UK hawana mbunga za wanyama, bahari, mito, madini, ardhi na mifugo lakini ni matajiri wa kutupwa sisi tuna viongozi wajinga haswaMwigulu anakwenda kuwasilisha bajeti ya USD 15 billion na ving’ora na escort. 2024.
Jeremy Hunt, waziri wa Fedha wa UK akitembea kuwasilisha bajeti ya USD 1,600 billion. 2024.
Huu ni ulimbukeni au ushamba.
View attachment 3016883
Upo sahihi snViongozi wa Tanzania ni mashetani ktkt kivuli cha wanadamu
Mwigulu ametokea familia DuniMwigulu anakwenda kuwasilisha bajeti ya USD 15 billion na ving’ora na escort. 2024.
Jeremy Hunt, waziri wa Fedha wa UK akitembea kuwasilisha bajeti ya USD 1,600 billion. 2024.
Huu ni ulimbukeni au ushamba.
View attachment 3016883
Kwa kusingizia wakinzani ni magaidi alichemka sana.Mwigulu ametokea familia Duni
Amepenya penya kufika hapo alipo kwa kutumwa na wakubwa zake akawatese na kuwauwa wapinzani
Hana uwezo wowote zaidi ya kulinda maslahi ya wakubwa
Kadri siku zinavyo kwenda, urembukeni na ushamba unaongezeka among viongozi wetu, muda wa kwenda chonga plate number za "Bajeti Kuu" wameutoa wapi, msafara unatusaidia nn?Mwigulu anakwenda kuwasilisha bajeti ya USD 15 billion na ving’ora na escort. 2024.
Jeremy Hunt, waziri wa Fedha wa UK akitembea kuwasilisha bajeti ya USD 1,600 billion. 2024.
Huu ni ulimbukeni au ushamba.
View attachment 3016883
Mkuu kwani kutembea kuna shida???Dah!Kwa hiyo Mwigulu alitakiwa atembee kwa miguu kutoka wizarani hadi bungeni?Vitu vingine ni vidogo sana.Hasira zetu za maisha magumu tusimuhamishie jamaa.
Mnadanganyana hivyo eeee.UK hawana mbunga za wanyama, bahari, mito, madini, ardhi na mifugo lakini ni matajiri wa kutupwa sisi tuna viongozi wajinga haswa
Kwa hiyo unataka kutuaminisha huyo Waziri ametoka nyumbani kwake kwa mguu au hapo anaingia kwenye jengo la bunge?Mwigulu anakwenda kuwasilisha bajeti ya USD 15 billion na ving’ora na escort. 2024.
Jeremy Hunt, waziri wa Fedha wa UK akitembea kuwasilisha bajeti ya USD 1,600 billion. 2024.
Huu ni ulimbukeni, ujinga au ushamba.
View attachment 3016883
LIPA KODI KWA MAENDELEO (YAO) YAKO
Si lazima wote mfanane.Anaweza siku hiyo akalipaki gari lake,sawa.Kwani ndiyo itauondoa ukweli kwamba mawaziri wote hapa Tanzania wanatumia magari ya kifahari?Tusipende kufurahishwa kwa dakika chache huku kila siku tunapigwa.Kama kupinga tupinge jumlajumla na kila siku hadi tuone mabadiliko.Mkuu kwani kutembea kuna shida??? msafara wa nini basi kama ni lazima atumie gari moja si lingetosha??? Mbona mwenziwa UK katambea kapungukiwa na nini???
Akiniona Mwiguru HII atasema tena Yanga uwekwe kwenye NOTI ya Shilling 100, sio Mchezo kuna Wahuni wamefanya JamboMwigulu anakwenda kuwasilisha bajeti ya USD 15 billion na ving’ora na escort. 2024.
Jeremy Hunt, waziri wa Fedha wa UK akitembea kuwasilisha bajeti ya USD 1,600 billion. 2024.
Huu ni ulimbukeni, ushamba au ujinga.
View attachment 3016883
LIPA KODI KWA MAENDELEO (YAO) YAKO
In whichever way lakini hakuwa na msafara wa ma LC 300 kumi yenye vibao BAJETI KUUKwa hiyo unataka kutuaminisha huyo Waziri ametoka nyumbani kwake kwa mguu au hapo anaingia kwenye jengo la bunge?