Ni sawa na wewe uende Benki na Business Plan lengo likiwa ni upewe mkopo ili ujenge choo.kukupa sio tatizo, ila tatizo ni matumizi ya hiyo mikopo.
Ni aibu na fedheha taifa lenye zaidi ya miaka 60 mnakopa ili kujenga vyoo.
Mmekabidhi taifa kwa malimbukeni waliyozoeya kulala na ng'ombe.
huu ni upunguani.Ni sawa na wewe uende Benki na Business Plan lengo likiwa ni upewe mkopo ili ujenge choo.
Mimi nampenda sana Samia Suluhu Hassan ni kama mama yangu mdogo ila kwakweli kuna mambo hayaendi sawa lazima tuulize.Mimi sina ubaya na Samia tena huwa namuonea huruma sana.
Apunguze mfumuko wa bei, mtaani watu wanaliaMimi sina ubaya na Samia tena huwa namuonea huruma sana.
Mimi adui yangu alishatangulia kwenye moto wa milele.Mimi nampenda sana Samia Suluhu Hassan ni kama mama yangu mdogo ila kwakweli kuna mambo hayaendi sawa lazima tuulize.
Samia mama yangu nakupenda sana nakutakia ufanikiwe ndio maana nakukosoa.
πππππMimi adui yangu alishatangulia kwenye moto wa milele.
Kwakweli huu mfumuko uangaliwe kwa sababu nei viwandani iko vilevile ni huku kitaa ndio tamaa.Apunguze mfumuko wa bei, mtaani watu wanalia
Huu ndio mwaka wa Mama ajifunge kibwebwe halafu afanye mabadiliko kwenye baraza la mawaziriπππππ
Samia suluhu Hassan.
Hii hapa chini:Mkopo ni himilivu kwa nani?aseme uwiano wa deni na Pato la Taifa.
Ccm wapo tayari kusema chochote Ili mradi walinde ugari wao.