Mbowe kama anatakiwa kuliwa kichwa wacha tu aliwe kichwa.Huu ndio mwaka wa Mama ajifunge kibwebwe halafu afanye mabadiliko kwenye baraza la mawaziri
Asiingilie kesi ya Mbowe ili Mapolisi wahenyeshwe ili Mwamba atoke bila Criminal record.
Yeye anasema hataki 'fujo' kwanini abebe kesi ya Magufuli na trust me itamletea 'fujo' sana.Mbowe kama anatakiwa kuliwa kichwa wacha tu aliwe kichwa.
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ Ila kwa mwigulu wamebugi ni empty!!kukupa sio tatizo, ila tatizo ni matumizi ya hiyo mikopo.
Ni aibu na fedheha taifa lenye zaidi ya miaka 60 mnakopa ili kujenga vyoo.
Mmekabidhi taifa kwa malimbukeni waliyozoeya kulala na ng'ombe.
Nimependa jibu lako, mikopo ni mizuri lakini pia ni mibaya.Kukopa ni harusi waugwana
Mikopo sio kitu kibaya lakini sio kitu kizuri pia
hivii mnada wa hili shamba utafanyika lini ? nataka niwastue jamaa zangu wajiandae kuja kulinunua shamba TZ. nadhani ndo itakuwa nafuu ya mwananchi atabadilisha maisha upyaaaa kuptia hawa jamaa!!Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Mkopo sio Msaada, na Mkopo hutolewa kwa mwenye chanzo cha kulipa. Amesema, "Tutaendelea kukopa ili tutekeleze miradi mikubwa kwa haraka"
Amesema tathmini ya uhimilivu wa deni iliyofanyika Mwezi Novemba inaonesha Deni ni himilivu kwa kipindi cha muda mfupi, wa kati na mrefu
Vilevile, ameeleza kuwa sio jambo la kiungwana kusema Rais anakopa akisisitiza Marais hawakopi bali ni Serikali akisema "Hilo si jambo la Familia, ni la Nchi"
Atuambie tozo na hela za mikopo zinaenda wap maana deni la taifa linazid kuongezeka na hakuna unafuu wa maisha, namunukuu spika ipo siku nchi itapigwa mnada aliongea kiutu uzima na huo ndo ukwelWaziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Mkopo sio Msaada, na Mkopo hutolewa kwa mwenye chanzo cha kulipa. Amesema, "Tutaendelea kukopa ili tutekeleze miradi mikubwa kwa haraka"
Amesema tathmini ya uhimilivu wa deni iliyofanyika Mwezi Novemba inaonesha Deni ni himilivu kwa kipindi cha muda mfupi, wa kati na mrefu
Vilevile, ameeleza kuwa sio jambo la kiungwana kusema Rais anakopa akisisitiza Marais hawakopi bali ni Serikali akisema "Hilo si jambo la Familia, ni la Nchi"
Ndugai vipande vipande bado anaendelea kula nondo., ni kama vile amepanda mchongomaWaziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Mkopo sio Msaada, na Mkopo hutolewa kwa mwenye chanzo cha kulipa. Amesema, "Tutaendelea kukopa ili tutekeleze miradi mikubwa kwa haraka"
Amesema tathmini ya uhimilivu wa deni iliyofanyika Mwezi Novemba inaonesha Deni ni himilivu kwa kipindi cha muda mfupi, wa kati na mrefu
Vilevile, ameeleza kuwa sio jambo la kiungwana kusema Rais anakopa akisisitiza Marais hawakopi bali ni Serikali akisema "Hilo si jambo la Familia, ni la Nchi"
Mkuu umeniwahi, na Mimi nilitaka kuchangia hivihivi.Kama Rais hakopi ni Serikali, lugha hiyo hiyo itumike fedha zinapotolewa, yaani Serikali na siyo Rais anayetoa fedha kwa shughuli yoyote ya Kitaifa
Umeanza lini kukosoa serikali ya CCM?Mimi nampenda sana Samia Suluhu Hassan ni kama mama yangu mdogo ila kwakweli kuna mambo hayaendi sawa lazima tuulize.
Samia mama yangu nakupenda sana nakutakia ufanikiwe ndio maana nakukosoa.