atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
Ndio hapo sasaHii nchi haitokaa imalize Ujenzi wa madarasa, toka tupate uhuru Hadi Leo ni mwendo wa kujenga madarasa tu
Aise!Duh babu umesomea uchumi wapi mkuu ,Ni vyema Kama hujui kitu kaa kimya tu mkuu usimdanganye bery.... Unaumbuka Sana kaka
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Za uviko na tozo zilienda wapi?Za foreign reserve zingetumika kufanyia Nini instead?
Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
Walisema na tozo zilijenga madarasaZa uviko na tozo zilienda wapi?
Kwahiyo madarasa ndiyo bidhaa zinazoingia nchini?Dada bery....
Pesa za foreign reserve ndio hutumika kulipia bidhaa zinazoingia kutoka nnje ya nchi na Kisha kuzilipa kwa wakandarasi wa nnje ya nchi hi
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kuna mwingine anasema zimelipa bidhaa zinazoingizwa nje na wakandarasi...Mashikolo mageni lulu!Walisema na tozo zilijenga madarasa
Tatizo wanasahau kama waliwahi kusema hivyoWalisema na tozo zilijenga madarasa
Lakini ndiyo anayeamua aina ya maisha unayoishi hapa nchini, unless kama wewe ni mpitaji...Nikae nimjadili mpuuzi kama Mwigulu? Nope!
Tril moja aliyokwapua ni mali ya ummaNikae nimjadili mpuuzi kama Mwigulu? Nope!
Pumbavu we mpumbavuHayo madarasa wamejengewa warundi?
Watu wapo bungeni kupiga makofi kusherehesha posho zao na si vinginevyo. Bunge la mazuzu kwa kumparaphrase Professa. Musa Assad.Tatizo lililopo ndani ya serikali ya Ccm ni kutuona Watanzania ni wajinga.
Kama wabunge wanaitwa waganga wa kienyeji na wana piga makofi unaona kuna bunge hapo kweli?
Badala ya kuomba muongozo wa spika kwamba wamedhalilishwa wao wana piga makofi.
Itakuja siku watatukaniwa mama zao bado wata piga makofi.
Au mtu ana simama na kujisifu ati Phd yake hakupewa ameisomea.
So what!!! Kwamba kwa Tanzania ni yeye pekee mtaalamu wa uchumi?
Yaani ni mambo ya aibu sana.
Huyu huyu jamaa alisha tuambia tuhamie Burundi, bado mamlakaya uteuzi ilikaa kimya kumuonya. Hivyo kichwa kina vimba.
Ifike mahali sasa tuseme inatosha.!!! Mamlaka ya uteuzi imuondoe akawajibu mahara zake haya majibu.
Nakuhakikishia baada ya miradi hii kuisha, ministry of finance will breath, na sidhani tena kama kutakuwa na uwehu wa kuanzisha miradi mingi mikubwa ya matrilions.sasa waseme basi
shoda yetu sisi wabongo ni kuficha sana mambo
Nakuhakikishia baada ya miradi hii kuisha, ministry of finance will breath, na sidhani tena kama kutakuwa na uwehu wa kuanzisha miradi mingi mikubwa ya matrilions.
Labda wameshindwa ku own visions za aliyezianzisha....Otherwise mbona hiyo miradi ingetimizwa kimkakati ingeweza kujiendesha tu na kupunguza costs?Nakuhakikishia baada ya miradi hii kuisha, ministry of finance will breath, na sidhani tena kama kutakuwa na uwehu wa kuanzisha miradi mingi mikubwa ya matrilions.
I assured you, yote yameshaangaliwa kwa kina, usafiri huu bila kubeba mizigo ni hasara kubwa sana, mfano dar-Moro, imahesabu ilishaoyesha hasara, na ndio sababu za kupambana na gateway njia za kutoka nje ya nchi, same to Kenya passenger SGR failure! Bila mizigo ni hasara.Labda wameshindwa ku own visions za aliyezianzisha....Otherwise mbona hiyo miradi ingetimizwa kimkakati ingeweza kujiendesha tu na kupunguza costs?
Mfano, kama kipande cha SGR cha Moro Dar kingekuwa kimeshaanza operations leo si kinheshaanza kuchabgia baadhi ya variable costs za hivyo vipande vingine?
Tatizo wanakamilisha miradi bila kuwa na expertize za project planning and management....Ba mfano kabla ya kwenda huko Mwanza MWL Nyerere Hydro power inhekuwa imekamilishwa ili kupunguza energy costs, hizo costs za ujenzi wa vipande vya SGR si vingekuwa na least costs kuliko ilivuo sasa?
Ministry of Planning imeshindwa kuchora hizo critical path za miradi ili kuleta economy of scale na integration ya baadhi za activities ili kupunguza costs...Wachumi wetu wana taabu kwelikweli kwenye planning na management siyo tu kwa miradi ni almost programming ya sectors zote
Pesa ya uviko ilitumika kulipa madeni ya nje yaliyoiva.Mmesasahau wewe na CCM mlisema mmepata msaada wa pesa za kupambana na Uviko na mkadai zimeelekezwa kujenga madarasa nchi nzima?
Sasa kwa nini uchukue tril 1 kutoka foreign reserve na uitumie kujengea madarasa ili hali madarasa yalishajengwa kwa pesa za Uviko?
Tupe majibu watanzania
You may harm your brain, Tupigane tuimalizie miradi kwa namna yoyote ile no matter what,Pesa ya uviko ilitumika kulipa madeni ya nje yaliyoiva.
Tukatoe 1trn ya foreign reserve kujengea madarasa.
Pesa ya tozo 545bn tukanunulia LC 200 kama 1000, hizi ambazo ndiyo tunatesea.
Kama kuna mtu anateseka, ahamie Burundi