Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Huu ndio ukweli,raisi kafanya porojo tu.Hawezi tengua maamuzi ya bungeMahojiano yake na BBC ni kabla au baada ya tamko la rais, mbona mnachanganya habari ?
Mwendo ni uleule[emoji56][emoji56][emoji56]Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt Mwigulu Nchemba tozo za miamala na muda wa hewani zimepitishwa na bunge hivyo yeye kama waziri hawezi kuziondoa ila anaweza kuangalia kanuni kujua namna ya kurekebisha...
ni kablaMahojiano yake na BBC ni kabla au baada ya tamko la rais, mbona mnachanganya habari ?
Unajua majukumu ya waziri kama waziri?Wakati mjadala wa tozo upo hot naona tunamuonea Mwigulu. Tukumbuke, aliyetoa wazo tukasikia ni Zungu, kamati ya bajeti/fedha wakaiandika na kuileta bungeni, Bunge kibogoyo linalokula bila kulipa kodi likaipitisha, waziri alisoma tu na kutoa mswada na ukapitishwa, Rais akasaini na ikawa sheria. Leo hii tunamshambulia Mwigulu, why? Tatizo ni CCM na mfumo wake!
Naona kikao nacho kimeota mbawa! Tuendelee tu kuumia. Mungu ndo mtetezi wetu, atajibu kwa wakati!
Mkuu inaonesha una mktaba ya kutosha
Kwa kawaida utaratibu uliopo ni Bunge kupitisha Sheria then Waziri husika hutungia Kanuni. Dr. Mwigulu hawezi kukwepa kuhusu gharama za miamala kwa sababu yeye kwa kushauriana na Waziri mwenzake wa Mawasiliano ndiye alisaini hizo Kanuni. So kuanza kuwahusisha wabunge sijui na Mheshimiwa Rais ni unafiki mkubwa!
Mlalamikiwa ni moja ya zao la bunge lake.Kwa kawaida utaratibu uliopo ni Bunge kupitisha Sheria then Waziri husika hutungia Kanuni. Dr. Mwigulu hawezi kukwepa kuhusu gharama za miamala kwa sababu yeye kwa kushauriana na Waziri mwenzake wa Mawasiliano ndiye alisaini hizo Kanuni. So kuanza kuwahusisha wabunge sijui na Mheshimiwa Rais ni unafiki mkubwa!
Mkuu, hakuna anayepinga kutoa kodi ila kiwango kilichowekwa ni kikubwa mno...tozo za miamala zimetokana na mapendekezo ktk bajeti iliyowasilishwa na SERIKALI.
..lawama ya kwanza inapaswa kuwa kwa Serikali kuanzia kwa Waziri wa fedha, Raisi, na Cabinet.
..Suala hili ni lazima lilianza wizara ya fedha, likapelekwa kwenye cabinet ambayo mwenyekiti wake ni RAIS.
..Baada ya hapo ndio limepelekwa bungeni na Waziri wa Fedha.
..BUNGE lingeweza kuzuia jambo hilo lakini wabunge wa CCM wanamuogopa MWENYEKITI wao ambaye ni AMIRI JESHI MKUU.