Mwigulu: Sijawahi kuwasiliana na Dkt. Emmanuel Nchimbi kwa e-mail tangu nizaliwe

Kuna jambo moja kubwa nimelibaini.
Huyu Ben Saa8 ana uwezo mkubwa sana compared to the rest of young politicians (wajumlishe wote wanaompiga vita). The guy is very smart. Sijui Ben alisomea vitu gani, manake ana uelewa wa vitu vingi sana...

Yaani wakiwa treated/subjected katika same neutral environment, he is going to rock...
 

Ameshasahau...mgumu kuelewa mwepesi kusahau...
 

Kwa mara nyingine nasikitishwa na uaandishi wa kiongozi mwandamizi wa chama chetu pendwa na msomi aliyejinasibu kwa kuwa na shahada ya daraja na la kwanza, mwanazuoni anayechukua PHD.
1. Je hoja ya msingi ni kuandaa mawasiliano ya kupikwa na kujapa majina ya watu wanaoaminika ni Nchimbi na Mwigulu au ''kutengeneza e mail kwa majina ya viongozi''
2. Taswira ipi hiyo inayozungumziwa bila kuzungumizia kilichooandikwa kwenye e-mail hiyo? ''Taswira za viongozi mbele ya umma'' ishapotea muda mrefu na ndio maana hata Mhe. Rais karidhia kuwasimamisha kazii huyo kiongozi mwenye jina la 'Nchimbi'
3. Kama mawasiliano hayo ni feki na yalifanywa kwa e-mail bandia na unakiri kuwa mawasiliano hayo hayakuwahi kuwepo nini hoja ya kuanzisha uzii huu kujibu ''mawasiliano feki yaliyofanywa kwa e-mail bandia na ambayo hayakuwahi kuwepo''??!!!!!

UNAJIBU VACCUM.....?!!! JARIBU KUTUMIA MUDA WAKO KUFANYA VITU VYENYE TIJA KULIKO HILI.. MAANA LOGICAL HALIPO NA HALIKUWA KUWEPOO
 
Reactions: DSN

Jamaa for the rest of his life..........atashikiliwa na skendo hii ya kutaka kumuua zitto physically kwa sumu

time will come ambapo ataandikwa magazetini mpaka akome

mtu gani akiingia JF siku nzima yeye ni zitto

akili zake anaziweka mfukoni anafanya ya mbowe na slaa, kijana mpuuzi sana huyu
 

Taaluma imekusaidia kubeba sumu na kutaka kumuua zitto

kuthibitisha hayo, kuanzia asubuhi mpaka usiku unashinda JF kumponda zitto tu

huna akili zako, unatumika na wanaokutumia wanajua uwezo wako mdogo wa kutojitambua

kweli taaluma inakutunza kwa namna hiyo
 

Hao wenye nyekindu mkuu, kumbe hata huja graduate!
 

Thibitisha maneno yako, zaidi ya hapo, ulichoandika kinaonekana ni upuuzi tu wa kawaida na upu'ribs uliopitiliza!

hata kama hamtaki kukiri kiuwazi ila ukweli ni kwamba Ben kawazidi sana kwa kujenga hoja na kuzitetea, ninyi mmebaki kubwabwaja kwa matusi na personality attacks..

hoples kabisa, wewe na residues wenzako!
 
Aisee, kwa hiyo makada wooote wa CCM mnasoma PHD eeh?

Bingwa Mwigulu unasomea chuo gani hiyo makitu yako aisee?

Samahani lakini nawaza tu nje ya mada...

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
kama hili suala halikuhusu kama unavyotaka kudanganya, je bomu la Arusha ulihisika? maana hilo hujawahi kukanusha. ila nimeamini, ukirusah jiwe kichakani, basi lazima kitu kijibu
 

We mnywa gongo nani kakupa jukumu la kuwasemea watanzania wote? Mimi binafsi napenda jinsi Mwigulu single handed anavyowapa taabu vichaa wa CDM. Hasa kumuumbua yule mzinifu anayetumia pesa za walipa kodi kwenda kugonga mzinifu mwenzake huko Dubai.
 
Mkuu ..... Ben Saanane ......tafadhali naomba utoe ufafanuzi kuhusu maelezo ya hugochavez .......

 
Last edited by a moderator:
Yaani na wewe mbeba sumu watu wanataka attention yako wakati wewe mwenyewe unatafuta attention ya mama junior?
Yaani na wewe mla rambi rambi za mwangosi watu wanataka attention yako wakati wewe mwenyewe unatafuta attention ya kimada wako uliyetaka kumsingizia mh.lema amembaka.

Look at you mr.mikosi
 
Fistura inamsumbuwa hilo jinga, shule za kata ni janga la kitaifa.

Fistura ina uhusiano gani na makosa yake ya spelling? Au we ni kijana wa kijiweni? Sioni elimu ndani yako!
Jenga hoja, achana na chuki kwa wasiyokuunga mkono badala ya kuandika matusi ya kwenye vijiwe.
 
Fistura ina uhusiano gani na makosa yake ya spelling? Au we ni kijana wa kijiweni? Sioni elimu ndani yako!
Jenga hoja, achana na chuki kwa wasiyokuunga mkono badala ya kuandika matusi ya kwenye vijiwe.

Sina muda na watu njaa njaa kama wewe.
 
duuu poleni sanaaaaaaaaaaaaaa. hiyoo nzuri sanaaaaaaa mungu siku zote yupo na wenye haki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…