kwa waliosoma ICT ni rahisi sana kuprove otherwise
kuna IP adress,codes nk ambazo zikitumika zitabainisha ukweli wa kilichoandikwa katika email na ulichokanusha
so Mwigulu u better watch out kwani dunia ya leo ni ya kiteknolonia zaidi na sio ya kuaminishwa kila tunaochoambiwa
bila kutafuta evidence
...Kuna procedure ya prove the authenticity of electronic communications...yapo mambo kama information security ndani yake tutajua confidentiality, integrity and availability.. tutacheki pia hiyo emails uliandika wewe, eno gani,tarehe gani muda gani.ip adress ipi, ukaituma kwa nani saa ngapi,akaipokea saa ngapi,na receiver ni nani mwenye ip address gani,eneo gani,muda gani nk
watu wana keys na codes za kufungua mitandao sembuse wame hark mitandao ya FBI,NSA ya marekani watashindwa kuingia kwenye yahoo wakajua hizo communication zako? mbona easy to kujua Mwigulu?
lau kama huhusiki ya nini kuja JF kutaka huruma za wanaJF?
kwa nini usikae kimya tu wananchi tukajua ukweli???