Mwigulu Vs Jeremy Hunt Waziri wa Fedha UK

Mwigulu anakwenda kuwasilisha bajeti ya USD 15 billion na ving’ora na escort. 2024.

Jeremy Hunt, waziri wa Fedha wa UK akitembea kuwasilisha bajeti ya USD 1,600 billion. 2024.

Huu ni ulimbukeni, ushamba au ujinga.

View attachment 3016883
LIPA KODI KWA MAENDELEO (YAO) YAKO
Kuna wakati maneno ya watu kama P.W.Botha, D.J.Trump na wengineo yanaonekana kuwa na ukweli kabisa. Ngozi nyeusi ina tatizo kubwa sana, huo msfara wote na bado bajeti yenyewe ni tegemezi, bado safari zisizoisha kwenda kuombaomba.
 
Duh!Kwa hiyo angeenda kinyonge huku kavaa na kaptula ili kutuonesha tulivyo masikini?
 
Mkuu, umeenda mbali sana. Kwani angeenda na gari lake la uwaziri la siku zote, akaingia hapo na kuwasilisha bajeti yake kungekuwa na shida gani? Hayo maigizo na mbwembwe zote hizo hayana tija yoyote, wananchi tunabaki kushangaa tu.
 
Nishaipata email yake ya bungeni, nimemwomba afute huo msaada kwenye bajeti yake, ujumbe umefika.

To huntj@parliament.uk

Right Honorable Chancellor of the Exchequer, Jeremy Hunt

One political social media topic today involved a picture of you unpretentiously strolling down a street of London clutching a briefcase containing the 1.2 trillion pound UK budget juxtaposed next to an image of The Minister of Finance of my dirt-poor, donor-dependent, disease and disaster-riven state of Tanzania, also arriving in Parliament today in a snaking motorcade of late model, gas-guzzling, high maintenance luxury Land Cruisers to present our meager 15 billion dollar national budget for 2024-25.

One commentator aptly pointed out that in your briefcase you will also have money allotted for Tanzania foreign aid, some, if not most, of which goes to the purchase and operation of these exorbitant vehicles as well as bankrolling other lavish perks and luxury lifestyles of our Tanzanian politicians.

We are sending you the picture because we respectfully wanted you to get an idea of how the hard earned tax pounds of selfless and globally minded British Citizens is used back here in Tanzania. The general discussion is in Swahili but the picture is all you need to grasp what's going on here.

We are forever immensely thankful for the UK Foreign aid, but given the circumstance of abuse and plunder we wish you would kindly reconsider foreign aid to Tanzania.

Link of the picture
https://www.jamiiforums.com/attachments/b9916086-85d1-44e1-bcf8-774af3b3de22-jpeg.3016883/

Link of the discussion pages
Mwigulu Vs Jeremy Hunt Waziri wa Fedha UK

Thank you for reading our e-mail.

Kevin Kigalula
For concerns citizens of Tanzania.
Mkuu umetisha ila kama hilo ni jina lako halisi haya mashetani yatakutafuta.
 
Hizo mbwembwe ni kwa ajili ya kutujenga kisaikolojia ili tuione bajeti ni nzuri.Akienda kinyonge hata bajeti tutaiona ni michosho.Mind-games hizo!
 
Mwigulu ametokea familia Duni
Amepenya penya kufika hapo alipo kwa kutumwa na wakubwa zake akawatese na kuwauwa wapinzani
Hii habari kuwa Mwigulu ni muuaji nimesimuliwa Jana tu na mdau mmoja hivi, nikabaki midomo wazi.

Mdau anasema 2010 Mwigulu ameua na kutesa sana watu kwa kuwamwagia tindikali.

Mungu atuepishe na tamaa hizi mbaya za madaraka.
 
Hatari.Yana mwisho hayo.Tuombe tuje kumuona akiwa mzee.
 
Mwigulu ametokea familia Duni
Amepenya penya kufika hapo alipo kwa kutumwa na wakubwa zake akawatese na kuwauwa wapinzani

Hana uwezo wowote zaidi ya kulinda maslahi ya wakubwa
Hakika kabisa, Mwiguru alionekana na serikali ya Kikwete kwa kuinusuru ccm dhidi Chadema ya Dr. Slaa ya enzi za akina Mawazo! Aliweza kuumiza watu na Ndo akina Dr. Mvungi walipo potelea! Baada ya hapo ccm wakamuingiza katika genge lao. vinginevyo Mwiguru hana cha maana alicholifanyia Taifa hili!
 
Mwigulu ajue tu kwamba Mungu hajalala. One day the karma will revenge.
 
Kwani huyo jiwe alikuwa anasafiri/kutembea na misafara ya magari mangapi?
Alikuwa akizunguka kuwasalimu watanzania na kusikiliza shida zao.

Nchi hii wapo watanzania ambao hawajawahi kumwona raisi wa nchi yao.

Pamoja na kwamba nchi yetu ina wabunge lakini hawana ofisi za kusikiliza na kushughulikia shida za wananchi.

Badała yake kwa mara ingine tena CCM mida hii yawatumia Makonda, Slaa na RC wa Daresalaam kuwahadaa na baadae kuwachanganya kwenye boksi la kura.

Ninyi ndo CCM ilomkataa Jiwe.
 
Hakika kabisa, Mwiguru alionekana na serikali ya Kikwete kwa kuinusuru ccm dhidi Chadema ya Dr. Slaa ya enzi za akina Mawazo! Aliweza kuumiza watu na Ndo akina Dr. Mvungi walipo potelea! Baada ya hapo ccm wakamuingiza katika genge lao. vinginevyo Mwiguru hana cha maana alicholifanyia Taifa hili!
Kile kitoto chake kitapata tabu sana maana kmepatikana kwa baba yake kuua wengine

1718359624892.jpeg
 
Mkuu umetisha ila kama hilo ni jina lako halisi haya mashetani yatakutafuta.

Hawawezi kunikamata. Waanze na Mange Kimambi.

Kwanza naombeni email ya balozi wa UK Dodoma, nimesahau kum forwadia.

Hawawezi kunipata sababu serikali ilisema, Samia alitamka, computer za TRA na computer za TPA HAZISOMANI! Data processing wherewithal ya kuchakata eti Kevin gani kamchana Mwigulu, nani kaandika email, HAWANA!

Mfumo kanzidata wa watumishi wiki iliyopita ulikuwa down, wakashindwa kuu update, wakateua marehemu kafa siku tatu zimepita. RC na DC, mabosi wa
Afisa Halmashauri aliyeteuliwa, walishindwa kuutaarifu mfumo ajira kwamba huku afisa kafariki, kwa saab computer za Ofisi ya RC na DC na computer za Katibu Mkuu Kiongozi Ikulu HAZISOMANI!

Na kama wakinivalia njuga wakanisaka kidijitali wakinikamata, wakati hawana muda kuendesha mifumo kanzidata ya utumishi, na computer za TRA, na za TPA, hii inadhihirisha kwamba viongozi wetu bado wana ubongo wa mtu wa kale, ZINJANTHROPUS, ndo maana Mwigulu kaingia na msafara wa ma V8VX.
 
Nishaipata email yake ya bungeni, nimemwomba afute huo msaada kwenye bajeti yake, ujumbe umefika.

To huntj@parliament.uk

Right Honorable Chancellor of the Exchequer, Jeremy Hunt

One political social media topic today involved a picture of you unpretentiously strolling down a street of London clutching a briefcase containing the 1.2 trillion pound UK budget juxtaposed next to an image of The Minister of Finance of my dirt-poor, donor-dependent, disease and disaster-riven state of Tanzania, also arriving in Parliament today in a snaking motorcade of late model, gas-guzzling, high maintenance luxury Land Cruisers to present our meager 15 billion dollar national budget for 2024-25.

One commentator aptly pointed out that in your briefcase you will also have money allotted for Tanzania foreign aid, some, if not most, of which goes to the purchase and operation of these exorbitant vehicles as well as bankrolling other lavish perks and luxury lifestyles of our Tanzanian politicians.

We are sending you the picture because we respectfully wanted you to get an idea of how the hard earned tax pounds of selfless and globally minded British Citizens is used back here in Tanzania. The general discussion is in Swahili but the picture is all you need to grasp what's going on here.

We are forever immensely thankful for the UK Foreign aid, but given the circumstance of abuse and plunder we wish you would kindly reconsider foreign aid to Tanzania.

Link of the picture
https://www.jamiiforums.com/attachments/b9916086-85d1-44e1-bcf8-774af3b3de22-jpeg.3016883/

Link of the discussion pages
Mwigulu Vs Jeremy Hunt Waziri wa Fedha UK

Thank you for reading our e-mail.

Kevin Kigalula
For concerns citizens of Tanzania.
KUNA WATANZANIA NI WA HOVYO KUPINDUKIA, NADHANI SASA HII FISI INAINJOY BAADA YA KUARIBU / AIDHA ASIWEZE KUHARIBU LOLOTE, KWA SABABU UK EMBASSY ITAULIZWA BOUT CONCEIN, NA ITAJIBU THAT PERSON ACT AS TANZANIAN COULD THE ENEMY, OR STREETS HOOLIGAN, AND NO SUCH A THINGS, BUT THE FINANCE MINISTER WENT TO PERLIAMENT WITH 3 VEHICLE WHICH IS VERY NORMAL.
 
Tuachane na habari za idadi ya magari.Bajeti ikoje?Inaendana na uhalisia wa maisha?Inatimizika?Inatupeleka hatua za amani na imani mbele?
Hii ianzishie Uzi wake. Hapa tunaongelea embezzlement ya viongozi wetu, wasiojali Hali ya inchi na watu wengine wanaoteseka kwa umaskini huku mtaani huku Kodi zao zikitumiwa ovyo
 
ana demostrate power, siyo ulimbukeni wala ushamba bali ni power aliyonayo, huyo wa uingereza ni waziri tu wa fedha can be fired muda wowote, mwigulu hufukuziki ni mhimili unaojitegemea …
🤣🤣🤣
 
Mwigulu anakwenda kuwasilisha bajeti ya USD 15 billion na ving’ora na escort. 2024.

Jeremy Hunt, waziri wa Fedha wa UK akitembea kuwasilisha bajeti ya USD 1,600 billion. 2024.

Huu ni ulimbukeni, ushamba au ujinga.

View attachment 3016883
LIPA KODI KWA MAENDELEO (YAO) YAKO
Unajua Ng'wigulu ni mshamba na limbukeni.
 
Back
Top Bottom