Mwigulu: Sijawahi kuwasiliana na Dkt. Emmanuel Nchimbi kwa e-mail tangu nizaliwe

Mkuu, mrudie Mungu na tubu dhambi zako. Watakuja wakuache peke yako ukiubeba Msalaba. Chezea watoto wa Mujini!

Mkuu mwambie huyu jamaa! Mambo ya mjini hayajui kabisa. Afterall hata ukimsikiliza kwa makini maneno yake utagundua ni cheo tuu kinachomsaidia ila maneno yake yanajionyesha UMJINI haujamwingia sawasawa hivyo KUINGIZWA MJINI HUYU ni swala la sekunde tuu.
 
Vijana wa chadema wanapenda sana kujitafitia umaarufu usio na tija hili waandikwe kwenye magazeti au waende jela hili wawe maarufu kama anavyo fanya lema kila leo anafanya vurugu hili kupata u maarufu.
 


Mkuu tatizo la viongozi wengi wa ccm wanafikiri na kuishi dunia ya kizamani ,wanafikiri uelewa wao ni mkubwa na hakuna aneelewa zaidi yao na pia wanafikiri watanzania wa sasa ni wale wa miaka ya 1940 hivyo wanaweza tu kuwadanganya.Nnashukuru kukuwa kwa Technologia hata ule mlipuko wa bomu Arusha Soweto Chadema waliitumia hiyo hiyo Technology kuwabaini watuhumiwa.Serikali pamoja na jeahi la polisi ni washiriki wakuu ,tangu waombe kuundwa kwa tume ya kijaji mambo yamekuwa ziiii.

Mlipuko wa kanisani Olasiti wamemshikilia kijana mmoja mwendesha bodaboda ,na wapo tayari maisha yake yaishie gerezani ili wao wabaki salama.Tukio hili la email za hawa(Mwigulu/Nchimbi) kuingiliwa na kubainika litatupa majibu ya matukio mengine yalikwisha kutendwa na Serikali sababu nnaamini mipango ya kihalifu hupangwa na zaidi za mtu mmmoja na ilishakuwa ni hivyo basi siri hapo hamna tena.

Hauwezi kuua binaadam mwenzio na ukabaki salama ,ukiyaangalia maneno ya mawasiliano kati ya hao watuhumiwa wawili utapata kitu hapo.Tarehe walizo wasiliana na muda ambao ulipita pamoja na matukio kadhaa vyote ni uthibitisho tosha.Mwigullu na historia ya matukio au maneno aliyokwisha kusema Bungeni dhidi ya Chadema ni ya kutia mashaka,sababu hakuna wakati imewahi kuthibitika kuwa alisema kweli hata siku moja.Na maneno ambayo amekuwa akiyashuhidia ni ya hatari hatari tu.
 
Vijana wa chadema wanapenda sana kujitafitia umaarufu usio na tija hili waandikwe kwenye magazeti au waende jela hili wawe maarufu kama anavyo fanya lema kila leo anafanya vurugu hili kupata u maarufu.


Wakati mwingine hata kama unatumika jaribu kuwa na aibu kidogo.
 
Kiapo cha magamba ni kuwa nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko, je wanazingatia?
 
Ana kazi nyingi sana! Kutembeza aliyemwagia yeye mwenyewe tindikali, kung'oa kucha, kuimarisha ccccccm, aombewe ashindwe
 
Vijana wa chadema wanapenda sana kujitafitia umaarufu usio na tija hili waandikwe kwenye magazeti au waende jela hili wawe maarufu kama anavyo fanya lema kila leo anafanya vurugu hili kupata u maarufu.

cc.ben
 
kumbe kweli mkuki kwa nguruwe eeh? mbona hukulaani ile ya Lwakatare!? ulichekelea na kuapa kutoa ushahidi mbinguni,kumbe na wewe hupendi kuzushiwa ee!? na hili ukaliseme mbinguni ukifika
 

Ni kweli kaka,huyu jamaa kapata zali lakini ni mshamba sana,yeye mwenyewe anajishangaa
 
Vijana wa chadema wanapenda sana kujitafitia umaarufu usio na tija hili waandikwe kwenye magazeti au waende jela hili wawe maarufu kama anavyo fanya lema kila leo anafanya vurugu hili kupata u maarufu.

Chris Lukos Aliandika hivi





Nami nilimjibu:


XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX


XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX

Chris Lukosi
Your madness has no curative therapy.

Unaanzisha thread bila kuweka summary ya matukio yote na kilichojadiliwa na tayari kuna thread separate humu.Unasema natafuta umaarufu,kwanini isiwe kwamba wewe ndiye unayetafuta umaarufu kwa kunianzishia thread kabisa maana kwangu mimi thread inayoanzishwa na wewe kwa kunitaja jina kwenye title inanichafua kutokana na rekodi yako chafu ya unafiki,ujinga,uchumia tumbo na kufuata mkumbo.Umenizidi umri lakini najiskia fedheha sana kuona namna unavyoshughulika kila siku kunitajataja bila substance ila kwa maneno ya kitoto tu.

Suala la polisi lipo huku na linetolewa ufafanuzi na Mwigulu ametoa maelezo na tumejibizana kwa facts.Hata ikiwezekana Polisi watatoa statement yao maana wana msemaji wao na wakijaribu kupindisha tu nitaanika kila kitu maana nilikua na Mwanasheria na pia nina rekodi ya mahojiano.Narudia tena,NINA REKODI YA MAHOJIANO.Tusubiri upelelezi wa haya yanayoendelea na polisi waliahidi kumuhoji tena Nchimbi na pia wanahitaji kumuhoji Mwigulu na kuendelea kutafuta ukweli maana Link ya ufafanuzi wa Mwigulu nimeiweka kwenye attention ya Polisi.

Chris,I don't have time for dummies like you.

Go and study the state of Tanzanian political landscape.

There is no time for your type in our polity.

Tafuta namna ya kutibu inferiority complex inayokusumbua.

Hapo Uingereza unaweza kujifunza Sheria au Forensic investigation pale Hulls au Uende Glasgow Scotland na vyuo vingine accredited ambavyo haviko mbali mbali

Kajifunze vizuri kuhusu mambo haya:

-IEPE:Interpretation,Evaluation and Presentation of envidence

-CNERA:Computer Network Envidence recovery techniques and professional Analysis

DEARP-Digital Envidence Analysis and revovery and presentation.

Wewe ni ex Cop lakini outdated and out of touch .

Ungekishauri chama na serikali yako inayotumia domain ya yahoo kwenye mawasiliano ikulu kama ungekua unayajua haya yote badala ya kutumia muda wako kunianzishia thread kunitaja taja.

Your rants on this forums speak volume of your upbringing and intellectual capacity.
 
Last edited by a moderator:

Huna ground.. ni mpuuzi kama wapuuzi wengine!!
hvyo upuuziwe..
 
Haya maneno yako yananiuma sana, zaidi kwa vile mimi ninakufahamu wewe binafsi. Buku saba ziskufanye upoteze utu na ubinadamu wako. Ingekuwa vizuri ukaacha hiyo ajira laana

Buku saba ndio zilikufanya wewe kupitia kwa mama yako mzazi aliyekuzaa ukanijua so ziheshimu sana eboh!!
 

Great Thinker Lokissa!
 
Last edited by a moderator:
Vijana wa chadema wanapenda sana kujitafitia umaarufu usio na tija hili waandikwe kwenye magazeti au waende jela hili wawe maarufu kama anavyo fanya lema kila leo anafanya vurugu hili kupata u maarufu.

Usipende kuwa kama zezeta......Jaribu ku-stick kwenye hoja ya msingi.....Mwigullu kaleta utetezi wa kipuuzi ili.kila mtu achangie...

Sasa wewe zezeta badala ya kumuokoa huyo muuaji mwenzako unaleta porojo za kichangudoa......

Bomu mlioinjinia wewe na Mwigulu kule Soweto Arusha ipo siku mtakufa kifo cha Mabina..
 
Shetani ni shetani tuuu. Hajawahi sema ukweli. Tulitaraji shetani siku moja aseme aliyotenda? Shetani ataendelea kukanusha aliyotenda na kuwa hata yeye anashangaa. The son of devil is also a prince devil.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…