Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Yani haumtaki wala kumkubali kabisa.Mimi siwezi kumsamehe alivyotuambia kwa dharau kwamba tuhamie Burundi.Mawaziri wengi(si wote)wa fedha hapa Tanzania huwa wanatoa kauli za kuudhi sana.Bajeti ambayo maandalizi yake yamesimamiwa na mtu mwenye fikra duni kama huyo, itakuwa na nini cha maana?? Hakuna lolote la maana zaidi ya mbwembwe za kijinga kama alivyoonesha tangu kuanza safari yake toka nyumvani kuelekea bungeni kwa msafara wa kipuuzi wenye ving'ora.