Mwigulu Vs Jeremy Hunt Waziri wa Fedha UK

Mwigulu Vs Jeremy Hunt Waziri wa Fedha UK

Mwigulu anakwenda kuwasilisha bajeti ya USD 15 billion na ving’ora na escort. 2024.

Jeremy Hunt, waziri wa Fedha wa UK akitembea kuwasilisha bajeti ya USD 1,600 billion. 2024.

Huu ni ulimbukeni, ushamba au ujinga.

View attachment 3016883
LIPA KODI KWA MAENDELEO (YAO) YAKO
Usifananishe ushuzi na manukato.
Mwigulu ni sawa na ushuzi na Hunt ni sawa na manukato.
 
Dah!Kwa hiyo Mwigulu alitakiwa atembee kwa miguu kutoka wizarani hadi bungeni?Vitu vingine ni vidogo sana.Hasira zetu za maisha magumu tusimuhamishie jamaa.
nahisi mtoa mada anamaanisha kulikua na haja gani ya kuwa na msafara!angepanda gari lake mwenyewe tu kama siku zote anavyokuja bungeni kungekua na shida gani??why misafara ya magari mengi??huoni kama ni uharibifu wa hela usio na ulazima!!
 
Alafu maderu alivyo kua mpumbavu na mkosa akili jana anasema eti wapinzani hawafai kabisa kana kwamba yeye anayofanya yanafaa zezeta kabisa lile
WAPINZANI hawafai, watatufanya tujitegemee wakati kuna fedha nyingi tu za mabeberu tunakopeshwa na pia tuna mali nyingi za kuuza kwa wazungu na tukapata fedha.
 
Mwigulu anakwenda kuwasilisha bajeti ya USD 15 billion na ving’ora na escort. 2024.

Jeremy Hunt, waziri wa Fedha wa UK akitembea kuwasilisha bajeti ya USD 1,600 billion. 2024.

Huu ni ulimbukeni, ushamba au ujinga.

View attachment 3016883
LIPA KODI KWA MAENDELEO (YAO) YAKO
Wakati mwingine lazima ufikiri nje ya box. Mambo kama haya yaweza tokea huku Africa si Ulaya


View: https://youtu.be/qY5w7P8du9E
 
Dollar 1600 bil, v/s dollar 15bil, Tupo nyuma kweli kweli!.
Wazungu wanatupita hasa kwa dhahabu na mali walizokwiba Afrika kitambo hicho,!
 
Nchi Bado inapitia wakati mgumu sana.Tukio la kuwasilisha tu mpaka escort,plate number na gari za gharama kubwa.Bado ntaendelea kusema nchi hii wananchi tunachangia kodi kubwa sanaaaa tatizo lipo kwenye matumizi(government expenditures) .wanasifa kenge Hawa ,wanafanyia anasa pesa za umma inaumiza sana. Yule mzee licha ya madhaifu yake na wizi ma tilioni ila alijua kuwanyima pumzi. Huyu mama ni kama kafungulia mbwa,kila kona upigaji aisee kuzaliwa nchi za ajabu hizi ni jehanamu kwa kweli
 
Mwigulu anakwenda kuwasilisha bajeti ya USD 15 billion na ving’ora na escort. 2024.

Jeremy Hunt, waziri wa Fedha wa UK akitembea kuwasilisha bajeti ya USD 1,600 billion. 2024.

Huu ni ulimbukeni, ushamba au ujinga.

View attachment 3016883
LIPA KODI KWA MAENDELEO (YAO) YAKO
Halafu upande mwingine Kiongozi wa Upinzani anayejivunia familia yake kuishi Ulaya anachangiwa na wananchi walalahoi anunue gari! Ujinga mtupu.
 
Wakati huo bajeti ya UK mkoba wa jerremy hunt una hela ya msaada kwa tanzania (mwiguluchembayamavi) aliyepanda gari ya milioni 600
Nishaipata email yake ya bungeni, nimemwomba afute huo msaada kwenye bajeti yake, ujumbe umefika.

To huntj@parliament.uk

Right Honorable Chancellor of the Exchequer, Jeremy Hunt

One political social media topic today involved a picture of you unpretentiously strolling down a street of London clutching a briefcase containing the 1.2 trillion pound UK budget juxtaposed next to an image of The Minister of Finance of my dirt-poor, donor-dependent, disease and disaster-riven state of Tanzania, also arriving in Parliament today in a snaking motorcade of late model, gas-guzzling, high maintenance luxury Land Cruisers to present our meager 15 billion dollar national budget for 2024-25.

One commentator aptly pointed out that in your briefcase you will also have money allotted for Tanzania foreign aid, some, if not most, of which goes to the purchase and operation of these exorbitant vehicles as well as bankrolling other lavish perks and luxury lifestyles of our Tanzanian politicians.

We are sending you the picture because we respectfully wanted you to get an idea of how the hard earned tax pounds of selfless and globally minded British Citizens is used back here in Tanzania. The general discussion is in Swahili but the picture is all you need to grasp what's going on here.

We are forever immensely thankful for the UK Foreign aid, but given the circumstance of abuse and plunder we wish you would kindly reconsider foreign aid to Tanzania.

Link of the picture
https://www.jamiiforums.com/attachments/b9916086-85d1-44e1-bcf8-774af3b3de22-jpeg.3016883/

Link of the discussion pages
Mwigulu Vs Jeremy Hunt Waziri wa Fedha UK

Thank you for reading our e-mail.

Kevin Kigalula
For concerns citizens of Tanzania.
 
Waliomsindikiza kwa mbwembwe ni wa kulaumiwa.
NB;Bajeti hakuandaa Mwigulu peke yake.Iliandaa ofisi/wizara zote.Wapunguze mbwembwe na madoido yasiyo na tija.
Watalaumiwaje wakati ye ndio kawaamuru, hapo Madelu katumia pawa yake kuonesha mamlaka aliyonayo!

Jiwe pamoja na mapungufu yake asingeruhusu huu upuuzi, Waziri wa Fedha anapaswa kuwa kielelezo cha ubanaji matumizi yasio ya lazima serikalini...migari yenyewe inakunywa mafuta mengi!.
 
Watalaumiwaje wakati ye ndio kawaamuru, hapo Madelu katumia pawa yake kuonesha mamlaka aliyonayo!

Jiwe pamoja na mapungufu yake asingeruhusu huu upuuzi, Waziri wa Fedha anapaswa kuwa kielelezo cha ubanaji matumizi yasio ya lazima serikalini...migari yenyewe inakunywa mafuta mengi!.
Kwani huyo jiwe alikuwa anasafiri/kutembea na misafara ya magari mangapi?
 
Back
Top Bottom