THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
Mimi msomi mzuri sana naishi matunda ya elimu yangu siishi kwa kulamba ------ watu; hivi wewe kwa akili hukujua kama chuo kile ni cha uchochoroni?? unalo hilo cheti kichambie hakikusaidii kimaisha wala kifikra! tena una bahati sana ishukuru CCM; mimi nimesoma mwenyewe kwa gharama zangu nimetumia zaidi ya US 50,000; sitaishi kwa kuramba ------ mtu wala sina mpango wa kuajiriwa na CCM wala serikali yake.
wewe tedo; ongea habari nyingine hii Chama imekuzidi umri!

Kiapo cha magamba ni kuwa nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko, je wanazingatia?
Mkuu hapo kwa Ben Saanane ni athari za dengu na mbaazi! hivi kwa vyeti anavyoonyesha kama angekuwa amesoma vyuo vya maana angehangaika na maisha leo hii?? kaa chini uyafikirie kwa makini!
Naona unakuwa kichwa ngumu kuelewa...Nimekuambia hivi; ikiwa unataka tukuone wewe ni msomi wa US toa hoja za kisomi ku-support unachoongea......Mbali na hapo wewe si msomi.....Ni mropokaji tuu.....Unajisifu tuu kumbe huna lolote....
Nyie ndio mnaojosifu mko nje ya nchi ila mkirudi huku mnakuta watu mliowaacha wamewapiga gap mnabaki na stress kika siku....Le Mutuz yupo wapi sasa hivi...Zee zima lipo kaa li toto....
Toa hoja tukuone wa maana sio majisifu eti umesoma US.....Watu wamesoma zaidi yako wewe ila hawaoni ishu kutaja maeneo waliyosoma..
Unahasara wewe kama si laana...
Njoo na jina lako halisi hapa tufuatilie chuo ulichosoma
Sina muda wa kujadiliana na watu wanaosumbuliwa na inferiority complex
Sina cha kuwasaidia zaidi ya kuwashauri mkamuone mtaalamu wa saikolojia.Badala ya kujadili hoja mnakuja na mipasho ya kitoto hapa?
We should leave this gutter politics for uninformed and the stupid !
Otherwise,Jenga hoja kisomi na sio maneno kama walevi hapa mkitegemea attention kutoka kwangu.
And then unakuwa kibaraka wa Dr Slaa na Mchumba wake kuja kuwa msemaji wao??
You are nobody but A HOUSE NEGRO...!!
Hizi akili zenu za kutumiwa kama toilet paper wakati mwingine jaribuni kuzitumia Mwigulu Nchemba amuue Dr. Mvungi ili iweje? Hebu tufafanulie ni jambo gani kubwa ambalo Mwigulu Nchemba atanufaika nalo?
Njoo na jina lako halisi hapa tufuatilie chuo ulichosoma
Sina muda wa kujadiliana na watu wanaosumbuliwa na inferiority complex
Sina cha kuwasaidia zaidi ya kuwashauri mkamuone mtaalamu wa saikolojia.Badala ya kujadili hoja mnakuja na mipasho ya kitoto hapa?
We should leave this gutter politics for uninformed and the stupid !
Otherwise,Jenga hoja kisomi na sio maneno kama walevi hapa mkitegemea attention kutoka kwangu.
wewe tedo; ongea habari nyingine hii Chama imekuzidi umri!
Mkuu hongera kwa kusoma PhD. Naamini utakapomaliza utakuwa tofauti na huyu Mwigulu Nchemba wa sasa. By the way umespecialize kwenye kitu gani?
Ha ha ha
NDIO KWA MAANA Dr.W.Slaa ana mtumia huyu jamaa kama kikaragosi chake aisee,,
DENGU MBAYA SANA,MIAKA YOTE HIYO MTU ANASHINDIA DENGU TUH??
Hatari sana