Mwigulu, sauti ya Luhaga Mpina ni sauti ya watanzania. Tupatie majibu, kwanini ujenge madarasa kwa pesa za foreign reserve? Ulisema za UVIKO zinatosha

Mwigulu, sauti ya Luhaga Mpina ni sauti ya watanzania. Tupatie majibu, kwanini ujenge madarasa kwa pesa za foreign reserve? Ulisema za UVIKO zinatosha

Dada bery....

Pesa za foreign reserve ndio hutumika kulipia bidhaa zinazoingia kutoka nnje ya nchi na Kisha kuzilipa kwa wakandarasi wa nnje ya nchi hi


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo madarasa ndiyo bidhaa zinazoingia nchini?

Ungeishia pale uliposema mie sijui ningeona unahekima ulivyoendeleza hapa nimesikitika huenda na wewe upo na stake katika uchumi wa nchi yetu, kama ndivyo basi shughuli ni nzito....
 
Tatizo lililopo ndani ya serikali ya Ccm ni kutuona Watanzania ni wajinga.
Kama wabunge wanaitwa waganga wa kienyeji na wana piga makofi unaona kuna bunge hapo kweli?
Badala ya kuomba muongozo wa spika kwamba wamedhalilishwa wao wana piga makofi.
Itakuja siku watatukaniwa mama zao bado wata piga makofi.
Au mtu ana simama na kujisifu ati Phd yake hakupewa ameisomea.
So what!!! Kwamba kwa Tanzania ni yeye pekee mtaalamu wa uchumi?
Yaani ni mambo ya aibu sana.
Huyu huyu jamaa alisha tuambia tuhamie Burundi, bado mamlakaya uteuzi ilikaa kimya kumuonya. Hivyo kichwa kina vimba.
Ifike mahali sasa tuseme inatosha.!!! Mamlaka ya uteuzi imuondoe akawajibu mahara zake haya majibu.
Watu wapo bungeni kupiga makofi kusherehesha posho zao na si vinginevyo. Bunge la mazuzu kwa kumparaphrase Professa. Musa Assad.
 
sasa waseme basi
shoda yetu sisi wabongo ni kuficha sana mambo
Nakuhakikishia baada ya miradi hii kuisha, ministry of finance will breath, na sidhani tena kama kutakuwa na uwehu wa kuanzisha miradi mingi mikubwa ya matrilions.
 
Nakuhakikishia baada ya miradi hii kuisha, ministry of finance will breath, na sidhani tena kama kutakuwa na uwehu wa kuanzisha miradi mingi mikubwa ya matrilions.

wanaichi wakijua ukweli mambo yanakuwa mazuri kabisa,

sasa uongo unakuwa mwingi wakati back office hali ni mbaya
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Nakuhakikishia baada ya miradi hii kuisha, ministry of finance will breath, na sidhani tena kama kutakuwa na uwehu wa kuanzisha miradi mingi mikubwa ya matrilions.
Labda wameshindwa ku own visions za aliyezianzisha....Otherwise mbona hiyo miradi ingetimizwa kimkakati ingeweza kujiendesha tu na kupunguza costs?
Mfano, kama kipande cha SGR cha Moro Dar kingekuwa kimeshaanza operations leo si kingeshaanza kuchangia baadhi ya variable costs za hivyo vipande vingine?
Tatizo wanakamilisha miradi bila kuwa na expertize za project planning and management.... Kwa mfano kabla ya kwenda huko Mwanza MWL Nyerere Hydro power ingekuwa imekamilishwa ili kupunguza energy costs, hizo costs za ujenzi wa vipande vya SGR si vingekuwa na least costs kuliko ilivyo sasa?
Ministry of Planning imeshindwa kuchora hizo critical paths za miradi ili kuleta economy of scale na integration ya baadhi za activities kwa projects ambazo zipo associated; ili kupunguza costs...Wachumi wetu wana taabu kwelikweli kwenye planning na management siyo tu kwa miradi ni almost programming ya sectors zote na unaona kabisa ndiyo sababu tuna suffer coordination problems
 
Labda wameshindwa ku own visions za aliyezianzisha....Otherwise mbona hiyo miradi ingetimizwa kimkakati ingeweza kujiendesha tu na kupunguza costs?
Mfano, kama kipande cha SGR cha Moro Dar kingekuwa kimeshaanza operations leo si kinheshaanza kuchabgia baadhi ya variable costs za hivyo vipande vingine?
Tatizo wanakamilisha miradi bila kuwa na expertize za project planning and management....Ba mfano kabla ya kwenda huko Mwanza MWL Nyerere Hydro power inhekuwa imekamilishwa ili kupunguza energy costs, hizo costs za ujenzi wa vipande vya SGR si vingekuwa na least costs kuliko ilivuo sasa?
Ministry of Planning imeshindwa kuchora hizo critical path za miradi ili kuleta economy of scale na integration ya baadhi za activities ili kupunguza costs...Wachumi wetu wana taabu kwelikweli kwenye planning na management siyo tu kwa miradi ni almost programming ya sectors zote
I assured you, yote yameshaangaliwa kwa kina, usafiri huu bila kubeba mizigo ni hasara kubwa sana, mfano dar-Moro, imahesabu ilishaoyesha hasara, na ndio sababu za kupambana na gateway njia za kutoka nje ya nchi, same to Kenya passenger SGR failure! Bila mizigo ni hasara.
 
Watu wanafanya financial analyses tu pasipo kufanya high level of economic analyses ambazo zinafungamana na mambo ya projects planning and management...Mradi kama wa ndege zilizonunuliwa unasaidiaje kuchochea uchumi wa watu ili nao waweze kuingia kwenye kuchangia mapato ya serikali ambayo yangetumiwa ku finance hiyo miradi? Hizo programming ukiziangalia hazipo ndiyo sababu husikii waziri wetu akigusia sector zingine kuchangia katika ku finance hiyo miradi zaidi ya mikopo ambayo tena wala kwakukosa mipangilio thabiti inarudi kwa wenyewe through importations kuanzia kandarasi na vifaa vya ujenzi etc
 
Mmesasahau wewe na CCM mlisema mmepata msaada wa pesa za kupambana na Uviko na mkadai zimeelekezwa kujenga madarasa nchi nzima?


Sasa kwa nini uchukue tril 1 kutoka foreign reserve na uitumie kujengea madarasa ili hali madarasa yalishajengwa kwa pesa za Uviko?

Tupe majibu watanzania
Pesa ya uviko ilitumika kulipa madeni ya nje yaliyoiva.

Tukatoe 1trn ya foreign reserve kujengea madarasa.

Pesa ya tozo 545bn tukanunulia LC 200 kama 1000, hizi ambazo ndiyo tunatesea.

Kama kuna mtu anateseka, ahamie Burundi
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Pesa ya uviko ilitumika kulipa madeni ya nje yaliyoiva.

Tukatoe 1trn ya foreign reserve kujengea madarasa.

Pesa ya tozo 545bn tukanunulia LC 200 kama 1000, hizi ambazo ndiyo tunatesea.

Kama kuna mtu anateseka, ahamie Burundi
You may harm your brain, Tupigane tuimalizie miradi kwa namna yoyote ile no matter what,
Wako wanaopigana kukwamisha ili awamu ya sita ionekane inashindwa, Mwigulu chapa kazi.
 
Back
Top Bottom