Mwigulu: Sijawahi kuwasiliana na Dkt. Emmanuel Nchimbi kwa e-mail tangu nizaliwe


Ben sio mara yangu ya kwanza kufafanua hili. Siku nilipoiona tu niliandika humu na fb kuwa hiyo sio e mail yangu na wala sijawahi kuwasiliana na Mhe Nchimbi kwa e mail. Hapa nimeongelea ya kuwa umeitwa polisi of which nisingeongea kabla hujaitwa. Hizo siasa za kiwango cha chini mno.
 
Last edited by a moderator:
chadema wamebakiza vurugu tu wamempalamia zitto kawashinda sasa wanaanza kutunga mambo ya uongo ili kuficha makovu yao.


""
Subject: Fw: kazi nzuri
Date: Sunday, November 17, 2013 20:28
From: " Mwigulu Nchemba " >
To: "Emmanuel Nchimbi" < nchimbie@yahoo.com >

On Sunday, November 17, 2013 6:15:44 PM, Mwigulu Nchemba wrote:

sawa boss,,jumatano saa moja imekaa safi kabisa. tuchape kazi. ntakupa update nikitoka kuonana na zzk. mh. Lukuvi namtafuta punde

MN

2013/11/17 Emmanuel Nchimbi < nchimbie@yahoo.com >

bila shaka vijana wamefanya kazi nzuri sana. mapambano yanaendelea, hakuna kulala, hapa sasa tume lote livunjwe na huyo waryoba apumzishwe. mtafute mh. Lukuvi ana mazuri ya kuongea na wewe. kuna mapya pale ufipa, nimeshaongea na mh. zitto na amenipa brifieing .. tukutane jumatano basi jioni ya saa1 pale pale cheer,, Emma

Sent from my ipad

On Sunday, November 17, 2013 5:55:02 PM, Mwigulu Nchemba wrote:

Naona vijana wametekeleza shuguli vizuri, na cham imewakilishwa vizuri sana. Msangi jembe, sasa tutaipata katiba tunayoitaka hicho kikwazo kikishaondolewa bila shuruti. Alafu upande wa pili (cdm) inabidi tuongeze dau ili shujaa zzk abakie ndani, nasikia kuna mkakati wa kumtoa kwenye kinyang'anyiro. tujitahidi sana sana kumsaidia kujenga mtandao wa ndani apate u wenyekiti. taarifa zaidi za ndani zinasema wkamba wanajaribu kumfukuza kabla ya mwisho wa mwaka, tuendeleze vita hilo lisitokee, naona kundi ndani ya bavicha hasa hiyo mitoto inafanya sana mashambulizi lakini hawataweza. inabidi wadhibitiwe. rockup wiki mbili itawasambaratisha. Tuongeze kasi kwa wajumbe wa kamati kuu. wengi wao ni njaa sana nazani 5mil kila moja inatosha kabisa.wananifata sana kuomba hela ili wasaidie nakutana na ZZK baadae plae pa siku ile, unaweza kufika saa 1 jioni

MN
 
Nchimbi ndiye alikuwa waziri wa mambo ya ndani? kama siamini vile. Hivi Kikwete anatumia vigezo gani kuwapa watu wa aina hii madaraka!!!
 

pole sana,ndio siasa zilivyo tena siasa za Kiafrika,watu wapo radhi hata kukuwekea meno ya tembo mlangoni,ilimradi tu upatikane na hatia.
kwa technolojia ya sasa,swala la kutengeneza email na mambo mengine ni jambo rahisi sana,cha msingi ni viongozi kuwa makini.
Haya yote yanamwisho wake,tusubiri tuone mwisho wa siku polisi watatueleza nini juu ya uchunguzi wao
 

Kifo hicho cha Mvungi mimi nilikuwa bado kwenye dimbwi la mawazo bila kupata mwangaza, sasa kumbe nuru imeshaanza kupenyeza na pia nilikuwa sijavipatia vizuri vipengere kadhaa katika ile hacked email, sasa naona kunapambazuka na mwanga kwa mbali unajitokeza alfajiri mapema kabla ya jua kuchomoza.
 
Mwigulu ............... Waziri mtarajiwa wa baraza lijalo!!!! Bongo, hatuishiwagi matukio!!
 
Niliwahi kusema kwamba Mchemba is an IDIOT. Kama ni kweli Ben kasuka hizo e-mail why not take him to court???

mnapenda sana kesi,hizo gharama za kesi si bola ukachimbie kisima kuliko kuzitumia kumpeleka mtu mahakamani?
 

Amani kwako kamanda, sheria ya Musa i hai
 
Last edited by a moderator:
Kwa nini umeamua kujibu sasa hivi?maana wakubwa wanasema kama uliona haja ya kujibu basi ni boraungejibu mapema ila ukikaa sana ujue kua ulikua unajipanga jinsi gani ya kupangua hoja na Kama uliamua kuongea then ungeongea mapemna kama ulipanga ukae kimya then ungekaa kimya na si kuja kuongea leo.

Mwigulu samahani kwa hili swali ila mbona muda mwingine Bungeni ni kuonda tu upinzani badala ya kutoa hoja ya kujenga au unadhan watanzania tunafurahia mipasho???Tuko katika hali ngumu ya maisha na ndo mana tunawaomba viongoz mtuwakilishe ipasavyo na mnatuumiza kwa hoja za kimajungu zisizojenga na mkifika kwa mkubwa mnamchekea tu bila kumwambia kua waTanzania tuko katika hali mbaya mana hata mtoto mdogo sasa hivi anajua tuko katika hali mbaya kasoro nyie wakubwa.

Tanzania ni nchi na si fammilia ya CCM wala CHADEMA so usifanye maamuzi kama unavofanya katika familia yako ndo ukayaleta kuongoza Tanzania mana Misri,Tunisia,Libya watu walichoka na ndo mana nchi ikaharibika,tuipende na kuiheshimu nchi yetu na nkisema tuipende ni kukemea mambo yote maovu ya nchi hii.
 
Na ule mtambo wa kutuma sms feki aliuleta nani?
na bomu la arusha soweto si ni wewe umeua watu wasio na hatia?
Kuna damu ya Watanzania mikononi mwako wewe hapo Mwigulu Nchemba na utalipwa hapa hapa duniani?
 
Last edited by a moderator:
Hivi kuna deadlines za kukanusha enh? Kama siyo akili ndogo ni kitu gani.
 
Ni upuuzi kuamini utetezi hu wa mwigulu usubiri kwenda ICC kujibu uharamia wako kama ulivyo wa tokomeza
 

unajipendekeza kwa mods wapandishe huu uchafu wako wa nini?

1.kumbe una vijana wenye njaa ambao unawatumia kujipa majina ya watu halafu unawaelekeza wachafue watu?
2. kwanini wewe una sifa za mauwaji, sumu na hila?
3. vyeti vya degree ulizosoma kwanini havikusaidii?? au ulisomea umbea na uuwaji??
 

View attachment 128467
Kazi ndogo sana hiyo Mwigulu Nchemba, network ya yahoo ni ya wamarekani, utaalamu wa kubaini mbivu na mbichi viashiria vya email hiyo tuwaambie FBI hapo utaomba dunia ifunuke ikufiche, unacheze watanzania wakati mitandao tutumiayo server iko kwao wamarekani usikoweza kutia pua yako, watakuhakikishia hata chombo kilichotumiaka katika mawasiliano kinamilikiwa na nani. Unachezea usichokijua wa walioendelea katika tekinolijia.
 
Cha ajabu anaongelea uzinzi wa wenzake wakati yeye uzinzi mpaka kwa wanafunzi anao wasomesha wala hauoni! shaitwan wa kijani!
 
Mwigulu Nchemba eeeh...wenzio walikuwa wanamuuliza alipopata PASSWORD(nywila???)
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…