Mwigulu Vs Jeremy Hunt Waziri wa Fedha UK

Mwigulu Vs Jeremy Hunt Waziri wa Fedha UK

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
Mwigulu anakwenda kuwasilisha bajeti ya USD 15 billion na ving’ora na escort. 2024.

Jeremy Hunt, waziri wa Fedha wa UK akitembea kuwasilisha bajeti ya USD 1,600 billion. 2024.

Huu ni ulimbukeni, ushamba au ujinga.

B9916086-85D1-44E1-BCF8-774AF3B3DE22.jpeg

LIPA KODI KWA MAENDELEO (YAO) YAKO
 
Mwigulu anakwenda kuwasilisha bajeti ya USD 15 billion na ving’ora na escort. 2024.

Jeremy Hunt, waziri wa Fedha wa UK akitembea kuwasilisha bajeti ya USD 1,600 billion. 2024.

Huu ni ulimbukeni au ushamba.

View attachment 3016883
UK hawana mbunga za wanyama, bahari, mito, madini, ardhi na mifugo lakini ni matajiri wa kutupwa sisi tuna viongozi wajinga haswa
 
Mwigulu anakwenda kuwasilisha bajeti ya USD 15 billion na ving’ora na escort. 2024.

Jeremy Hunt, waziri wa Fedha wa UK akitembea kuwasilisha bajeti ya USD 1,600 billion. 2024.

Huu ni ulimbukeni au ushamba.

View attachment 3016883
Mwigulu ametokea familia Duni
Amepenya penya kufika hapo alipo kwa kutumwa na wakubwa zake akawatese na kuwauwa wapinzani

Hana uwezo wowote zaidi ya kulinda maslahi ya wakubwa
 
Mwigulu anakwenda kuwasilisha bajeti ya USD 15 billion na ving’ora na escort. 2024.

Jeremy Hunt, waziri wa Fedha wa UK akitembea kuwasilisha bajeti ya USD 1,600 billion. 2024.

Huu ni ulimbukeni au ushamba.

View attachment 3016883
Kadri siku zinavyo kwenda, urembukeni na ushamba unaongezeka among viongozi wetu, muda wa kwenda chonga plate number za "Bajeti Kuu" wameutoa wapi, msafara unatusaidia nn?
 
ndio maana tunashauri angala hii keki ya taifa tugawane kidogo

Dah!Kwa hiyo Mwigulu alitakiwa atembee kwa miguu kutoka wizarani hadi bungeni?Vitu vingine ni vidogo sana.Hasira zetu za maisha magumu tusimuhamishie jamaa.
Mkuu kwani kutembea kuna shida???

Mkuu msafara ni wa nini??

Basi kama ni lazima angetumia gari, gari moja si lingetosha???

Mbona mwenzie wa UK katambea, kapungukiwa na nini???
 
Mwigulu anakwenda kuwasilisha bajeti ya USD 15 billion na ving’ora na escort. 2024.

Jeremy Hunt, waziri wa Fedha wa UK akitembea kuwasilisha bajeti ya USD 1,600 billion. 2024.

Huu ni ulimbukeni, ujinga au ushamba.

View attachment 3016883
LIPA KODI KWA MAENDELEO (YAO) YAKO
Kwa hiyo unataka kutuaminisha huyo Waziri ametoka nyumbani kwake kwa mguu au hapo anaingia kwenye jengo la bunge?
 
Mkuu kwani kutembea kuna shida??? msafara wa nini basi kama ni lazima atumie gari moja si lingetosha??? Mbona mwenziwa UK katambea kapungukiwa na nini???
Si lazima wote mfanane.Anaweza siku hiyo akalipaki gari lake,sawa.Kwani ndiyo itauondoa ukweli kwamba mawaziri wote hapa Tanzania wanatumia magari ya kifahari?Tusipende kufurahishwa kwa dakika chache huku kila siku tunapigwa.Kama kupinga tupinge jumlajumla na kila siku hadi tuone mabadiliko.
 
Mwigulu anakwenda kuwasilisha bajeti ya USD 15 billion na ving’ora na escort. 2024.

Jeremy Hunt, waziri wa Fedha wa UK akitembea kuwasilisha bajeti ya USD 1,600 billion. 2024.

Huu ni ulimbukeni, ushamba au ujinga.

View attachment 3016883
LIPA KODI KWA MAENDELEO (YAO) YAKO
Akiniona Mwiguru HII atasema tena Yanga uwekwe kwenye NOTI ya Shilling 100, sio Mchezo kuna Wahuni wamefanya Jambo
 
Kwa hiyo unataka kutuaminisha huyo Waziri ametoka nyumbani kwake kwa mguu au hapo anaingia kwenye jengo la bunge?
In whichever way lakini hakuwa na msafara wa ma LC 300 kumi yenye vibao BAJETI KUU

Mimi bado nina imani atakuja kutokea kiongozi atawahukumu hawa kina Mwigulu kwa matendo yao. Mungu anipe uzima tu nishuhudie haya
 
Back
Top Bottom