Mwigulu Vs Jeremy Hunt Waziri wa Fedha UK

Mwigulu Vs Jeremy Hunt Waziri wa Fedha UK

Hatuna jema.Hata angetembea kwa magoti barabara yote,bado angeambiwa anaigiza tu.Tutaacha yaliyomo kwenye bajeti tuanze kujadili uzungukaji wa matairi ya gari la waziri yanavyojizungusha kwa madaha.
Mkuu wewe ndiye unahamisha mada, Mkuu ukweli ni kwamba waziri wetu kakufuru, kavuka Mipaka. Wanaolalamika ni walipa kodi anaopaswa kuwatetea Mkuu.
 
Dah!Kwa hiyo Mwigulu alitakiwa atembee kwa miguu kutoka wizarani hadi bungeni?Vitu vingine ni vidogo sana.Hasira zetu za maisha magumu tusimuhamishie jamaa.
Hata kufahamuu pia kwa Wabongo ni anasa! Hakutakiwa kutembea lakini kuna haja gani ya magari sita na ving'ora? Mpaka hapo milioni mbili zimetumika. Jee, wewe mfukoni una hata milioni moja hivi sasa? Utakubali milioni mbili zako zitumike hivyo? Kama ungekuwa na uwelewa hizo anazotumia Mwigulu hazitoki kwenye biashara yake na Esher, bali kwako wewe na mimi? Huelewi. Watu kama nyie ndio anaowafurahia mama!
 
Kuna Mzungu Juzi katoa kauli ya ubaguzi ila kama Ina make Sense,kasema IQ za watu wa Kusini Mwa Jangwa la Sahara hazijapishana sana na wale wa nyama wanaopatika a Hifadhi ya Gombe Kigoma...
 
20240609_181210.jpg
 
Kuna Mzungu Juzi katoa kauli ya ubaguzi ila kama Ina make Sense,kasema IQ za watu wa Kusini Mwa Jangwa la Sahara hazijapishana sana na wale wa nyama wanaopatika a Hifadhi ya Gombe Kigoma...
Link video picha source
 
Alikuwa akizunguka kuwasalimu watanzania na kusikiliza shida zao.

Nchi hii wapo watanzania ambao hawajawahi kumwona raisi wa nchi yao.

Pamoja na kwamba nchi yetu ina wabunge lakini hawana ofisi za kusikiliza na kushughulikia shida za wananchi.

Badała yake kwa mara ingine tena CCM mida hii yawatumia Makonda, Slaa na RC wa Daresalaam kuwahadaa na baadae kuwachanganya kwenye boksi la kura.

Ninyi ndo CCM ilomkataa Jiwe.
Kuna mtu alimwambia akiwa rais anatakiwa atembee nyumba kwa nyumba kusikiliza shida za "wanyonge"?
 
Nauliza tu si kwa ubaya
Jshi la Wananchi lipo kweli?
Upinzani wapo na mikutano ya ndani nje nje ndani
Tuukimbize mwenge wetu wa Katiba Mpya kwa nguvu sanaaaa huko mbele ni kugumu sana
Tunatawaliwa na wehuluuuuu

Nafurahi watu wamekausha kujadili budget toka mfukoni mwa mtu mmoja

Hii nchi ngumu sana

Mods msifute sijataja taasisi ya mtu
 
Kwani huyo jiwe alikuwa anasafiri/kutembea na misafara ya magari mangapi?
Afadhali yeye misafara ilikuwa mirefu, nakubali...lakini atlest tuliona impact yake ktk usimamizi hasa mikoani.
Uwajibikaji japo wa kilazima ulikuwepo...punda bila mboko haendi!
 
Mrejesho

Ofisi ya mbunge ya Waziri wa Fedha wa Uingereza imenijibu, imesema kwa sasa bunge limefungwa mpaka mwisho wa uchaguzi. Email niliyotumia wanasema kwa sasa inashughulikia kero za dharura za wana jimbo wa Mhe. Jeremy Hunt.

Nitachofanya, nitamtuamia ujumbe balozi wa UK, Dodoma, nimemweleze namtafuta Waziri Jeremy Hunt, na nitamwomba ai forward e-mail yangu kwa Waziri, mjini London. Kwa yeyote mwenye e-mail ya balozi wa UK Dodoma, au ya Waziri kama Waziri, Mhe. Hunt, naiomba.
 
Mwigulu anakwenda kuwasilisha bajeti ya USD 15 billion na ving’ora na escort. 2024.

Jeremy Hunt, waziri wa Fedha wa UK akitembea kuwasilisha bajeti ya USD 1,600 billion. 2024.

Huu ni ulimbukeni, ushamba au ujinga.

View attachment 3016883
LIPA KODI KWA MAENDELEO (YAO) YAKO
Achana na Bajeti ,msafara upo na magari (v8 sio chini T )
 
Dah!Kwa hiyo Mwigulu alitakiwa atembee kwa miguu kutoka wizarani hadi bungeni?Vitu vingine ni vidogo sana.Hasira zetu za maisha magumu tusimuhamishie jamaa.
Kulikuwa hakuna haja ya mbwembwe za magari makubwa na misafara mirefu. Watanzania ni nani ametuloga? Kwanza ni asilimia ngapi ya Hela za maendeleo kwenye hiyo bajeti zitabaki hapa nchini? Hilo ndio linatakiwa lituumize kichwa
 
Kulikuwa hakuna haja ya mbwembwe za magari makubwa na misafara mirefu. Watanzania ni nani ametuloga? Kwanza ni asilimia ngapi ya Hela za maendeleo kwenye hiyo bajeti zitabaki hapa nchini? Hilo ndio linatakiwa lituumize kichwa
Kwani huo msafara umeharibu nini au kuvunja sheria zipi barabarani?Tu-deal na bajeti.Hadithi za urefu wa msafara wa Mwigulu hautatusaidia ku-focus kwenye mambo ya maana.
 
Viongozi wa Tanzania ni mashetani ktkt kivuli cha wanadamu
Ni lazima watanzania waambiwe kuwa Shetani katika umbo la Binadam aliwatumia wakoloni kuwauza watu kama mbuzi ,na baadae watu wa Mungu walipomshtukia akaja kama mtawala na msaka malighafi ,aliposhtukiwa akatoa uhuru bandis akajibadili akavaa ngozi nyeusi kama mwafrika ili iwe vigumu kumtambua .

Ni lazima sasa watanzania waambiwe kuwa shezani wa zamani bado yupo katika sura ya Wanadamu tena watu weusi wenzetu. Ni wazi kabisa kuwa Shetani anajiinua sana katika mamlaka na ufahari.
 
Afadhali haya yatokee maana naona tunaongea lugha moja

Tunapowaambia mikopo haina manufaa kwasababu haimsaidii mwananchi maana yake ni hiyo.

Tumeona mawaziri wa fedha akina A.Jamal , Msuya n.k. haya ,mambo hayakuwepo.
Siku hizi wanabeba watoto na wake zao na wao wanaongozwa na ving'ora .

Waacheni watafune nchi, nyinyi endeleeni kuchanga pesa za fomu na kupiga debe nchi inafunguliwa

JokaKuu
 
Back
Top Bottom