Mwigulu Vs Jeremy Hunt Waziri wa Fedha UK

Mwigulu Vs Jeremy Hunt Waziri wa Fedha UK

In whichever way lakini hakuwa na msafara wa ma LC 300 kumi yenye vibao BAJETI KUU

Mimi bado nina imani atakuja kutokea kiongozi atawahukumu hawa kina Mwigulu kwa matendo yao. Mungu anipe uzima tu nishuhudie haya
Na itakuja kuwa hivyo siku moja.Mungu ni fundi.
 
Mwigulu anakwenda kuwasilisha bajeti ya USD 15 billion na ving’ora na escort. 2024.

Jeremy Hunt, waziri wa Fedha wa UK akitembea kuwasilisha bajeti ya USD 1,600 billion. 2024.

Huu ni ulimbukeni, ushamba au ujinga.

View attachment 3016883
LIPA KODI KWA MAENDELEO (YAO) YAKO
Mambo mengine ni ya aibu sana.Ingekuwa nchi zenye viongozi wenye busara angekuwa hana kazi
 
Back
Top Bottom