Mwigulu: Tunatumia vibaya mitandao. Kuna watu mitandaoni wakiandika utadhani Mungu kaandika

Mwigulu: Tunatumia vibaya mitandao. Kuna watu mitandaoni wakiandika utadhani Mungu kaandika

1774685186544.jpg
 
Ina maana huyu jamaa anawafahamu wanamember wa JF personally kwa message hii?, Na umaskini, utapeli, uchafu na madeni yao? Hatari sana kwa usalama wa vijana hapa
 
Shusheni mabando ya internet wananchi wafanye mambo ya akili mitandaoni. Sasa mkikazia bei kubwa mnamkomoa nani? Si kila mwananchi ni mpinzani wa serikali, wengine wanatumia mitandao kwa mambo yao ya maana ya uchumi wa kidijitali
 
Back
Top Bottom