Mwigulu Nchemba,
-Nilichoulizwa Polisi mbele ya mwanasheria wangu ndicho nilichoripoti.
-Sasa kama una updates nyingine it's none of my business
-Pia kumbe kuna vijana waliojitaja kuwa wameingilia mawasiliano?Sasa kulikua na haja gani ya Jeshi la polisi kuniita kama wapo vijana wa aina hiyo ?Unasema watakua wameitwa tu kwa kutengeneza email fake za viongozi bila malalamiko?
-Pia barua pepe hizi zilisambaa kwa kasi kwenye mitandao hata kwenye Thread yako uliyoanzisha tarehe 26.11.2013 .Hukutoa ufafanuzi
-Thread ilipoanzishwa ili utoe ufafanuzi ulikaa kimya now one month.Nilikutumia SMS utoe Ufafanuzi maana watu wataamini ni ukweli.Ukakaa kimya.
-Nilishtuka sana waliponiuliza ulipata wapi password ya Nchimbi.Pia niwasaidie kumjua aliyeweka Jamiiforums na kwenye mitandao.Na pia lengo langu la kuanzisha thread (Ku-recreate kwa maneno yao)ni nini?
-Sasa polisi niliwaambia wao watafute ni nani aliingilia mawasiliano hayo ambayo tulikubaliana ni kinyume cha sheria.Pia watafute chanzo na sehemu ambazo mawasiliano hayo yalipita maana lengo la kuanzisha thread kwa kufanya Copy and Paste ya kilichokua kinazunguka ni kuhakikisha wahusika ambao majina yanayofanana na ya Nchimbi na Mwigulu walitakiwa kutoa ufafanuzi na wewe ulikua online.Thread ilianzishwa at 13:51 na kisha masaa matatu baadae nikaona kimya kimezidi nikakutumia SMS wewe na Nchimbi ambao majina yanayofanana na yenu yalihusishwa .Niliwatumia SMS masaa 3 baadae exactly.Nitaiweka hapa na hata polisi niliwaonyesha kwa kuwa bado ipo ndani ya simu yangu na nilishaichapisha
Polisi walisema pia bado watamhoji Mhe. Nchimbi.Sijui kwanini so far haujahojiwa na Polisi
"Ben,Look at you.!"-By,Mwigulu Nchemba. (Sijui unamaanisha nini)
SMS niliyotuma ni hii
" Hon'ble Nchimbi,
Mawasiliano ya Barua pepe yanayoonyesha kati ya jina la Emmanuel Nchimbi na Mwigulu Nchemba kama yanavyosambaa JamiiForums na Mitandao mingine ya kijamii yanayoainisha njama ovu dhidi ya CHADEMA ni za kweli?Muda wote wahusika mmekaa kimya bila ufafanuzi sasa nimeanzisha thread ili mtoe ufafanuzi.Vinginevyo tutaendelea kuamini ni ukweli.
Mh.Mwigulu nawe umekua kimya pamoja na kuwa member wa JF na Facebook.Ben Saanane
CC:Mwigulu '"