Mwigulu: Sijawahi kuwasiliana na Dkt. Emmanuel Nchimbi kwa e-mail tangu nizaliwe

Mwigulu: Sijawahi kuwasiliana na Dkt. Emmanuel Nchimbi kwa e-mail tangu nizaliwe

wewe mganga njaa Ben Saanane; elimu usiyoitumia ina manufaa gani? ni sawa kuwa na jembe na kuliweka chini ya uvungu wa kitanda; wewe ni hasira za maisha vijana wa kitanzania tunaelewa CCM ni kitu gani na imetufanyia nini katika maisha yetu; hivi kama sio serikali ya CCM ungesoma ? unegekuwa mpiga au muedesha bodaboda; nadhani umesahau ulivyokuwa unajidi India kaa chini uyakumbuke vizuri; leo unaadhirika mjini kwasababu elimu uliyonayo haikusaidii kimaisha wala kifikra matokeo yake ni hayo ya kutumiwa na kuvuliwa kama chupi. elimu uliyo nayo mwajiri mkubwa ni serikali ya JMT na huo ndio ulikuwa mtego wako; hivi kwa akili yako kituko kama wewe uajiriwe mambo ya nje ili iweje? Endelea kutumiwa na hao mabwana zako hapo Chadema na ukweli hawakutaki ila unajipendekeza; wewe ni nyoka mwenye sumu kali ya unafiki; hivi unafikiri Mbowe na Heche hawalijui hilo??? walitaka kukutumia kumamliza Zitto kazi ilikushinda ulichobaki ni kujipendekeza humu Jamii Forum ili uonekane ni mtetezi wa Mbowe; wewe ni mganga njaaa huna lolote la kuniambia maisha mgogoro ndio maana unajikombakomba!!! sasa unatumika kutengeneza email za uongo za viongozi angalia sana utaishia pabaya hivi hizi elimu za kihindi hazikundishi madhara ya athari ya kutengeneza vitu vya uongo na kuviweka kwenye mitandao??

upumbavu unakuelemea, hata ukikobolewa pamoja na ngano kinuni upumbavu haukutoki. wala elimu haitakusaidia.
 
Mimi sijasoma hata chuo kimoja,lakini elimu yangu hii ndogo imenisaidia kusimama kwa maisha yangu vizuri,watoto wangu wanakwenda shule bila tabu
Lakini wewe unaejiita Msomi usio na mbele umekuwa kama bendera kufata upepo tu,
Toka nimekujua haa jf sijawahi kuona unapinga neno la Mbowe wala slaa,hata wao wanajua wewe ni zombie Lao pamoja na Yule mtoto wa nje wa nyerere nyinyi vilaza sijapata kuona,
Najua mnaishi kwa migogoro pale ufipa unadhani ikiisha migogoro pale mtaishi vp mjini? Kweli India ulikwenda kula dengu na parata tu wewe hakuna ulichoongeza kichwani

Kwa maana hiyo ili uwe vizuri kichwani lazima umpinge Mbowe na Dr. Slaa, yaani wanaowakaririsha ni wajinga nanyi mnaokaririshwa ni wapumbavu.
 
tatizo lenu nyie watoto wa chadema mnamuona BEN SAA8 kama mtu muhimu sana. huyu dogo ni mburula tu mtumwa wa mbowe, he is ready to do anything to please his master(what a slave!!!)
wamefanya lililo sahihi kabisa kutokujibu sms yake kwani ukiwa SIMBA DUME NYIKANI HUTAKIWI KUGUTUSHWA NA KELELE ZA PANYA.
ujinga wenu mnaoufanya unafanya vijana wa kitz kuonekana wajinga na kuwa hawako tayari kiungozi mbele ya wenzetu wa nchi jirani.
hata kama kauli ya nchemba haina ukweli wa 100%, lakini ninashawishika kuiamini na nina wasiwasi BEN SAA 8 is behind all this.
ujumbe wangu kwako BEN, evil plans can carry only those who are foolish(na wamejaa tele chadema),but for those with proper/well packed brains, you are making a wonderfull bwatboy out of yourself
Acha kutukana watu. Unakuja na mijigambo yako kama ya Chemba la choo (MaPhD). Wewe ni nani, fanya analysis, sio kutukana watu. Kuwa chadema kunakusu nini, na wewe unatumika wapi. What if wewe ndo foolish enhe? be civilized.
 
Mungu ni Mwema,Huwaumbua Waovu na Kuwasitiri Watenda Mema.Ipo siku itajulikana Pumba ni zipi na Mchele ni upi,Tujipe Moyo Muda si Mrefu Yatatimia Yote haya.
 
Siamini kama Tanzania ndio tumefika hapa tulipo!! Polisi/TCRA/usalama wa taifa mko wapi?? mbona kazi ni ndogo sana kugundua ukweli na uongo,ukimya wenu kwa mambo mengi ndio kunawafanya watanzania wa leo wanajichukulia sheria mkononi.
 
Kusoma sana,kupata shahada mbili au tatu,kuongoza darasani,kutoa hoja nzito kumbe yote ni tofauti sana na kuelimika,kujitambua,kujielewa,kujithamini. So is Ben Saanane
 
Last edited by a moderator:
mheshimiwa hapa tatizo ni dogo sana,rekebisheni sheria za mawasiliano kwa ujumla matatizo kama haya yatakwisha kabisa,angalia hata wewe mwenyewe kama mheshimiwa unaathirika kutokana na watu kutumia vibaya mitandao,watu walioweka email,mitandao ya kijamii pamoja na tovuti walikuwa na nia njema sana,mojawapo ikiwa ni kuturahisishia mawasiliano,cha ajabu watu wamegeuza ulingo wa matusi na kuchafuana mbele ya jamii,sasa uwepo wa sheria kali za kusimamia mawasiliano,pamoja na utekelezaji wa sheria hizo ndo suluhu pekee ya kutatua tatizo hili,kuja hapa na kulalamika pekee hakutaweza kuondoa uovu huu moja kwa moja,hayo ni maoni yangu kama mtanzania huru!
Ndugu hata anaye tumia mitandao kupanga namna ya kuwadhuru wengine naye hafai, @mwigulunchemba anaweza kupaga na kutkeleza huo uovu! the man is capable of doing so! afu haoni taizo kuja hapa kukanusha. Unafiki wa huyu jamaa niliudhibitisha pale bungeni wakati wa mjadala wa udini, akautuhumumu upinzani kuanzisha udini! huku akisahau jinsi alivo simama madhabahuni pale KKKT Igunga akiwaomba kura waumini, (mimi nilikuwa mmoja wa waumini wa ibada ya siku hiyo) Mwigulu bila kupepesa macho aliomba kura kaniasani!
 
Mwigulu unamaanisha na wewe umegawa e-mail yako kwa mtu kama alivyofanya kapuya?
 
Kusoma sana,kupata shahada mbili au tatu,kuongoza darasani,kutoa hoja nzito kumbe yote ni tofauti sana na kuelimika,kujitambua,kujielewa,kujithamini. So is Ben Saanane

Njoo na ID yako halisi ya JF hapa.Si bora mimi kuliko msomi mwenye exposure lakini karne hii ya sayansi na teknolojia unajihusisha na kujigamba hadharani kwa ushirikina?
 
Last edited by a moderator:
Gaidi at works eti anapendekezwa kuwa waziri lol Mungu tusaidie jamani na hili janga CCM.
 
Njoo na ID yako halisi ya JF hapa.Si bora mimi kuliko msomi mwenye exposure lakini karne hii ya sayansi na teknolojia unajihusisha na kujigamba hadharani kwa ushirikina?

Mimi Mshirikina? Daah jamaa angu umezidi kwa ngano na riwaya....u are better than this
 
Nataka kukuamini Mwigulu Nchemba Kuwa hujawahi kuwasiliana kwa e mail na Nchimbi lakini kuna swali Hapa. Wewe ni Kati ya viongozi wa juu kwenye chama chako na Nchimbi alikuwa waziri katika wizara nyeti Kabisa ya mambo ya Ndani ambayo imekuwa ikilalamikiwa kwa kites a na Kuua Huku pia wewe ukiwa kwenye Tuhuma za kuratibu mateso na mauaji kwa Jina la chama kimoja cha upinzani.
Ni kwanini hadi Leo hujawahi kuwasiliana na Nchimbi kwa email ili Hali wewe ni bosi wake Ndani ya chama na yeye ni bosi wacko Akiwa waziri?
2. Ni Kweli kwamba huoni umhimu wa kuwasiliana na Nchimbi kwa e mail kwa vile kola Siku uko nae bungeni na mjini?
3. Ni Mara ngapi unatumia e mail yako kwa wiki?
 
[QUOTE
1) Sijawahi kuwasiliana na mhe Nchimbi kwa E mail hata siku moja tangu nizaliwe.

Mi nakushauri usiendelee kujibizana na wale unaoamini ni wafitini, endelea na kazi zako, usimwogope mtu, labda Mungu tu, ndo hakimu! Haya yote yana mwisho! Kila mtu ataubeba msalaba wake! Its is the question of time! Make hakuna marefu yasiyokuwa na mwisho! Tafakari ...chukua hatua!
 
nadhani kuna mtu kapigwa na kitu chenye ncha kaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
 
Mhe ikifika kwako ni e mail fake. Wewe si ndiye ulichukua muda wa Bunge letu tukufu kutusomea message fake ya Mbowe. Mbona unakuwa kigeugeu Mhe?. Kama unaamini kuna msg au e mail fake kwanini hukuwasiliana na Mhe Mbowe kwanza? Mshahara wa dhambi ni mauti. Angalia sasa Mungu analipizia hata muda haujapita. Ni vema ukatubu kwani yapo mengi yatakupata usipofanya hivyo.
 
Mimi ninachohitaji wale wote waliomwita na kumuhoji Ben Sanane na wale waliopeleka malalamiko yale, Ben Sanane na yule mwanasheria wake walioenda wote polisi...waendelee kubaki salama. Tutawahitaji mbeleni kwa ajili ya kuhakikisha haki inatendeka.
 
Mhe ikifika kwako ni e mail fake. Wewe si ndiye ulichukua muda wa Bunge letu tukufu kutusomea message fake ya Mbowe. Mbona unakuwa kigeugeu Mhe?. Kama unaamini kuna msg au e mail fake kwanini hukuwasiliana na Mhe Mbowe kwanza? Mshahara wa dhambi ni mauti. Angalia sasa Mungu analipizia hata muda haujapita. Ni vema ukatubu kwani yapo mengi yatakupata usipofanya hivyo.
 
Mkuu tuko pmoja, tunajuwa vijana wengi makanjanja wanatumika kutengeneza emailfake,facebook akaunti fake kwa adhumuni ya siasa za majitaka, Wewe jenga chama.....simamia serikali Waache waweweseke kwani Wananchi wameshajuwa ukweli na sasa CCM imeaminika..................Mary Christmass and Happy new year 2014.

Merry Xmas

ni hilo tu mkuu,thnx
 
Back
Top Bottom