Bad enough waziri wa kilimo amewatengenezea quota foreigners kwakuruhusu export na hivyo kuna flow of capital in form of crops ambayo value yake itakuwa enjoyed some where else mara nyingi ni wakenya huko kwao maana ndiyo buyers wetu wakubwa, huku watanzania wakiachwa na njaa yao pia pesa zao ndogo zikigharimia basics kama food kwaajili ya induced scarcity...Unaona kabisa shida ya kukosa watu wazuri kwenye programing ndiyo sababu hizi linkages wameshindwa kuzi contain na kusababisha both endogenous and exogeneous factors kuvuruga uchumi wetu hadi kusababisha mfumuko wa bei....