Mwigulu, sauti ya Luhaga Mpina ni sauti ya watanzania. Tupatie majibu, kwanini ujenge madarasa kwa pesa za foreign reserve? Ulisema za UVIKO zinatosha

Bad enough waziri wa kilimo amewatengenezea quota foreigners kwakuruhusu export na hivyo kuna flow of capital in form of crops ambayo value yake itakuwa enjoyed some where else mara nyingi ni wakenya huko kwao maana ndiyo buyers wetu wakubwa, huku watanzania wakiachwa na njaa yao pia pesa zao ndogo zikigharimia basics kama food kwaajili ya induced scarcity...Unaona kabisa shida ya kukosa watu wazuri kwenye programing ndiyo sababu hizi linkages wameshindwa kuzi contain na kusababisha both endogenous and exogeneous factors kuvuruga uchumi wetu hadi kusababisha mfumuko wa bei....
 
You may harm your brain, Tupigane tuimalizie miradi kwa namna yoyote ile no matter what,
Wako wanaopigana kukwamisha ili awamu ya sita ionekane inashindwa, Mwigulu chapa kazi.
Wewe mwenyewe uko boxed kwenye tenure ya governance ya miaka 5 badala ya kuangalia short and long term effects ya maamuzi kama haya...Siasa imeendelea kuumiza watanzania tangu uhuru mpaka leo
 
Umesahau lingine mkuu, kuwa mikopo haiwahusu watanzania na hakuna mtanzania atakayegongewa mlango ili akalipe hilo deni.
 
You may harm your brain, Tupigane tuimalizie miradi kwa namna yoyote ile no matter what,
Wako wanaopigana kukwamisha ili awamu ya sita ionekane inashindwa, Mwigulu chapa kazi.
Wakiona miradi inakwenda kwa kasi ya ajabu wanachanganyikiwa. Reli inakwenda, bwawa la Mwalimu Nyerere, daraja la jpm, yaani timu Jiwe wamevurugwa kabisa, walijua mama atakwama
 
Wakiona miradi inakwenda kwa kasi ya ajabu wanachanganyikiwa. Reli inakwenda, bwawa la Mwalimu Nyerere, daraja la jpm, yaani timu Jiwe wamevurugwa kabisa, walijua mama atakwama
Wapo watu wanaumia kweli kwa miradi kusonga mbele, nathubutu kusema serekali yetu ipo vitani katika kumaliza miradi hii, Vita haina macho, wakati mwingine katika Vita ustaarabu unawekwa pembeni.
 
Nakuhakikishia baada ya miradi hii kuisha, ministry of finance will breath, na sidhani tena kama kutakuwa na uwehu wa kuanzisha miradi mingi mikubwa ya matrilions.
Magoli watahamishia kwingine, kama wizara inakopa 300bln ili kuendesha semina watashindwa kutamka lolote.
 
Wangepunguza costs zinazosababishwa na distance basi, mfano mizigo ya Zambia badala ichukuliwe Dar ingefikishwa bandari kavu ya Moro...Naona kama ni visingizio zaidi...
...Hizo simulations hata za mizigo kwani haiwezi kuchukuliwa from Dar to Moro kwa rail? Inapunguza how much units za transportation costs?

Kwahiyo ikikaa idle ndiyo cost effective? What about employments ambazo zipp frozen for the time being unlike kama SGR ingeanza ku operate?
 
Huyo Alitakiwa Muda Huu Anatenguliwa Chap Kama Wakati Ule Mzilankende Alipomtimua Huko Kigoma Driver Akamshusha Kwenye V8
 
Kuna maswali na mada za muhimu Bunge linapotezea.
Mwigulu hajibu maswala ya maana
 
Kuna maswali na mada za muhimu Bunge linapotezea.
Mwigulu hajibu maswala ya maana
Tuna kazi moja mbele yetu kupigana na hatimaye kuhakikisha miradi iliyopo mbele yetu inakamilika kwa 100%,toka asilimia 15-18%,wakati tulipoipokea miradi hii.
Mtakumbuka Hayati alikuwa harembi rembi juu ya miradi hii, na sisi tumeweka siasa pembeni kwanza, tuikamilishe tutakapoingiza mambo ya Wanasiasa hakika miradi hii itakwama.
 
Mpona amesema Katiba inaweza kuwa tatizo kwa ubadhirifu wa pesa za wananchi!
 
Mwigulu is ALWAYS acting on orders from above, kama yule bulldog wa HMV.
 
Sio kwamba wanatuona sisi niwajinga. Sisi ñiwajinga kweli
 
Hayo madarasa na vyoo yamesingiziwa sana awamu hii.

Kila pesa inayochukuliwa tunaambiwa ni kwa ajili ya madarasa na vyoo.

IMF, World Bank, Uviko, tozo, jamani.

Jaribuni kuwa na kumbukumbu basi.
 
Duh babu umesomea uchumi wapi mkuu ,Ni vyema Kama hujui kitu kaa kimya tu mkuu usimdanganye bery.... Unaumbuka Sana kaka

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Babu umekariri jamaa hajakosea ni mojawapo ya malengo ya kutunza hizo fedha.
Soma hapo chini maeleo toka IFM. BTW, mimi siyo mchumi.
official foreign exchange reserves are held in support of a range of objectives3 including to:
  • support and maintain confidence in the policies for monetary and exchange rate management including the capacity to intervene in support of the national or union currency;

  • limit external vulnerability by maintaining foreign currency liquidity to absorb shocks during times of crisis or when access to borrowing is curtailed and in doing so;

  • provide a level of confidence to markets that a country can meet its external obligations;

  • demonstrate the backing of domestic currency by external assets;
  • assist the government in meeting its foreign exchange needs and external debt obligations; and

  • maintain a reserve for national disasters or emergencies.
 
Hayo madarasa na vyoo yamesingiziwa sana awamu hii.

Kila pesa inayochukuliwa tunaambiwa ni kwa ajili ya madarasa na vyoo.

IMF, World Bank, Uviko, tozo, jamani.

Jaribuni kuwa na kumbukumbu basi.
Tuliambiwa tozo zitalipia wanafunzi wa vyuo vikuu lkn muulize jirani yako mwenye mkopo walau wa %80
 
Hata za TOZO tuliambiwa zinajenga madarasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…