Mwigulu: Sijawahi kuwasiliana na Dkt. Emmanuel Nchimbi kwa e-mail tangu nizaliwe

Hata bomu la Soweto alikana wakati yeye ndie alisuka mradi wote wa mauaji

Magamba ni waongo by nature, so kuamini neno lao ni sawa na kupiga kwenzi ncha ya mkuki au kukumbatia nyuki, let them perish, they have done enough harm for the owner to see.
 
mwigulu kamwe siwezi kukuita mh. ww ni muaji na mzandiki, kama kuna msomi AMBAYE tunaomboleza siku ZOTE kwa kuwa kama maiti ni ww MWIGULI, BADO NA wasiwasi sana NA akili ya watu waliokuchagua pamoja na chama kilichokupitisha, SHAME UPON YOU THE KILLING GANGSTER UNDER CCM SPONSORSHIP,DAMU YA WATZ ITAKUFUATA MILELE
 

I hope this coment itamfungua Mwigulu akili.
 
alikuwa anasubiri NCHIMBI atenguliwe uwaziri ,,,,,,duuuuuh bad timing
 

Prove the opposite then ili tujiridhishe kuwa "wanajifurahisha"
 
Mkuu, mrudie Mungu na tubu dhambi zako. Watakuja wakuache peke yako ukiubeba Msalaba. Chezea watoto wa Mujini!
wewe kila kitu unachoambiwa unameza tu kama dodoki? una ushahidi wa mambo hayo unayoongea? tumia akili usiwe unameza kila uzushi unaousikia
 
kuna watu ni mahiri kwa utunzi wa hadithi kama hawa makamanda wa CHADEMA, haiingii akilini mtu unayeonana nae kila mara bado umwamndikie email, ambapo mnaweza onana mda wowote na kujadili,

huenda hajawasiliana nae kweli na atoe sababu zenye kuspecify hayo ila la kusema mtu nipo nae mda woote ni sababu ya kipuuzi, wengi au wachache mnaweza kukubaliana na mimi! Ni mara ngapi watu tunakuwa nao ofisini na tukiwa majumbani twatumiana email sembuse kwa kiongozi! It doent click my mind
 
Nchemba, nafahamu kuwa PhD thesis yako ilikuwa ikiandikwa na Adolf Mkenda - chapter kwa chapter - akiwa ni mbadala wako; tafadhali tufahamishe iwapo umekwishaajiri mhadhiri mwingine baada ya Mkenda kuteuliwa Naibu KM-MoFEA.
 
Nchemba, nafahamu kuwa PhD thesis yako ilikuwa ikiandikwa na Adolf Mkenda - chapter kwa chapter - akiwa ni mbadala wako; tafadhali tufahamishe iwapo umekwishaajiri mhadhiri mwingine baada ya Mkenda kuteuliwa Naibu KM-MoFEA.

Mungu wangu....Halafu anajiita msomi...Anaandikiwa Thesis...?

Cc: Mwigulu Nchemba
 
Last edited by a moderator:
Mwigulu malipo ni hapa hapa duniani,kuwa ccm usijione ndo umefika sana na kufanya lolote unalotaka kulifanya,kuna tuhuma nyingi sana juu yako
1.Ugaidi fake wa Lwakatare
2.Mlipuko wa mabomu soweto na
3.Hili la kifo cha mvungi
ukweli utajulikana tu,ccm imeundwa na watu ipo siku itakufa na kukuacha ukisimama wewe kama wewe,ndipo utakapojua kuwa watu wana hasira na wewe. --------- bila kujua,siku yamegeuka utashangaa watu wote walio karibu na wewe watakugeuka.
 
Maneno mazito kwa vifaranga na mama yao

Muokoeni Mwigulu amejivua nguo mwenyewe...Aibu iliyoje...Kwabahati mbaya inaelekea hata nyinyi wenyewe mnajua maovu yake ndio maana hamuonekani hapa kuja kumtetea....
 
uko sawa mkuu
Mwigulu alidhani bado tupo karne ya wadanganyika hatujui kuhoji.
wanasema silence is the best answer bora angekaa kimya
Thread yake inadhihirisha hakujipanga katika kueleza kilichotokea
amezoea kusema lolote bungeni bila ushahidi hapa JF nako anakuja na mada zake bila kufahamu kuna wataalamu na wanataaluma makini......
maswali yote uliyouliza yanatupa mashaka kama hajashiriki.....
polisi hawajakurupuka kumuita Ben kuna mtu alifile complaints either yeye au Nchimbi lengo ni kutaka kujisafisha.............
Ben cannot be held liable, He is not the author of the said email
He is not the one who transmitted the document via JF and other social medias
His previous post in JF alisema kabisa ameitoa wapi na hakuwataja moja kwa moja wahusika ila alisema wahusika wana majina yanyofanana na yaliyopo kwenye hiyo email
wanachotakiwa polisi ni kumtafuta alieipost mara ya kwanza but kwa upeo wao na uhaba wa vifaa sidhani kama wataweza kujua lolote.

The author of the said email can prove to us how he/she was able to capture such communication na pia wahusika waliotajwa wakamatwe watuambie content ya hizo email zilikuwa na lengo gani.....
kwa vile nchi yetu haina utawala wa sheria wataachwa hivo hivo,Ingekuwa nchi za wenzetu wangeshakamatwa....

 

tatizo lenu nyie watoto wa chadema mnamuona BEN SAA8 kama mtu muhimu sana. huyu dogo ni mburula tu mtumwa wa mbowe, he is ready to do anything to please his master(what a slave!!!)
wamefanya lililo sahihi kabisa kutokujibu sms yake kwani ukiwa SIMBA DUME NYIKANI HUTAKIWI KUGUTUSHWA NA KELELE ZA PANYA.
ujinga wenu mnaoufanya unafanya vijana wa kitz kuonekana wajinga na kuwa hawako tayari kiungozi mbele ya wenzetu wa nchi jirani.
hata kama kauli ya nchemba haina ukweli wa 100%, lakini ninashawishika kuiamini na nina wasiwasi BEN SAA 8 is behind all this.
ujumbe wangu kwako BEN, evil plans can carry only those who are foolish(na wamejaa tele chadema),but for those with proper/well packed brains, you are making a wonderfull bwatboy out of yourself
 

Njaa ni kitu kibaya mary ndo nini!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…