Mwigulu: Sijawahi kuwasiliana na Dkt. Emmanuel Nchimbi kwa e-mail tangu nizaliwe

Mwigulu: Sijawahi kuwasiliana na Dkt. Emmanuel Nchimbi kwa e-mail tangu nizaliwe

natamani angekuwa ni wazazi wake au yeye mwenyewe aliyebakwa kisha kuingiziwa chupa sehemu za siri, au kugongewa msumari 6" kichwani mpaka kufa labda akili ingekaa sawa..

mkuu,hakuna watu waji.nga na wapu.mbav kama LB7,wanatetea kila ovu kisa tu serikali imewasomesha.Hivi ingekuwa ndio ndugu yake kafa na bomu la kukusudiwa,kulazimishwa kufanya mapenzi na mti,kubakwa,kuchomewa nyumba angeitetea hii serikali ya kidikteta? Sioni sababu ya serikali kuitetea kwa kuwa imekusomesha.Mbona akina Nyerere walisomeshwa na serikali za kikoloni lakini baadae walikuja kudai uhuru? Jamaa mjinga kweli
 
Ben anastahili back up ya chama, kajitoa sana muhanga! Bahati mbaya zaidi ni kuwa maadui zake ni wauaji (lameck chemba na nchyimbi) na wachawi waua hadi panya (Zzk)
 
Mimi nimuombe mheshimiwa nchemba kwamba siku hizi elimu ina upana wake,kuna vijana wamesoma wanajua kucheza na computer,tofauti na zaman zenu ukiingia chumba cha computer lazima uvue viatu.elewa ukweli utabaki ukweli kama mtu anasema ukweli,uongo utabaki uongo kama mtu anasema uongo.
 
namuona Ben Kama sinoden wa chadema,endelea kuwaumbua hawa wauwaji
 
Last edited by a moderator:
Proactive Ben

katika watanzania woooooote walio JF wewe ndio ulikuwa na gat ya kumuuliza Nchimbi au mwigulu?? kwanza number zao ulipata wapi na kwa nini uwe nazo...( majasusi)

Pili unasema uliulizwa na polisi umeingilia mawasiliano?? hivi umesoma mpaka darasa la ngapi??

hauoni unaweza kuulizwa silly and stupid question ku validate unayoyawaza??

hivi kwa nini vijana wa aina yako hawana uwezo wa kufikiri nje ya box??

umeulizwa investigative questions, bila hiyana umekuja kusema ulichoulizwa, wenzako wanampata mtu hapo, you might be the one

kubali kuwa umekuwa mjinga kwa kivuli cha uanamapinduzi, umeingia kwenye mitego ya polisi kwa akili zako ndogo

WW ULIZUSHA, ULIPANGA, ULIANDIKA, UMEONEKANA NA KAJITETEE HUKO, ACHA PUBLIC SYMPATHY

SOON TUTAKUJA SEGEREA KUKULETEA CHAKULA NA .............be careful wasi ku-lema

Mkuu kuna shule inaitwa SENGE SEC. kule Singida, uandishi wako unafanana na jamaa yangu mmoja amemaliza pale , na wewe ni mmoja wapo wa wanafunzi wa SENGE Sec.!??
 
mkuu,hakuna watu waji.nga na wapu.mbav kama LB7,wanatetea kila ovu kisa tu serikali imewasomesha.Hivi ingekuwa ndio ndugu yake kafa na bomu la kukusudiwa,kulazimishwa kufanya mapenzi na mti,kubakwa,kuchomewa nyumba angeitetea hii serikali ya kidikteta? Sioni sababu ya serikali kuitetea kwa kuwa imekusomesha.Mbona akina Nyerere walisomeshwa na serikali za kikoloni lakini baadae walikuja kudai uhuru? Jamaa mjinga kweli

Watu wanaoisifia Serkali kuwa imewasomesha hawajui hata haki Zao za msingi,kwanza Serkali inasomesha watu hela inapata wapi!,kodi za wananchi ndio zinasomesha watu,watu Kama hawa Elimu Zao haziwasaidii kabisa,Mimi nitamshukuru mwananchi mwaminifu anayepiga kazi na kulipa kodi sababu bila yeye Mimi nisingeenda shule,Serkali ni wajibu wake kunisomesha.
 
Alafu mimi sina imani nae jinsi alivyohadaa swala la ugaidi na toka alivyoumbuliwa kukaa kimya wala sitegemei kumuamini kwa maneno mepesi kiasi hicho.
 
Ningekua mlamba viatu au mtu wa kuburuzwa ningekua CCM leo hii.Natumia taaluma yangu ipasavyo na imenisaidia katika umri mdogo tofauti na wewe mtu mzima mwenye familia unashinda mitandaoni kutukana watu halafu unajidai kuwa una familia.Huna hata basic qualifications za kuwa mzazi.Hata kama elimu ya darasani hauna lakini pia common sense na busara zingekuongoza jinsi ya kujadiliana on public forums.Unaidhalilisha familia yako.

Kwa kukusaidia,Sitajadiliana na wewe zaidi ya kukuelimisha hapa.Asubuhi njema na isalimie familia na uwe mkweli uiombe radhi kwa kuja kuidhalilisha kiasi hicho humu.

Post zako zilizopita ni aibu kwa mtu mwenye family ambayo ni decent.Kuibadili taswira ya Jamii ni lazima tuanzie na malezi kwenye family Level.Sasa kwa post zako hizi hazionyeshi dalili nzuri na zinatoa taswira nzima ya family na waliokuzunguka.Jiheshimu na omba radhi familia yako kama unaiheshimu

...na elimu hii imfikie MSALANI
 
Ben anastahili back up ya chama, kajitoa sana muhanga! Bahati mbaya zaidi ni kuwa maadui zake ni wauaji (lameck chemba na nchyimbi) na wachawi waua hadi panya (Zzk)
Ndiyo amekutuma uje umpigie debe kajitoa kivipi fafanua.
 
wewe Mag3 ni walewale tu waganga njaa; huwezi wala huyo Ben Saanane hawezi kucheza game ninayoicheza; wewe ni kilaza huyo Ben Saanane anatofauti gani na kilaza Yericko Nyerere mtu wa darasa la saba? wote wanaishi kwa kulamba makalio wanaume wenzao; mimi napeta kwa elimu yangu ndani ya viunga vya Washington DC; siibahatishi maisha na sio najikwaza ndio ukweli ulivyo upo mganga njaa wewe??
Mkuu chama

Naona unawapa vitasa vya maana makamanda wa Chadema.
 
Last edited by a moderator:
Utata umeibuka kuhusiana na kifo cha Ofisa Usalama wa Taifa, Peter Tyenyi, ambaye mwili wake umekutwa ndani ya kisima cha maji kilichopo eneo la ofisi za idara zilizopo Kijitonyama, jijini Dar es Salaam.

Akizungumza kwa njia ya simu, msemaji wa familia ambaye ni kaka wa marehemu, John Tyenyi alisema mwili wa Peter (53) ulikutwa juzi ukiwa ndani ya kisima cha maji kilicho ndani ya eneo la Ofisi za Usalama wa Taifa, Kijitonyama baada ya kutoweka tangu Jumatatu ya Mei 27, alipoaga kwenda kazini.

"Peter alitoweka tangu Jumatatu alipoaga kwenda kazini. Mimi nimepigiwa simu jana saa tano asubuhi nikiwa Mombasa nchini Kenya kwamba amepatikana akiwa ndani ya shimo la maji," alisema John.

Baadhi ya ndugu zake waliozungumza kwa sharti la kutotajwa majina wakiwa msibani Kigamboni jijini Dar es Salaam, walisema kuwa baada ya ndugu yao kutoweka mkewe Joyce Mwakilama aliwataarifu na kuwasiliana na ofisi yake, lakini aliambiwa kuwa hata huko hayupo.

"Tuliwajulisha Usalama wa Taifa wakasema hata wao hawajui. Lakini jana (juzi) wakatupigia simu kuwa amekutwa kwenye kisima cha maji baada ya kutokea shida ya maji," alisema mmoja wa wanafamilia kwa sharti la kutotajwa jina na kuongeza:

"Walisema kuwa kisima hicho huwa kinalindwa, lakini tunashangaa ndugu yetu aliingiaje humo."

Ndugu mwingine alisema: "Awali tuliambiwa kuwa ndugu yetu yuko Muhimbili, tukaenda kuulizia tukamkosa. Baadaye tukaambiwa yuko hospitali ya Lugalo, huko tukamkuta ameshaandaliwa kwa mazishi. Tulipouliza tukaambiwa kibali cha kuzika kiko tayari na usafiri wa ndege uko tayari tujiandae kusafirisha."

Hata hivyo, msemaji wa familia John Tyeni alisema kuwa ndugu hao walipinga kuusafirisha mwili huo, hadi ufanyiwe uchunguzi (post mortem).

"Tulipokwenda hospitali tukakuta maofisa usalama wamemchukua OCD wa Wilaya ya Kinondoni Wilbrod Mutangungwa na askari wawili na kwenda kufanya post mortem. Yaani kulikuwa na ujanja ujanja unafanyika. Sisi tukamchukua Ofisa Upelelezi Mkoa wa Kinondoni, RCO Kimola na askari wawili na wapigapicha ndiyo tukafanya post mortem," alisema John.

Akizungumzia matokeo ya uchunguzi huo, John alisema kuwa watapewa matokeo hayo baada ya kutoka kwenye mazishi yatakayofanyika Musoma mjini mkoani Mara, baada ya kusafirishwa leo.

Baadhi ya ndugu wa marehemu walidai kuwa mwili wake ulikutwa ukiwa umetumbuliwa macho huku nguo na viatu vikiwa bado mwilini.
 
Utata umeibuka kuhusiana na kifo cha Ofisa Usalama wa Taifa, Peter Tyenyi, ambaye mwili wake umekutwa ndani ya kisima cha maji kilichopo eneo la ofisi za idara zilizopo Kijitonyama, jijini Dar es Salaam.

Akizungumza kwa njia ya simu, msemaji wa familia ambaye ni kaka wa marehemu, John Tyenyi alisema mwili wa Peter (53) ulikutwa juzi ukiwa ndani ya kisima cha maji kilicho ndani ya eneo la Ofisi za Usalama wa Taifa, Kijitonyama baada ya kutoweka tangu Jumatatu ya Mei 27, alipoaga kwenda kazini.

“Peter alitoweka tangu Jumatatu alipoaga kwenda kazini. Mimi nimepigiwa simu jana saa tano asubuhi nikiwa Mombasa nchini Kenya kwamba amepatikana akiwa ndani ya shimo la maji,” alisema John.

Baadhi ya ndugu zake waliozungumza kwa sharti la kutotajwa majina wakiwa msibani Kigamboni jijini Dar es Salaam, walisema kuwa baada ya ndugu yao kutoweka mkewe Joyce Mwakilama aliwataarifu na kuwasiliana na ofisi yake, lakini aliambiwa kuwa hata huko hayupo.

“Tuliwajulisha Usalama wa Taifa wakasema hata wao hawajui. Lakini jana (juzi) wakatupigia simu kuwa amekutwa kwenye kisima cha maji baada ya kutokea shida ya maji,” alisema mmoja wa wanafamilia kwa sharti la kutotajwa jina na kuongeza:

“Walisema kuwa kisima hicho huwa kinalindwa, lakini tunashangaa ndugu yetu aliingiaje humo.”

Ndugu mwingine alisema: “Awali tuliambiwa kuwa ndugu yetu yuko Muhimbili, tukaenda kuulizia tukamkosa. Baadaye tukaambiwa yuko hospitali ya Lugalo, huko tukamkuta ameshaandaliwa kwa mazishi. Tulipouliza tukaambiwa kibali cha kuzika kiko tayari na usafiri wa ndege uko tayari tujiandae kusafirisha

Hata hivyo, msemaji wa familia John Tyeni alisema kuwa ndugu hao walipinga kuusafirisha mwili huo, hadi ufanyiwe uchunguzi (post mortem).

“Tulipokwenda hospitali tukakuta maofisa usalama wamemchukua OCD wa Wilaya ya Kinondoni Wilbrod Mutangungwa na askari wawili na kwenda kufanya post mortem. Yaani kulikuwa na ujanja ujanja unafanyika. Sisi tukamchukua Ofisa Upelelezi Mkoa wa Kinondoni, RCO Kimola na askari wawili na wapigapicha ndiyo tukafanya post mortem,” alisema John.

Akizungumzia matokeo ya uchunguzi huo, John alisema kuwa watapewa matokeo hayo baada ya kutoka kwenye mazishi yatakayofanyika Musoma mjini mkoani Mara, baada ya kusafirishwa leo.

Baadhi ya ndugu wa marehemu walidai kuwa mwili wake ulikutwa ukiwa umetumbuliwa macho huku nguo na viatu vikiwa bado mwilini.

Dah! Inasikitisha
 
Back
Top Bottom