Mizania
JF-Expert Member
- May 17, 2023
- 3,812
- 3,277
Mkuu wewe ndiye unahamisha mada, Mkuu ukweli ni kwamba waziri wetu kakufuru, kavuka Mipaka. Wanaolalamika ni walipa kodi anaopaswa kuwatetea Mkuu.Hatuna jema.Hata angetembea kwa magoti barabara yote,bado angeambiwa anaigiza tu.Tutaacha yaliyomo kwenye bajeti tuanze kujadili uzungukaji wa matairi ya gari la waziri yanavyojizungusha kwa madaha.