Mwigulu: Sijawahi kuwasiliana na Dkt. Emmanuel Nchimbi kwa e-mail tangu nizaliwe

natamani angekuwa ni wazazi wake au yeye mwenyewe aliyebakwa kisha kuingiziwa chupa sehemu za siri, au kugongewa msumari 6" kichwani mpaka kufa labda akili ingekaa sawa..

mkuu,hakuna watu waji.nga na wapu.mbav kama LB7,wanatetea kila ovu kisa tu serikali imewasomesha.Hivi ingekuwa ndio ndugu yake kafa na bomu la kukusudiwa,kulazimishwa kufanya mapenzi na mti,kubakwa,kuchomewa nyumba angeitetea hii serikali ya kidikteta? Sioni sababu ya serikali kuitetea kwa kuwa imekusomesha.Mbona akina Nyerere walisomeshwa na serikali za kikoloni lakini baadae walikuja kudai uhuru? Jamaa mjinga kweli
 
Ben anastahili back up ya chama, kajitoa sana muhanga! Bahati mbaya zaidi ni kuwa maadui zake ni wauaji (lameck chemba na nchyimbi) na wachawi waua hadi panya (Zzk)
 

Mimi nimuombe mheshimiwa nchemba kwamba siku hizi elimu ina upana wake,kuna vijana wamesoma wanajua kucheza na computer,tofauti na zaman zenu ukiingia chumba cha computer lazima uvue viatu.elewa ukweli utabaki ukweli kama mtu anasema ukweli,uongo utabaki uongo kama mtu anasema uongo.
 
namuona Ben Kama sinoden wa chadema,endelea kuwaumbua hawa wauwaji
 
Last edited by a moderator:

Mkuu kuna shule inaitwa SENGE SEC. kule Singida, uandishi wako unafanana na jamaa yangu mmoja amemaliza pale , na wewe ni mmoja wapo wa wanafunzi wa SENGE Sec.!??
 

Watu wanaoisifia Serkali kuwa imewasomesha hawajui hata haki Zao za msingi,kwanza Serkali inasomesha watu hela inapata wapi!,kodi za wananchi ndio zinasomesha watu,watu Kama hawa Elimu Zao haziwasaidii kabisa,Mimi nitamshukuru mwananchi mwaminifu anayepiga kazi na kulipa kodi sababu bila yeye Mimi nisingeenda shule,Serkali ni wajibu wake kunisomesha.
 
Alafu mimi sina imani nae jinsi alivyohadaa swala la ugaidi na toka alivyoumbuliwa kukaa kimya wala sitegemei kumuamini kwa maneno mepesi kiasi hicho.
 

...na elimu hii imfikie MSALANI
 
"Ben look at you" kwa mwenye akili atakuwa ame sense kitu kibaya kwa Ben
 
Ben anastahili back up ya chama, kajitoa sana muhanga! Bahati mbaya zaidi ni kuwa maadui zake ni wauaji (lameck chemba na nchyimbi) na wachawi waua hadi panya (Zzk)
Ndiyo amekutuma uje umpigie debe kajitoa kivipi fafanua.
 
Mkuu chama

Naona unawapa vitasa vya maana makamanda wa Chadema.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu chama

Naona unawapa vitasa vya maana makamanda wa Chadema.

Hivi wewe ubokolewi kweli kwa kushobokea wanaume?

Hivi kuchambisha vizee Washington nayo ni sifa?
 
Last edited by a moderator:
Utata umeibuka kuhusiana na kifo cha Ofisa Usalama wa Taifa, Peter Tyenyi, ambaye mwili wake umekutwa ndani ya kisima cha maji kilichopo eneo la ofisi za idara zilizopo Kijitonyama, jijini Dar es Salaam.

Akizungumza kwa njia ya simu, msemaji wa familia ambaye ni kaka wa marehemu, John Tyenyi alisema mwili wa Peter (53) ulikutwa juzi ukiwa ndani ya kisima cha maji kilicho ndani ya eneo la Ofisi za Usalama wa Taifa, Kijitonyama baada ya kutoweka tangu Jumatatu ya Mei 27, alipoaga kwenda kazini.

"Peter alitoweka tangu Jumatatu alipoaga kwenda kazini. Mimi nimepigiwa simu jana saa tano asubuhi nikiwa Mombasa nchini Kenya kwamba amepatikana akiwa ndani ya shimo la maji," alisema John.

Baadhi ya ndugu zake waliozungumza kwa sharti la kutotajwa majina wakiwa msibani Kigamboni jijini Dar es Salaam, walisema kuwa baada ya ndugu yao kutoweka mkewe Joyce Mwakilama aliwataarifu na kuwasiliana na ofisi yake, lakini aliambiwa kuwa hata huko hayupo.

"Tuliwajulisha Usalama wa Taifa wakasema hata wao hawajui. Lakini jana (juzi) wakatupigia simu kuwa amekutwa kwenye kisima cha maji baada ya kutokea shida ya maji," alisema mmoja wa wanafamilia kwa sharti la kutotajwa jina na kuongeza:

"Walisema kuwa kisima hicho huwa kinalindwa, lakini tunashangaa ndugu yetu aliingiaje humo."

Ndugu mwingine alisema: "Awali tuliambiwa kuwa ndugu yetu yuko Muhimbili, tukaenda kuulizia tukamkosa. Baadaye tukaambiwa yuko hospitali ya Lugalo, huko tukamkuta ameshaandaliwa kwa mazishi. Tulipouliza tukaambiwa kibali cha kuzika kiko tayari na usafiri wa ndege uko tayari tujiandae kusafirisha."

Hata hivyo, msemaji wa familia John Tyeni alisema kuwa ndugu hao walipinga kuusafirisha mwili huo, hadi ufanyiwe uchunguzi (post mortem).

"Tulipokwenda hospitali tukakuta maofisa usalama wamemchukua OCD wa Wilaya ya Kinondoni Wilbrod Mutangungwa na askari wawili na kwenda kufanya post mortem. Yaani kulikuwa na ujanja ujanja unafanyika. Sisi tukamchukua Ofisa Upelelezi Mkoa wa Kinondoni, RCO Kimola na askari wawili na wapigapicha ndiyo tukafanya post mortem," alisema John.

Akizungumzia matokeo ya uchunguzi huo, John alisema kuwa watapewa matokeo hayo baada ya kutoka kwenye mazishi yatakayofanyika Musoma mjini mkoani Mara, baada ya kusafirishwa leo.

Baadhi ya ndugu wa marehemu walidai kuwa mwili wake ulikutwa ukiwa umetumbuliwa macho huku nguo na viatu vikiwa bado mwilini.
 

Dah! Inasikitisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…