Mwigulu ni “Magufuli mpya” anayehofiwa na wapigaji

Hakuna kiongozi hapoa tusipotezeane muda
 
Haya. Tuma salamu kwa watu wanne!
 
Hahaha 😆!! Mwenyewe mpigaji namba 1 na mkamalia pia ni M.L bingwa kabisa hapa town. Yasalimie na mabasi yake please. Salamu kubwa itakuja soon.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Wewe ni mpumbavu sana.
Mwigulu awe clean!!!!.
 
Wakati Mwangosi anapigwa bomu na polisi kule Iringa , waziri wa mambo ya ndani alikuwa nani kama sio Emmanuel Nchimbi. Ni sahihi kusema Emmanuel Nchimbi aliasisi mashambulizi dhidi ya wanahabari?
 
Mwigulu ni mwizi kaiba hadi jina sio lake ati sasa hivi anjifanya kutumia majina manne wakati hajasomea seminari. Kila mtu anajua ni mwizi ndio maana anashindwa kuwaajibisha wezi na mafisadi wa mali za umma
 
🤣🤣🤣 Duh akili ni mali
 
Wakati Mwangosi anapigwa bomu na polisi kule Iringa , waziri wa mambo ya ndani alikuwa nani kama sio Emmanuel Nchimbi. Ni sahihi kusema Emmanuel Nchimbi aliasisi mashambulizi dhidi ya wanahabari?
Ndyo CCM hakuna Msafi.
 
Ni wajinga tu wanaoweza kuamini hili na maigizo yaliyopo
 
Hii nchi ngumu sana, huyu huyu Madelu amejipa eneo kubwa takriban Kijiji kizima mbele ya Maluga hapo Singida mnasema yuko safi?
 
Ndyo CCM hakuna Msafi.
Ila watanzania mna upendo sana.
Siku Mwigulu akianza kuimba chorus ya Katiba mpya kila mtu atainuka kumtetea na kumkingia kifua. Hiyo ndiyo raha ya Tanzania.
 
Ila watanzania mna upendo sana.
Siku Mwigulu akianza kuimba chorus ya Katiba mpya kila mtu atainuka kumtetea na kumkingia kifua. Hiyo ndiyo raha ya Tanzania.
Ukiwemo nawee pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…