mambo ya ndani alikuwa nani kama sio Emmanuel Nchimbi. Ni sahihi kusema Emmanuel Nchimbi aliasisi mashambulizi dhidi ya wanahabari?Mwigulu yupi? Si ndio huyu aliyeanzisha issue ya utekaji holela akiwa waziri wa mambo ya ndani? Chini ya magufuli? Usafi gani alionao huyu? Akiwa waziri wa Fedha, madudu ya kifisadi na rushwa nje nje, hadi CAG anachoka kufuatilia? Si ndio huyu aliyeweka majina kwenye mawe barabarani kuwa ni Rais 2015?
Mange na Maria kumbe na wao sometimes network haisomi? Dishi linayumba? Aloooh
🤣🤣🤣 Duh akili ni maliAma kweli Dunia imeisha Isha. Mwigulu huyu huyu? Wakati huko kwenye halmashauri wakurugenzi wako busy wanachongesha acc feki kupiga pesa ya walalahoi kwenye ardhi, ujenzi na miradi ya maji. Mfano tu Ile ripoti ya CAG juu ya kibaha manispaa kupiga bn 10 za uuzaji viwanja kata ya Pangani hazijamfikia bwana madelu?
Ndyo CCM hakuna Msafi.Wakati Mwangosi anapigwa bomu na polisi kule Iringa , waziri wa mambo ya ndani alikuwa nani kama sio Emmanuel Nchimbi. Ni sahihi kusema Emmanuel Nchimbi aliasisi mashambulizi dhidi ya wanahabari?
Ni wajinga tu wanaoweza kuamini hili na maigizo yaliyopoView attachment 3677518
Mwigulu Nchemba anawatisha kwa kuwa ni “Mr. Clean.” Amefuata nyendo za Magufuli.
Mwigulu amekuwa Waziri wa Mifugo; hatukusikia amejikatia ranch za umma na kuzifanya za kwake. “Mr. Clean.” Alikuwa Waziri wa Kilimo; hatukumsikia akijikatia mashamba ya umwagiliaji na mitambo. “Mr. Clean.”
Amekuwa Waziri wa Fedha kwa miaka mitano; hatujaona akibadilika na kuwa bilionea. Sana sana, ana watoto yatima zaidi ya mia moja na anawasomesha kwa kuombaomba kwa Bakhresa na ASAS. Maana halisi ya “Mr. Clean.”
Kama ilivyokuwa kwa maisha ya Dkt. Mpango, hii ni ishara kwamba fedha hupotelea kwenye wizara za kisekta zinazopokea fedha na kuingia mikataba ya kipigaji.
Sasa wezi, wala rushwa na wapigaji wanasema: “Huyu jamaa anazijua deals zetu na hajashirikiana nasi kwenye hizi deals. Huyu atakwenda kutufumua kama Magufuli alivyofanya.”
Dawa? Tumzuie 2030 asipande. Tutafute mtu mpya tutakayemwendesha.
Dosari pekee aliyonayo Mwigulu ni kwamba huyu ni Magufuli mpya.
Dada Mange ameandika kuwa walitaka kumuua Mwigulu kwa sumu, Mungu akamnusuru. Maria Sarungi naye ameandika kuwa Mwigulu sasa hatakiwi na mtoto na familia, wanamwona ni Magufuli mpya.
Sasa sumu imeshindikana, amesema Simai, huyu anatafutiwa sababu amfuate Nchimbi.
Watanzania tusipuuze, kama tulivyoona kwa Nchimbi, kuwa haiwezekani wanamtikisa tu wakamtoa.
Takatakata ni mamako, huyo Magufuli hakuwa malaikaMwigulu ni fisadi wa kitupwa. Msimfananishe magu na takataka za ajabu.
Ila watanzania mna upendo sana.Ndyo CCM hakuna Msafi.
Ukiwemo nawee pia.Ila watanzania mna upendo sana.
Siku Mwigulu akianza kuimba chorus ya Katiba mpya kila mtu atainuka kumtetea na kumkingia kifua. Hiyo ndiyo raha ya Tanzania.
Upendo ndio urithi wetu.Ukiwemo nawee pia.
SawaUpendo ndio urithi wetu.